wabunge wa chadema wanatisha!

ibange

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
1,543
550
hivi mnafuatilia bunge? wabunge wa chadema wanatisha. tuwape 2015 wabunge wa kutosha kutetea taifa!
 
Huyu nae sijui bange, analeta kastory nusu nusu huku tuna mgao wa kudumu bunge utaangalia wapi!
 
kweli wanatisha, kama wangekuwa akina lissu, mnyika, mdee kama 40 tu bungeni, basi rais lazma angejiondoa mwenyewe
 
wamempelekesha puta wazir wa mazingira na kabajeti kake,
sema tatizo ni wingi tu wa magamba..laiti isingekuwa hivyo, basi bajet kibao zingegoma
 
wamempelekesha puta wazir wa mazingira na kabajeti kake,
sema tatizo ni wingi tu wa magamba..laiti isingekuwa hivyo, basi bajet kibao zingegoma

Tundu Lisu na Mnyika wanakuambia tunaondoa shilingi for the records. Nimeipenda sana hiyo kauli maana hapo watatuletea wananchi tuone akili za wana magamba kutenga bilion 3 kukarabati ofisi ya makamu wa Raisi Dar na kuweka milion 400 kwa ajili ya kupambana na Mazingira.
Wananchi tumeona na yametuingia mioyoni 2015 Tutajua cha kufanya
 
Back
Top Bottom