Wabunge (CHADEMA): Chama kwanza utaifa baadae

Whether you crazy members of CHADEMA accept or not, the truth will always remain in your dead intellects. CHADEMA'S MPs are not worthy to be representatives. They are robbers, pretenders, and Gangsters. Should all be in Arusha? Shame on them and you

Wabunge makini kabisa ndio hawa hapa;
ImageUploadedByJamiiForums1372145063.559726.jpg ImageUploadedByJamiiForums1372145165.898839.jpg
 
Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1372145353.058552.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1372145353.058552.jpg
    64.8 KB · Views: 35
ccm ina viongozi wengi wenye heshima zao, pale walienda viongozi wa mkoa wa arusha wa chama, nyie si mnafatana ili kuongeza idadi na uzito kwa sababu mko wachache?

Imekuwaje walikuja akina chemba na nepi kwenye kampeni kama mko wengi???Na kilichowafanya wasije kwenye msiba ni nini kama hawahusiki na mauaji???Acha ununda watu washaerevuka.
 
Huna jipya mtoa mada! Mara ngapi tumesikia Rais yupo Dodoma na kuitisha mkutano na wabunge wa CCM wakati bunge likiendelea? Hii si kutumikia chama cha mapinduzi? Kama ingekuwa kutumikia taifa Rais angeitisha mkutano wa wabunge wote wa Bunge la Jamhuri na si wale wa CCM tu! Acha propaganda isiyoeleweka.

Huu si ukweli hata kidogo kwa kuwa jk hajapata kuita mkutano wa wabunge wakati bunge likiwa linaendelea....kweli jamvi hili limekuwa ngome ya uzushi na uongo
 
Imekuwaje walikuja akina chemba na nepi kwenye kampeni kama mko wengi???Na kilichowafanya wasije kwenye msiba ni nini kama hawahusiki na mauaji???Acha ununda watu washaerevuka.

Kwa mantiki hiyo kuwa mtu asipo hudhuria kwenye msiba basi ni muuaji, nadhani Dr Slaa awe muuaji nambari one, maana ni chama chake ndicho kilipata majanga, yeye ndie kiongozi wa chama, lakini alishindwa kusitisha ziara yake na kwenda kuwapa pole wafiwa.
 
Nyie bakini mkilia na Slaa ilhali nchi yaangamia kila nyanja kila idara na kwenu tumewajua ule sio msiba ni sherehe.
 
Wana-JF;

Suala la wabunge wa CHADEMA kuendekeza chama chao kuliko utaifa (bungeni) kwa sasa limedhihiri.

Wabunge wa CHADEMA wamekuwa wakikosa vipindi vingi vya bunge, tena kwa ujumla wao, huku wakizijua athari zitokanazo na mahudhurio mabovu.

Wamekuwa wakifanya 'chokochoko' makusudi kabisa, ili wamlazimishe spika kutumia kanuni awatoe, ili waende majukwaani na kukitumikia chama chao.

Tukio la Arusha nalo limefanywa kisiasa, kwani wabunge wote wa CHADEMA wamepanga kutohudhuria bungeni, ili wapate fursa za kukaa majukwaani na kukitumikia chama.

Wito wangu kwa CHADEMA, ifike wakati sasa taifa mlipe kipaumbele kuliko chama chenu, bunge la bajeti ni bora zaidi kuliko mnayo angaika nayo huko Arusha.
kwa hiyo wabunge wa ccm ndo wenye uzalendo kwa taifa letu? Je kuunga mkono mauaji ya polis ni utaifa? Je kufanya mauaji aliyofanya mwigulu ndo utaifa? Wabunge wa ccm wanahudhuria vikao kwa ajili ya kupata posho za vikao na si kuwawakilisha wananchi!
 
Wana-JF;

Suala la wabunge wa CHADEMA kuendekeza chama chao kuliko utaifa (bungeni) kwa sasa limedhihiri.

