Wabunge wa CHADEMA waitikisa Singida Mjini

Nilikutana na baadhi ya makamanda maeneo ya Wilaya ya Manyoni wakati natoka dom nikiwa kwenye Costa watu walipoona tu gari inabendera ya chadema kila mtu alitoa mkono nje kuenyesha vidole 2. Yani hamasa ya watu ni kubwa sana kwa CDM

Mapambano yaendelee na ukombozi utapatikana tu wakati ukifika na dalili tuzionazo wakati ndo huu wakaribia. KWa mwendo huu safari itakuwa fupi ni kujipanga tu na mambo yaende.

Ndio makamanda pelekeni fikra mmbadala kwa wanasingida, hasa mjini. Mbunge wao amezoea kuwapa akina mama khanga na t-shirt bila ya kfikiria namna ya kutatua mtatizo ya msingi. anawaloga kwa vijisenti vyake tuu.

Hebu ibueni hilo wazo la kuchukua maji ya ziwa Singidani ili kama itawezekana yatumike mjini. Dewji hajawahi hata kuota hilo.

nimefikia THE PLANET HOTEL,ni mwendo wa nusu dakika mpaka ilipo ofis ya CHADEMA wilaya,nipo kwa wiki ya pili sasa..nafanya utafit flan...jaman watu wameamka nchi hii..elimu ya URAIA ambyo chadma imejpa kazi iendelee..kumbe watu wanakosa wa kuwaambia..

Hili limwanamke linadharaulisha wanawake wenzake sana, hebu angalia thread za wabunge wenzake wa CDM na ulinganishe na zake, kwa kweli si vizuri kushirikisha masaburi wakati wa kufikiri.
John Mnyika.

All the best CDM. Iokoeni Singida manake Wakazi wake wamelala usingizi wa Pono, ila naamini siku na saa yaja yamkini macho yanaona kila nafsi itakiri kulea Magamba ndio kunako tuifanya tuwe masikini ndani ya miaka 50 tangia tupate uhuru.

Mkuu Nduka, ebu tuwekee hapa siredi za wabunge wa ccm tuzione na tulinganishe na hizo za Regia! Mkuu, km kweli una uchumgu na chama chako na umejitoa kukitetea, nakishauri ufanye hivyo kwa kutoa hoja za msingi, siyo kejeli na matukano km hayo unayotumia. Umazidi kukidhraurisha chama chenu na hautamshawishi mtu yeyote kuipenda ccm.

Singida mjini mnajisumbua tu, hapo MO ndio kapakamata, hao wapiga mtukuru mliowakusanya hapo ni ushabiki tu ndio umewaleta hapo. Na hiyo speach ya kutolewa juu ya meza ndio mnaona dili, kweli wanacdm ni makondoo kama wabunge wenu.

mkuu kama unajua nakukumbusha, kama hujui nakuambia, utumwa ukimkolea mtumwa uhuru kwake ni msamiati mbaya, hivyo harakati zake haziwezi kueleweka machoni pa mtumwa.

Vizuri kupaza sauti juu ya changamoto na matatizo yanayoikumba jamii kila mnapopata nafasi ya kutembelea wananchi katika maeneo tofauti nchini.

Ushauri wangu; Msiishie kusema shida zao tu bali mtoe na suluhu ya hayo matatizo yao katika njia ambayo itaeleweka hasa kwa mwananchi wa kawaida ili atakae wabeza, wananchi watakua wameelewa ufumbuzi wa matatizo yao uko wapi.

Kwa njia hii mikutano yenu itakua na tija na faraja kwa wananchi mnaowatembelea na mtapata ushirikiano wa kutosha.

Msijikite katika kutoa lawama tu kwa watendaji wa serikali bali kuonyesha njia sahihi itakayo leta ukombozi.

Tumechoshwa na habari za ufisadi na ubadhilifu katika serikali na inavyoelekea hakuna njia ya kuwabana wahusika pindi wanapotajwa ingawa tunafarijika kwa wachache ambao hatua zimechukuliwa ingawa si za kuridhisha sana maana suala la tume nalo limekua kama sehemu ya kufichia hayo madhambi.

Ni maoni yangu tu hayo machache.

Nimeyapenda haya maoni kaka. Yamekwenda shule

vizuri kupaza sauti juu ya changamoto na matatizo yanayoikumba jamii kila mnapopata nafasi ya kutembelea wananchi katika maeneo tofauti nchini.

Ushauri wangu; msiishie kusema shida zao tu bali mtoe na suluhu ya hayo matatizo yao katika njia ambayo itaeleweka hasa kwa mwananchi wa kawaida ili atakae wabeza, wananchi watakua wameelewa ufumbuzi wa matatizo yao uko wapi.
Kwa njia hii mikutano yenu itakua na tija na faraja kwa wananchi mnaowatembelea na mtapata ushirikiano wa kutosha.
Msijikite katika kutoa lawama tu kwa watendaji wa serikali bali kuonyesha njia sahihi itakayo leta ukombozi.
Tumechoshwa na habari za ufisadi na ubadhilifu katika serikali na inavyoelekea hakuna njia ya kuwabana wahusika pindi wanapotajwa ingawa tunafarijika kwa wachache ambao hatua zimechukuliwa ingawa si za kuridhisha sana maana suala la tume nalo limekua kama sehemu ya kufichia hayo madhambi.

Ni maoni yangu tu hayo machache.
gritithinka

We regia, unataka kuniambia kote walipo wabunge wa chadema hakuna matatizo ya maji? nakwamba ni juhudi zenu ndio zimeleta maji? acheni hizo bana. Naomba ije siku muwe chama tawala tuone kama matatizo haya tuliyonayo yataondoka just like that. ukiwa chama pinzani ni rahisi sana kumkosoa mwenzako. talk is cheep talk talk to much. yaondoeni matatizo jimboni kwenu tuone mfano.

Mkuu Chadema hujawazoea viongozi wao sometimes kuna baadhi ya viongozi wanaongea mambo kufikiria , mtu makini CDM ni ZITO! peke yake!

Similar Discussions

Back
Top Bottom