Nduka
JF-Expert Member
- Dec 3, 2008
- 8,552
- 2,360
Mkuu kama unazungumzia ubora hapo utakuwa sawa lakini kama tunazungumzia uwepo basi mji huu una barabara za mjini kushinda mikoa mingi sana ya Tanzania, tatizo ni utamaduni wa sisi wanyamwezi kulialia kila siku ndio maana mtu kama hajafika tbr anaweza kufikiri ni jehanamu flani hivi. Inaonekana upo fiti lakini data zako ni outdated enzi za akina kaserkandis na diamond talkies.Mkuu Eschelichia Coliform aka EColi, hebu nifafanulie vizuri maana mimi kila nikikutana na watu wa Tabora wananiambia hali ni mbaya zaidi, Barabara iliyowekewa lami ambayo na watu wasio wataalam wasiojua hata CBR