Wabunge wa CHADEMA wamekuwa wakikosa vipindi vingi vya bunge, tena kwa ujumla wao, huku wakizijua athari zitokanazo na mahudhurio mabovu.

Wamekuwa wakifanya 'chokochoko' makusudi kabisa, ili wamlazimishe spika kutumia kanuni awatoe, ili waende majukwaani na kukitumikia chama chao.

Tukio la Arusha nalo limefanywa kisiasa, kwani wabunge wote wa CHADEMA wamepanga kutohudhuria bungeni, ili wapate fursa za kukaa majukwaani na kukitumikia chama.

Wito wangu kwa CHADEMA, ifike wakati sasa taifa mlipe kipaumbele kuliko chama chenu, bunge la bajeti ni bora zaidi kuliko mnayo angaika nayo huko Arusha.

HONNEY-D, mmmmh!!!!?
 
NDUgu zanguni,

Nimegundua kuwa kila kukicha Hawa makamanda WA Chadema wamekuwa wakifanya upuuzi WA kila aina ili wakamatwe halafu wawe gumzo mitaani.

Ningependa kuwashauri waheshimiwa sana makamanda,

Hebu fanyeni kazi za kulijenga taifa, huko jela mnamaliza vya kula vya wanaostahili kuwa huko,

Au ile harufu ya lupango Kwenu Ni manukato.

Cc, Sugu, Lema na wengineo wapenda misifa....

JITAMBUE!
 
watu wengine akili zao zinarudi utoto.
kila siku unapost mambo yahusuyo chadema kwa mabaya.
Hivi CCM hawana mabaya? si ndio hao wamegeuka kuwa magaidi,kufungulia watu mashtaka ya ugaidi,
kuwagia watu tindikali na kuwatibu wenyewe? mbona hayo huandiki?
unafiki ni pale mtu unapojiona huna hatia wala dhambi,kwa mwenzio ndio kuna uvundo na dhambi siku zote..
natumai polisi ulifukuzwa na sio ulijitoa kwani upeo wake ni sawa na zero.
Uko UK umeshuhudia siasa za maji taka kama zako?
vijana wako bize na maendeleo wewe kutwa kucha majungu.
nchi haijengwi kwa majungu
 
NDUgu zanguni,

Nimegundua kuwa kila kukicha Hawa makamanda WA Chadema wamekuwa wakifanya upuuzi WA kila aina ili wakamatwe halafu wawe gumzo mitaani.

Ningependa kuwashauri waheshimiwa sana makamanda,

Hebu fanyeni kazi za kulijenga taifa, huko jela mnamaliza vya kula vya wanaostahili kuwa huko,

Au ile harufu ya lupango Kwenu Ni manukato.

Cc, Sugu, Lema na wengineo wapenda misifa....

JITAMBUE!

Mzee huchoki tu na siasa zako za majitaka? Acha useeeengereeeema wewe
 
na ndo maana wanauojua kusoma alama za nyakati wanajua Chadema kitapoteza viti vyote vya ubunge kwenye uchaguzi mkuu mwaka 2015
 
NDUgu zanguni,

Nimegundua kuwa kila kukicha Hawa makamanda WA Chadema wamekuwa wakifanya upuuzi WA kila aina ili wakamatwe halafu wawe gumzo mitaani.

Ningependa kuwashauri waheshimiwa sana makamanda,

Hebu fanyeni kazi za kulijenga taifa, huko jela mnamaliza vya kula vya wanaostahili kuwa huko,

Au ile harufu ya lupango Kwenu Ni manukato.

Cc, Sugu, Lema na wengineo wapenda misifa....

JITAMBUE!

Ungekua unajitambua usingekubali kulala sebuleni kusikilizia vilio vya mahaba wakati dada yako anashugulikiwa. Jitambue Chris Lukosi wewe na dada yako mnatofauti gani dada akisafiri kazi kwako.
 
Back
Top Bottom