Wabunge wa CHADEMA chini ya kamanda Mbowe kuunguruma kesho Dodoma

only83

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
5,343
2,525
Katika kile tulichokiita kama fungua kikao cha Bunge sisi wakazi wa Dodoma na wana-CHADEMA kesho tutakuwa na mkutano mkubwa wa hadhara pale viwanja vya barafu kupokea maoni ya wananchi na kuwapa taarifa juu ya mwenendo wa nchi kwa sasa.

Hii inafuatiwa na kuzuiliwa kwa mkutano wetu tuliotaka kuufanya mwezi uliopita katikati. Tumepita karibu kona zote hapa Dodoma kuwataarifu wananchi kupitia PA System yetu.

Kwenye mkutano huu wabunge wote wa CHADEMA wanategemewa kuwepo wakiongozwa na Kamanda Mbowe na Kaanda Godbless Lema aka Mandela atakuwepo labda itokee dharula. Mkutano utaanza saa 7 mchana mpaka saa 12:30 jioni.

Karibuni wote mjazwe ujasiri na kufahamu haki zenu za msingi. Al-Shabab hawatakuwepo na polisi wametuhakikishia ulinzi wa uhakika kesho.
 
Kesho Dom? c mlisema Mbowe atamwekea dhamana Lema pale Kisongo kisha mtafanya mkutano na kupokelewa na umati viwanja vya NMC Arusha? au mmejigawaje mkuu?
 
Suala la ushoga la Conservative maswaiba zao Chadema mtaliongelea? au mnaongelea mambo ya msingi tu..

Ushoga hauna tatizo
 
vip kuhusu arusha, viwanja vya nmc, huo mkutano umeahirishwa? Au ndo umehamia dodoma.
 
Kesho Dom? c mlisema Mbowe atamwekea dhamana Lema pale Kisongo kisha mtafanya mkutano na kupokelewa na umati viwanja vya NMC Arusha? au mmejigawaje mkuu?
Taarifa ya mtoa mada siyo sahihi kabisa, kesho Mbowe, Dr W. P. Slaa na Tundu Lisu watakuwa Arusha kwa ajili ya mkutano. Mkutano itaanza saa 9 - 12 jioni. Pls Only183 tafadhali cheki na source yako.
 
Kesho Dom? c mlisema Mbowe atamwekea dhamana Lema pale Kisongo kisha mtafanya mkutano na kupokelewa na umati viwanja vya NMC Arusha? au mmejigawaje mkuu?

Wakitoka Jela watapanda Chopa mpaka Dodoma
 
Taarifa ya mtoa mada siyo sahihi kabisa, kesho Mbowe, Dr W. P. Slaa na Tundu Lisu watakuwa Arusha kwa ajili ya mkutano. Mkutano itaanza saa 9 - 12 jioni. Pls Only183 tafadhali cheki na source yako.

Hata wewe haupo sahihi kesho Arusha hakuna mkutano wowote..

Hivi nyie pro-cdm jf uwa hamna data za chama chenu? Nimeongea na Mbowe kaniambia hakuna mkutano
 
Hata wewe haupo sahihi kesho Arusha hakuna mkutano wowote..

Hivi nyie pro-cdm jf uwa hamna data za chama chenu? Nimeongea na Mbowe kaniambia hakuna mkutano

masaburi at his maximum capacity!
 
Hata wewe haupo sahihi kesho Arusha hakuna mkutano wowote..

Hivi nyie pro-cdm jf uwa hamna data za chama chenu? Nimeongea na Mbowe kaniambia hakuna mkutano
Usidanganye watu hapa Ritz, Mbowe yupo jimboni kwake Hai anakuja kesho kwa ajili ya mkutano kama amekwambia hivyo labda amekuona ni mnafiki unayemfuatialia fuatila huku yeye mwenyewe hataki. Kuhusu mtoa mada naye ni muongo CDM ina PA mbili tu na zote zipo Arusha kwa ajili ya mkutano huo ambao licha ya Mbowe pia itahutubiwa na Dr. Slaa, G. Lema baada ya kutoka lupango gereza la Mahabusu Arusha na Tundu Lissu. Mwishi mimi si Pro CDM wala CCM.
 
Katika kile tulichokiita kama fungua kikao cha Bunge sisi wakazi wa Dodoma na wana-CHADEMA kesho tutakuwa na mkutano mkubwa wa hadhara pale viwanja vya barafu kupokea maoni ya wananchi na kuwapa taarifa juu ya mwenendo wa nchi kwa sasa...hii inafuatiwa na kuzuiliwa kwa mkutano wetu tuliotaka kuufanya mwezi uliopita katikati...Tumepita karibu kona zote hapa DODOMA kuwataarifu wananchi kupitia PA System yetu....Kwenye mkutano huu wabunge wote wa CHADEMA wanategemewa kuwepo wakiongozwa na Kamanda Mbowe na KAMANDA GODBLESS LEMA aka MANDELA atakuwepo labda itokee dharula....mkutano utaanza saa 7 mchana mpaka saa 12:30 jioni...

KARIBUNI WOTE MJAZWE UJASIRI,NA KUFAHAMU HAKI ZENU ZA MSINGI....AL-SHABAB HAWATAKUWEPO NA POLISI WAMETUHAKIKISHIA ULINZI WA UHAKIKA KESHO....

nimewasiliana na makamanda ni kwamba viongozi wote wa kitaifa watakuwa Arusha kesho,hamasa iliyopo Arusha ni kubwa utadhani ni siku ile ya mazishi ya mashujaa.Pamoja sana!
 
Usidanganye watu hapa Ritz1, Mbowe yupo jimboni kwake Hai anakuja kesho kwa ajili ya mkutano kama amekwambia hivyo labda amekuona ni mnafiki unayemfuatialia fuatila huku yeye mwenyewe hataki. Kuhusu mtoa mada naye ni muongo CDM ina PA mbili tu na zote zipo Arusha kwa ajili ya mkutano huo ambao lich ya Mbowe pia itahutubiwa na Dr. Slaa, G. Lema baada ya kutoka lupango gereza la Mahabusu Arusha na Tundu Lissu. Mwishi mimi si pro cdm wala ccm, mimi nipo nipo tu babaaa.

Mzee wa Rula,
Mimi naona kiasi gani upo nyuma ya habari lakini endelea kuuliza utajua kama Ritz ni mkweli
 
Back
Top Bottom