Wabunge wa NCCR 1995

Landala

JF-Expert Member
Dec 24, 2010
997
473
Ndugu wana jf wenzangu naomba mnisaidie idadi ya wabunge wa kuchaguliwa wa chama cha NCCR MAGEUZI kwenye uchaguzi mkuu wa 1995,je walikuwa wangapi na pia majimbo waliyotoka ni yapi?
 
Ya nini? sisi tunaangalia mbele kuikomboa nchi yetu

Nataka kujua idadi yao na majimbo yao ili kuona ni kwa namna gani chama hicho kilivyokuwa na nguvu kabla baadae kukosa muelekeo.
 
walikuwa 28 lakini wengi walikuwa mamluki hawakuwa pamoja kabla uchaguzi bali walikusanya tuu kihovyohovyo....
 
Nawakumbuka baadhi mkuu
Dr.Lamwai-Ubungo Mabere Marando-Rorya Paulo Ndohbo-Musoma rural,
Makongoro Nyerere-Arusha mjini jina limenitoka-Arumeru East,huyu alikuwa anapenda kuongea kingereza bungen, James Mbatia-Vunjo,ndiye alipata kura nyingi kiasilimia kuliko wote bunge la 95 Makidara Mosi-Siha Mwinyihamic-Hai Gerard Ngotolainyo-Moshi rural jOseph Mtui-Moshi URBA Jacob Msina-Urambo east M.kibaso-iringa Urban M.mwaiseje-Mbeya Urban Ndimara T.-Muleba kaskazin, ila now mambo yote CHADEMA KAKA
 
Nataka kujua idadi yao na majimbo yao ili kuona ni kwa namna gani chama hicho kilivyokuwa na nguvu kabla baadae kukosa muelekeo.

Mkuu unaturudisha nyuma, hiki chama kwenye jumba la makumbusho ndiko inapostahili kuwepo. Hiki ni chama kinachosubili mizoga na makapi ya Chadema ndipo kipate hoja za kisiasa.
 
Nawakumbuka baadhi mkuu
Dr.Lamwai-Ubungo Mabere Marando-Rorya Paulo Ndohbo-Musoma rural,
Makongoro Nyerere-Arusha mjini jina limenitoka-Arumeru East,huyu alikuwa anapenda kuongea kingereza bungen, James Mbatia-Vunjo,ndiye alipata kura nyingi kiasilimia kuliko wote bunge la 95 Makidara Mosi-Siha Mwinyihamic-Hai Gerard Ngotolainyo-Moshi rural jOseph Mtui-Moshi URBA Jacob Msina-Urambo east M.kibaso-iringa Urban M.mwaiseje-Mbeya Urban Ndimara T.-Muleba kaskazin, ila now mambo yote CHADEMA KAKA

Nashukuru ndugu Masakati kwa majibu yako mazuri,asante sana.
 
Kati ya wabunge wa Mwanzo kabisa wa upinzani nchini, MAKONGORO NYERERE alikuwa mmoja wao 1995
 
Back
Top Bottom