Wabunge na ujanja wao katika kukwepa swali la posho zao

nitonye

JF-Expert Member
Dec 18, 2011
7,273
3,750
mimi najiuliza ila sipati majibu inakuwaje kila mbunge anayeulizwa kuhusu swala kupanda kwa posho zao hawajibu straight wanabakia kukwepa tu mfano Hamadi Rashid anaulizwa kuhusu msimamo wake anaanza kujibu eti ni mfumo unaoleta haya yaani kila mbunge, hii imekaaje jamani
 
Ulitaka akujibu vipi?. Kama jibu unalo hakuna haja ya kumuuliza!
 
Mimi nadhani t2silijadili sana hili coz haito saidia kit2 kujadili kwet2 na isitoshe wao ndo wanaendelea kula hela zao t2nazani ndio itaondoshwa iyo posho mpya kwa kujadili kwet2?
 
Back
Top Bottom