Wabunge wa CHADEMA chini ya kamanda Mbowe kuunguruma kesho Dodoma

Hivi magwanda wana lipi la kuongea kesho zaidi ya malalamiko yao ya kila siku. Kutoa matamko.

Wana kamsemo kao eti Chadema nguvu ya umma..

Nguvu ya umma mna wabunge 23? Akili ukwaju
 
yote heri! Mi npo dom na imepita patrol moja yenye bendera za cdm ikitangaza mkutano japo sikuckia ni wp?.
 
Umma wa watanzania unawezakuwakilishwa na mtu hata mmoja hao 23 wengi sana, huo ukwaju peleka kwenu wakautumie kwenye chai hii si ZONE yake.
 
Katika kile tulichokiita kama fungua kikao cha Bunge sisi wakazi wa Dodoma na wana-CHADEMA kesho tutakuwa na mkutano mkubwa wa hadhara pale viwanja vya barafu kupokea maoni ya wananchi na kuwapa taarifa juu ya mwenendo wa nchi kwa sasa...hii inafuatiwa na kuzuiliwa kwa mkutano wetu tuliotaka kuufanya mwezi uliopita katikati...Tumepita karibu kona zote hapa DODOMA kuwataarifu wananchi kupitia PA System yetu....Kwenye mkutano huu wabunge wote wa CHADEMA wanategemewa kuwepo wakiongozwa na Kamanda Mbowe na KAMANDA GODBLESS LEMA aka MANDELA atakuwepo labda itokee dharula....mkutano utaanza saa 7 mchana mpaka saa 12:30 jioni...

KARIBUNI WOTE MJAZWE UJASIRI,NA KUFAHAMU HAKI ZENU ZA MSINGI....AL-SHABAB HAWATAKUWEPO NA POLISI WAMETUHAKIKISHIA ULINZI WA UHAKIKA KESHO....

Arusha na dom hapo imekaa aje
 
Mkuu, JF sio sehemu ya porojo kama unaleta data zako lazima uhakikishe ni za kweli..

Usiokoteze habari mtaani humu kuna Great thinkers..

Kidogo umetafakari lakini Mi binafsi bado nina mashaka nawe (ritz) yani cjui una pepo,Mi cjui! Kwn sometime unakuwa na misemo ya kufanania. TUBADILIKE WATANZANIA.
 
Wana kamsemo kao eti Chadema nguvu ya umma..

Nguvu ya umma mna wabunge 23? Akili ukwaju

Ndiyo kama hv unanipa wakati mgumu lakini baada ya kutafakari sana nikagundua ya kwmb labda umezaliwa nje ya malezi ya wazazi wawili. Lakini hakika tutafika tu! Awike Asiwike Patakucha tu!
 
Suala la ushoga la Conservative maswaiba zao Chadema mtaliongelea? au mnaongelea mambo ya msingi tu..

Ushoga hauna tatizo

wewe kama ni shoga nenda magomeni kawatafute wenzako mzungumzie ushoga wenu!
 
Ndiyo kama hv unanipa wakati mgumu lakini baada ya kutafakari sana nikagundua ya kwmb labda umezaliwa nje ya malezi ya wazazi wawili. Lakini hakika tutafika tu! Awike Asiwike Patakucha tu!

Magwanda bana kwa hiyo Pro-Chadema wote wamelelewa na wazazi wawili?
 
wewe kama ni shoga nenda magomeni kawatafute wenzako mzungumzie ushoga wenu!

Mkuu, mbona unanipa wasiwasi unajua mpaka sehemu za mashoga zilipo..

Unaweza kutuambia ni magomeni sehemu gani?

Na ulipajuaje? Hapo ndio pakujiuliza sana...
 
Wana kamsemo kao eti Chadema nguvu ya umma..

Nguvu ya umma mna wabunge 23? Akili ukwaju
we nenda bana usivunge, najua hutakosa wew c unakata hapa dom maeneo ya Area D, acha shati lako la kijani nenda hapo sabasaba upate angalau skafu ya chadema tutakuruhusu tu.
 
Kesho Dom? c mlisema Mbowe atamwekea dhamana Lema pale Kisongo kisha mtafanya mkutano na kupokelewa na umati viwanja vya NMC Arusha? au mmejigawaje mkuu?
Leo mh. Mbowe yuko Arusha toka jana mji ulishambuliwa kwa matangazo.
 
Ninajiuliza kilichofanya Lema kujipeleka Selo ni nini polisi wamemtimizia alichokuwa anataka mpaka kesho kuamua kutoka?

au ndio mambo ya Kamada wa sinema za kihindi
Mwendawazimu si lazima aokote makopo... Maneno yana uwez6 wa kunyesha uzima wa akili mtu.
 
Suala la ushoga la Conservative maswaiba zao Chadema mtaliongelea? au mnaongelea mambo ya msingi tu..

Ushoga hauna tatizo
Anayepaswa kuungelea Ushoga ni yule aliyeambiwa anafaa kuwa Shoga ndie anapaswa kutueleza kwamba walimwonaje mpaka wakamshauri hivyo?
 
Leo ni Makamuzi kwa Kwenda mbele!Arusha na Dodoma kwa wakati mmoja.Mbowe,Slaa,Lissu na Lema wakikamua Viwanja vya NMC Arusha,Mnyika,Sugu,Mdee na Makamanda wengine tunakamua Barafu katika Viwanja vya Barafu Dodoma.

Kazi imeanza.Hakuna kulala mpaka kieleweke..
 
afadhari umetoa jibu ambalo lilitaka kusababisha watu kutoana roho,kazi njema Mh
 
Na jambo lingine wana CDM humu Jf lazima tujuane kupitia michango yetu mfano mleta mada Only83 ni mdau mzuri wa CDM kwa hyo msimuhukumu kwa maneno ya kejeli na dhihaka kwani alivyoleta mada ndivyo ilivyotangazwa jana kwani nami nipo Dom na tangazo nmelisikia hvyo kwa hyo tuwe na kumbukumbu kwa wana CDM wenzetu humu ndani na kuelekezana kwa utaratibu unaofaa na zuri zaidi Mh Regia umefafanua vema,kama kawaida baadae ndani ya Barafu ntakuwepo
 
Leo ni Makamuzi kwa Kwenda mbele!Arusha na Dodoma kwa wakati mmoja.Mbowe,Slaa,Lissu na Lema wakikamua Viwanja vya NMC Arusha,Mnyika,Sugu,Mdee na Makamanda wengine tunakamua Barafu katika Viwanja vya Barafu Dodoma.

Kazi imeanza.Hakuna kulala mpaka kieleweke..

Mwacheni Mungu aitwe Mungu.
 
twanga kotekote inaendelea.
hata mimi taarifa nilizo nazo ni kuwa kuna mikutano miwili ar na dom.
only83 kahukumiwa bila kusikilizwa naomba aombwe radhi.
 
Nimeipenda hiyo kwama Al-Shaabab hawatakuwepo! Pengine mngempa mbinu bwana kova namna ya kujuwa Al-Shaabab wako wapi because he is shooting randomly.

Msipende kuwatajataja sana hao jamaa, huwa wanapenda kuwafuata wanaowafuata fuata shauri yenu.
 
Back
Top Bottom