Wabunge wa CCM amkeni chukueni hatua, kilio chenu chaja 2020

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,563
50,408
Ni muda muafaka sasa ambapo bado mna nafasi ya kusikilizwa na chama kama wabunge kuyapinga baadhi ya maamuzi ya mwenyekiti anayoyafanya ktk chama.

Anatumia kivuli cha kusafisha chama lkn kiuhalisia anawaondoa wale wote waliokuwa wapambe wa wagombea urais wenye ushawishi 2015.

Na hii nawambieni ninyi wabunge wa ccm 2020 wengi wenu mtalia na kusaga meno, maana mtakuwa mkikatwa kama Shyrose Bhanji alivyokatwa kwenye EALA.

Huyu mwenyekiti alikwazwa sana siku mwenyekiti aliyestaafu anaingia pale kwenye mkutano mkuu halafu mkawa mnaimba "mna imani na MTU fulani". Analishughulikia hilo kimya kimya na kwa staili ya aina yake.

Kwa mwendo huu sioni ni nani kati yenu ninyi wabunge wa ccm atarudi 2020. Labda hao aliowapachika yeye, akina Ndumbaro, Mtulia na Dr Mollel, lkn wengine kwaherini.

Kuthibitisha haya angalia hata jinsi alivyo hangaika kuwapata mawaziri wake! Wengi wao amewatoa nje ya kundi la wabunge, akawapa ubunge kisha uwaziri na pia ili kuwaua kisiasa wagombea urais wengine amewateua kuwa mawaziri au mabalozi na wengine kawapachika uNEC.

Anawachukia ila hamjijui tu. 2020 nyote mtakatwa, SUBIRINI mtaona na MTANIKUMBUKA.
 
Na hii nawambieni ninyi wabunge wa ccm 2020 wengi wenu mtalia na kisaga meno, maana mtakuwa mkikatwa kama Shyrose Bhanji alivyokatwa kwenye EALA.

Huyu mwenyekiti alikwazwa sana siku mwenyekiti aliyestaafu anaingia pale kwenye mkutano mkuu halafu mkawa mnaimba "mna imani na MTU fulani". Analiahughulikia hilo kimya kimya na kwa staili ya aina yake.

Kwa mwendo huu sioni ni nani kati yenu ninyi wabunge wa ccm atarudi 2020. Labda hao aliowapachika yeye, akina Ndumbaro, Mtulia na Dr Mollel, wengine , kwaherini.

Kuthibitisha haya angalia hata jinsi alivyo hangaika kuwapata mawaziri wake! Wengi amewatoa nje ya kundi la wabunge, akawapa ubunge kisha uwaziri na pia ili kuwaua kisiasa wagombea urais wengine amewateua kuwa mawaziri na ubalozi na wengine kawapachika uNEC.

Anawachukia ila hamjijui tu. 2020 nyote mtakatwa, SUBIRINI mtaona na MTANIKUMBUKA.
Sasa unataka hao wabunge wafanye nini?!!
 
kwa hiyo na pm atamwondoa maana nae alikuwa na iman na mamvi
Hilo liko wazi mkuu, pm ajaye ni Bashite ndiyo maana anagawa miguu ya bandia, anatafutia wanawake wa DSM waume waliotelekeza watoto, anapima watu afya bure, n.k ili agombee ubunge mojawapo ya majimbo ya dsm
 
Nashangaa leo wabunge wa CCM wanaotukanwa kila siku wanaonewa huruma ili waweze kurudi tena bungeni 2020. Kweli mtanzania ni binadamu mgumu sana kumuelewa.
 
haaaa huyo [HASHTAG]#sexless[/HASHTAG] tangia adangnye mara yeye mwanaume mara mwanamke waga simuamini tena
 
[QUOtrillion arusi, post: 27299068, member: 67608"]Watu wa Chadema bwana, kipindi kile si mlikua mnasema JPM hawezi kuibadili CCM tatizo mfumo.. Leo kiko wapi.. Magu tuletee mabadiliko[/QUOTE]
1.5 trilion
 
Ni muda muafaka sasa ambapo bado mna nafasi ya kusikilizwa na chama kama wabunge kuyapinga baadhi ya maamuzi ya mwenyekiti anayoyafanya ktk chama.

Anatumia kivuli cha kusafisha chama lkn kiuhalisia anawaondoa wale wote waliokuwa wapambe wa wagombea urais wenye ushawishi 2015.

Na hii nawambieni ninyi wabunge wa ccm 2020 wengi wenu mtalia na kusaga meno, maana mtakuwa mkikatwa kama Shyrose Bhanji alivyokatwa kwenye EALA.

Huyu mwenyekiti alikwazwa sana siku mwenyekiti aliyestaafu anaingia pale kwenye mkutano mkuu halafu mkawa mnaimba "mna imani na MTU fulani". Analishughulikia hilo kimya kimya na kwa staili ya aina yake.

Kwa mwendo huu sioni ni nani kati yenu ninyi wabunge wa ccm atarudi 2020. Labda hao aliowapachika yeye, akina Ndumbaro, Mtulia na Dr Mollel, lkn wengine kwaherini.

Kuthibitisha haya angalia hata jinsi alivyo hangaika kuwapata mawaziri wake! Wengi wao amewatoa nje ya kundi la wabunge, akawapa ubunge kisha uwaziri na pia ili kuwaua kisiasa wagombea urais wengine amewateua kuwa mawaziri au mabalozi na wengine kawapachika uNEC.

