..Wabongo tuwe wastaarabu...khaaaah

..Mtu na akili zako kweli unafungua zipu ya Suruali na kutoa Limshedede lako halafu unakojoa juu ya Sink la kunawia badala ya kukojoa chooni!!!@@###
..Hii imetokea Uwanja wa Taifa jana katika mechi ya Yanga na Azam.

"Miafrika ndivyo Tulivyo" - Nyani Ngabu

yanga-6.jpg

Hawa watakuwa mashabiki wa Simba tu
 
inakera sana , hapo watu wazima wanataka wasimamiwe mpaka chooni yani wanataka chooni kuwe na gari la maji washa na FFU kama 10 hivi.
 
..Mtu na akili zako kweli unafungua zipu ya Suruali na kutoa Limshedede lako halafu unakojoa juu ya Sink la kunawia badala ya kukojoa chooni!!!@@###
..Hii imetokea Uwanja wa Taifa jana katika mechi ya Yanga na Azam.

"Miafrika ndivyo Tulivyo" - Nyani Ngabu

yanga-6.jpg
walibidi watengeneze na vyoo vya shimo ili kwa wale wavivu wa kuflash waende uko.
 
Inaezekana kunasababu iliyowafanya hao jamaa kukojoa hapo mahali, mtoa maada hukuipata hyo?
..Mkuu uhangaike kutafuta sababu ikusaidie nini na jambo lishafanyika!. Hapa tunaelimishana tuwe wastaarabu, tumelilia uwanja tumepata, tuwe wastaarabu tuutunze. Nukta.
 
Back
Top Bottom