Wabunge aina ya Aden Rage hawatatufikisha popote kimaendeleo

poleni watu wa Tabora mjini kwa kumchagua RAGE,ambaye ni MWIZI WA PESA za TFF alihukumiwa kwa wizi na akafungwa kutokana na Kosa la WIZI
wizi ni tabia ambayo ni vigumu kuiacha,sijui watu wa tabora walimuamini vipi kua ameaacha WIZI kama ambvyo mahakama zetu za Tanzania zilithibitisha?
Nadhani hakuna mbuge yeyote mle mjengoni kwa sasa ambae Mahakama ilisha wahi kuthibitisha na kumhukumu kwa kosa la WIZI zaidi ya RAGE,historia imeandikwa kwa ujinga huu wa watu wa Tabora Mjini.
 
Mimi Rage aliniacha hoi kusema wao wana Tabora hawadanganyiki kisha akakisifu magamba na serikali yake 'iliyo tukuka'. Baada ya hapo akaanza kushusha mlolongo wa matatizo yanayo wakabili huku akisema kuwa ni ya miaka mingi iliyopita chini ya serikali ya magamba.

Akazungumzia barabara, maji na mwisho akasema anaunga mkono hoja kwa 100%! Yani nilijikuta natokwa na maneno ya hasira mbele ya mabosi wangu waliokuwa wanafuatilia mijadala ya bunge
 
  • Thanks
Reactions: LAT
Mwacheni huyoo, ivi bado pale station ya reli ukifika kuna tule tukauli "chai chapati, haya chai chapati"
 
hana lolote kwanza haonekani jimboni kitambo anawakilisha jimbo kwa kutumia cm. ndio maana hata mambo aliyo changia aidha hayapo au kayakosea vibaya. mfn: 1.alisema bwawa la IGOMBE limekauka wakati sio kweli tatizo pale ni pampu za kusukuma maji, bwawa lilo kauka ni la KAZIMA, 2. kasema anaipongoze serikali kwa kutokuwa na upungufu wa madawati kwa shule za sekondari yaani hajui kama watoto wa sekondari hawapokelewi shuleni bila kwenda na dawati badala ya kutupongeza wazazi anapongeza serikali! 3. kasema kuna uhaba wa MADAWATI ELFU KUMI NA MOJA KWENYE SHULE ZA MSINGI! jamani shule za msingi jimbo zima ziko 56 hata kama zote ziwe hazina dawati hata moja basi yange hitajika madawati 5880 tu. lakini hata hivyo madawati yana tengwa kwenye bajeti ya halmashauri ambayo yy kama mbunge alipaswa kwenda kuhakikisha bajeti hiyo ina tengwa, ila huyu jamaa hahudhurii kabisa vikao vya baraza la madiwani, ancho jua yy ni bunge tu "nafasi aliyo itafuta kwa muda mrefu". HATUNA MUWAKILISHI.
 
Mimi ni mwenyeji wa tabora kwa miaka mingi na ninaifahamu vizuri. mh rage awe mwangalifu sana,watu wa tabora hawataki kusifiwa ,wanachotaka kutatuliwa atatizo yao. kwa hivi sasa Tabora kuna tatizo la umasikini mkubwa ,ajira hakuna kabisa,kile kiwanda cha nyuzi kilichokuwepo kimekufa,treni zilizokuwa zikipita Tabora na kutoa ajira kwa mama lishe sasa treni hakuna. sasa hivi Tabora kuna tatizo kubwa la maji wakati maji miaka 4 lilikuwa halipo. Ili mh .rage wana Tabora wakukumbuke tatua tatizo la maji,barabara na ajira. sasa hivi Tabora ina wageni wengi ambao wamehamia na kuna maendeleo yanaonekana ,halafu vyuo vikuu vimeanza kufunguliwa ,sasa ili maendeleo yapatikane ,mh rage imarisha miundo mbinu
 
hana lolote kwanza haonekani jimboni kitambo anawakilisha jimbo kwa kutumia cm. ndio maana hata mambo aliyo changia aidha hayapo au kayakosea vibaya. mfn: 1.alisema bwawa la IGOMBE limekauka wakati sio kweli tatizo pale ni pampu za kusukuma maji, bwawa lilo kauka ni la KAZIMA, 2. kasema anaipongoze serikali kwa kutokuwa na upungufu wa madawati kwa shule za sekondari yaani hajui kama watoto wa sekondari hawapokelewi shuleni bila kwenda na dawati badala ya kutupongeza wazazi anapongeza serikali! 3. kasema kuna uhaba wa MADAWATI ELFU KUMI NA MOJA KWENYE SHULE ZA MSINGI! jamani shule za msingi jimbo zima ziko 56 hata kama zote ziwe hazina dawati hata moja basi yange hitajika madawati 5880 tu. lakini hata hivyo madawati yana tengwa kwenye bajeti ya halmashauri ambayo yy kama mbunge alipaswa kwenda kuhakikisha bajeti hiyo ina tengwa, ila huyu jamaa hahudhurii kabisa vikao vya baraza la madiwani, ancho jua yy ni bunge tu "nafasi aliyo itafuta kwa muda mrefu". HATUNA MUWAKILISHI.
Nakubaliana na wewe asilimia mia tisa themanini na kumi na tisa.
 
Sikieni alichokisema jana; kuwa anawashukuru sana watu wa manicipal ya Tabora kwa kumchagua kuwa mbunge... nafasi ambayo amekuwa akitafuta kwa muda mrefu...Kwamba Tabora hawadanganyiki kwa kuwa hakuna jimbo hata moja lilochukuliwa na upinzani. Kauli ya Rage kwamba amekuwa akitafuta ubunge kwa muda mrefu inaonyesha kuwa lengo ni personal zaidi ya jamii iliyomchahua... amethibitisha tu kuwa alitaka kuwa mbungeSwala la kusema Tabora hawandanyiki ni dharau kwa watanzania. Nimuulize Rage vipi kuhusu ahadi mbalimbali ambazo zinatolewa na CCM zingine over 20 yrs old mpaka leo hazijatekelezwa je si kuwadanganya wananchi? Vp swala la umeme? Ubora wa elimu? Matatizo ya malipo ya walimu ni ahadi ya mwaka gani? Maisha bora six years later social services zinakuwa worse je si kuwadanya wananchi?Nimalize kwa kusema kama ni track record ya kudanganya basi CCM itakuwa inaongoza... after all upinzani haujawi kushika madaraka.Wabunge wasifanye bunge kuwa kijiwe cha majigambo juu ya vyama vyao na nani ni nani kamwe hawatasaidia kuleta maendeleo nchini TZ.[/QUOTE

Ndio baadhi ya wananchama wa sisiem waliochoka sana ......wengine ni...
  • Dr kigwangala
  • Mkuchika
  • Wasira
To infinity.............
 
nchi haijengwi na wahamiaji bali wazalendo. tabora ni kati ya mikoa masikini hapa tz kwa hiyo iko nyuma kila nyanja sio elimu tu hata uelewa wa watu wake nitofauti na mikoa mingine. siwashangai angalieni hao majizi yote yako Mororgoro,Abood, sadiq, na tabora RA,Rage, etc utaona maeneo hayo hayana maendeleo kila kukicha ni masikini wakutupwa.
 
Tabora's case is pathetic. Watu wanapandia ngazi kuelekea kwenye utajiri.
 
Back
Top Bottom