Anawachukia ila hamjijui tu. 2020 nyote mtakatwa, SUBIRINI mtaona na MTANIKUMBUKA.
Acha ccm ijifie yemyewe
 
Hao wabunge wa CCM ni sikio la kufa halisikii dawa.........

Ngoja ifike 2020 waanze kuona "kiama" cha kukatwa majina yao ndipo akili zitakapowarudi

Yale yaliyotokea jimbo la Siha na Kinondoni kwenye uchaguzi wa marudio bila kutumia kura za maoni ndicho kitakachotokea nchi nzima kwa mwaka 2020
 
Ni muda muafaka sasa ambapo bado mna nafasi ya kusikilizwa na chama kama wabunge kuyapinga baadhi ya maamuzi ya mwenyekiti anayoyafanya ktk chama.

Anatumia kivuli cha kusafisha chama lkn kiuhalisia anawaondoa wale wote waliokuwa wapambe wa wagombea urais wenye ushawishi 2015.

Na hii nawambieni ninyi wabunge wa ccm 2020 wengi wenu mtalia na kusaga meno, maana mtakuwa mkikatwa kama Shyrose Bhanji alivyokatwa kwenye EALA.

Huyu mwenyekiti alikwazwa sana siku mwenyekiti aliyestaafu anaingia pale kwenye mkutano mkuu halafu mkawa mnaimba "mna imani na MTU fulani". Analishughulikia hilo kimya kimya na kwa staili ya aina yake.

Kwa mwendo huu sioni ni nani kati yenu ninyi wabunge wa ccm atarudi 2020. Labda hao aliowapachika yeye, akina Ndumbaro, Mtulia na Dr Mollel, lkn wengine kwaherini.

Kuthibitisha haya angalia hata jinsi alivyo hangaika kuwapata mawaziri wake! Wengi wao amewatoa nje ya kundi la wabunge, akawapa ubunge kisha uwaziri na pia ili kuwaua kisiasa wagombea urais wengine amewateua kuwa mawaziri au mabalozi na wengine kawapachika uNEC.

Anawachukia ila hamjijui tu. 2020 nyote mtakatwa, SUBIRINI mtaona na MTANIKUMBUKA.

Sio sahihi sana musema mh mwenyekiti anawachukia wabunge wake tatizo wabunge wengi wa CCM 2015, hawakupatikana kwa sifa zao, bali wengi walitokana na msukumo na pressute kubwa ya makundi ya urais ndani ya CCM 2015
Sio siri wengi wao walitumia pesa nyingi sana kwenye kura za maoni za ndani ya chama
Ni dhahiri wabunge wengi CCM hawatarudi, mh mwenyekiti hawezi kuvumilia michakato ya rushwa tena ndani ya COM, kwani hata yeye aliona rushwa ilivyo wakati wa kutafuta wadhamini ndani ya CCM
 
mh mwenyekiti hawezi kuvumilia michakato ya rushwa tena ndani ya COM,
Kwa nafasi aliyo nayo tulitegemea apambane na rushwa kimfumo na siyo kwa matukio kadhaa tu. Kama kweli anaichukia rushwa mbona ameruhusu ununuzi wa wabunge na madiwani toka upinzani?

Ndugu yangu huyu mwenyekiti haichikii rushwa, bali anaitumia silaha ya kupambana na rushwa kuwakomoa "wabaya" wake kisiasa.
 
Ni muda muafaka sasa ambapo bado mna nafasi ya kusikilizwa na chama kama wabunge kuyapinga baadhi ya maamuzi ya mwenyekiti anayoyafanya ktk chama.

Anatumia kivuli cha kusafisha chama lkn kiuhalisia anawaondoa wale wote waliokuwa wapambe wa wagombea urais wenye ushawishi 2015.

Na hii nawambieni ninyi wabunge wa ccm 2020 wengi wenu mtalia na kusaga meno, maana mtakuwa mkikatwa kama Shyrose Bhanji alivyokatwa kwenye EALA.

Huyu mwenyekiti alikwazwa sana siku mwenyekiti aliyestaafu anaingia pale kwenye mkutano mkuu halafu mkawa mnaimba "mna imani na MTU fulani". Analishughulikia hilo kimya kimya na kwa staili ya aina yake.

Kwa mwendo huu sioni ni nani kati yenu ninyi wabunge wa ccm atarudi 2020. Labda hao aliowapachika yeye, akina Ndumbaro, Mtulia na Dr Mollel, lkn wengine kwaherini.

Kuthibitisha haya angalia hata jinsi alivyo hangaika kuwapata mawaziri wake! Wengi wao amewatoa nje ya kundi la wabunge, akawapa ubunge kisha uwaziri na pia ili kuwaua kisiasa wagombea urais wengine amewateua kuwa mawaziri au mabalozi na wengine kawapachika uNEC.

Anawachukia ila hamjijui tu. 2020 nyote mtakatwa, SUBIRINI mtaona na MTANIKUMBUKA.

Labda utawadanganya chadema wenzako, kama kilio kinakuja CCM na wewe unalijua hilo iweje utake kuwashawishi wajipange ili kilio kisije na wao CCM kuendelea kutawala?

No logic, no sense!
 
Back
Top Bottom