Wabeba vitu vizito (mabaunsa) DSM

Kaka eeh,

Naona sasa umeamua kututania eeh...sawa!

Nguvu tunazo kaka, tunapigana mbaya na mechi za 'nyumbani' tunapiga game balaaa hahahahahaha!

Dont try this at home.....
 
tatizo liko wapi, kikubwa usipende kuamini sana lililo la kwako, muongo nani sasa www.rotten.com au mimi ? maana mimi nilisoma humo, Nyani Ngabu wewe hivi unajua kila kitu? mi naamini huji kila, jifunze kuwa na hekima kwenye mijadala kama hili

Mimi naongea kwa mamlaka ya practical experience ya miongo miwili na elimu ya chuoni (ya physical education). Wewe unaenda kutuletea rotten.com...toka lini hao wakawa chanzo cha habari za maana? Unachekesha kweli wewe.
 
Bawa Mwamba umekimbia lol

nikimbie nini ?mzee
HTML:
..NB: Lol...ni diaphragm...na si diafram

J.F ni kiswaenglish kama umeweza kuielewa inavyoandikwa kitaalam mbona hujasema ushiriki wake na misuli kwenye kuinua nondo?
hukulielewa swali ndio maana unataka kupeleka mambo unapotaka.,;
 
Mimi ni mmpenzi sana wa mazoezi ya aerobikale na ya kunyanyua vitu vizito(vyuma) sasa kuna hili swala linanitatiza sana kwa mabaunsa/wanyanyua vitu vizito wengi hapa DSM na sehemu nyingine za TZ wana train eneo moja tu la kifua madhara yake ni kwamba mtu anakuwa na umbile kama la gitaa i.e anajaa juu/kifua sana tena na kibiongo juu kwa vile anapress bench tu bila kupiga na mgongo. Matokeo yake miguu inakuwa membamba kama fito na haina nguvu. na ndio maana wengi wao hawavagai kaptula. Kuna madhara mengine ya kibailojia nimesikia yapo ila sina uhakika nayo labda watalaalamu watusaidie hapa.

Je ni kutokujua au imegeuka kuwa tamaduni?
JE swali ulilielewa?move ya thread
Na majibu YANGU?straining, DIAFRAM au?
NINA WEBSITE ya wabeba nondo na mamahusiano yake na vitu vizito na malalamiko ya rectal prolapse.tena huko huko mamtoni[marekani]
Niliorder publications kutoka Pub med na Elseviour ambako mimi ni member ,.lakini wakaniomba hela,sasa nimelipia na zimekuja.,nitazitoa hapa ili kila mtu anufaike.,lakini naanzia na elimu yako mwalimu<<>?
tuambie tu straining na DIAFRAM uhusiano wake na vitu vizio,.halafu nakuletea website ya huko huko uliko kwenye jim nyingi[marekani] uhusiano na RECTAL PROLAPSE...[Straining uliileta mwenyewe ndio maana wengi walikujibu humu humu]
UPO hapo bob

Baadaye scholary vitu vya Pub med na Elseviour vitaingia,.swali hujibu swali Nyni NGABU.UKO kwa wazee wa FANI,.au Ulidandia TRENI KWA MBELE.,maana majibu yote yako juu ya thread hii.,nilikuwa nakufuatilia tu
HAha,.lol.,..
 
Mimi naongea kwa mamlaka ya practical experience ya miongo miwili na elimu ya chuoni (ya physical education). Wewe unaenda kutuletea rotten.com...toka lini hao wakawa chanzo cha habari za maana? Unachekesha kweli wewe.

KUNA ELIMU NYINGI za AJABU huko ndio maana hata elimu ya kurudisha magovi [foreskin restoration] ina WEBSITE zake,.lakini zinaitwa non scholary reference .,lakini zinaweza kutumika kama general information,ni kama udaku,.lakini udaku unaweza kufanya kazi kama ukihusishwa na vyanzo sahihi..na sio visivyo na utafiti.,NYANI naogopa kuongea mengi ,nikifafanua zaidi ninayoongea sasa hivi kila mtu atanijua mimi ni nani.UHURU WANGU bandia wa kuongea chini ya jina BAndia utapotea,.nisingependa hivyo.Toa maelea ya maswali yangu mawili tu straining na DIAFRAM na nondo tu..tumalize,...
 
Kwa bahati mbaya sana Gym za Dar hazina trainers wazuri..wengi wanafanya kwa uzoefu na ni rahisi kumpotosha mtu. Inabidi uwe makini sana na walimu uchwara walio jaa gym. Lakini kwa afya zetu zilivyo gym muhimu
 
Unachekesha kweli wewe.
education is a transformation of knowing something from one person to another person, according to the nature.
But some how it stands of understanding, hivyo unaweza ukawa umesoma mawazo ya mtu harafu ukajivunia wewe ni msomi, kulingana na usomi wako ulitakiwa kujua nani anachekesha kati ya mimi na www.rotten.com, kwani walivyoripoti jinsi watoto wa sadam walivyouwawa, haikuwa habari ya maana? we vipi eboo! harafu kumbuka kuwa unapoishia wewe kuelewa, ndipo mwingine anapoaanzia kuelewa, haiwezekani tukawa sawa. elimu kitu gani kwanza, kuna watu kazi kukariri tu, hata usishangae mtu ukawa Profeser na bado ukawa unaamini binadamu alitokana na nyani mpaka leo, usijisumbue akili yako kuutafuta ukweli.
 
UNPOFANYA UTAFITI,.NA KUAMUA KUUPRESENT ,MBELE YA WENZAKO.,HUWA KUNA SWALI MWISHO.,KIPI KIPYA KATIKA UTAFITI WAKO,.NA UNAMALENGO GANI YA KUUENDELEZA?HATA KAMA SIO WEWE BASI UMEWAACHIA WENZAKO WAJAO NAFASI GANI YA KUENDELEZA YALE ULIYOYAANZISHA?[periodic table of the chemical elements ILIYOGUNDULIWA MWAKA 1869 NA MRUSI BADO INAJAZWA MPAKA LEO ]
HUMU J.F.KUNA SIGNATURE KIBAO./,
MOJAWAPO NILIOIPENDA NI YA ABDULHALIM.,ALIKUWA ANAULIZA KILA MARA, KIPI KIPYA.,,kwa kuiangalia tu ,.unapata picha kuwa unadeal na Academician,.KWA TAFSIRI YANGU NI TUANZIE WAPI BAADA YA HAPO.,.
Nyingine ni SIGNATURE isemayo ., HATA MWAKYEMBE AKIBISHA ,....LAKINI UKWELI UPO PALE PALE.,.R,A..

NAONA UBISHI HUU HATA WEWE UNAO.SASA TUANZIE KWA NILIYOYAOMBA.,ILI TUMALIZE
YOU Need TO update your knowladge daily, na usinganganie ya zamani au uzoefu.,Bongo niliporudi kutoka masomoni , Kwa mara ya kwanza ofisini nilipata tabu mno na wazee wenye misimamo kama yako.,lakini baadaye nilieleweka.,.
 
Mimi naongea kwa mamlaka ya practical experience ya miongo miwili na elimu ya chuoni (ya physical education). Wewe unaenda kutuletea rotten.com...toka lini hao wakawa chanzo cha habari za maana? Unachekesha kweli wewe.

MHh nyani sasa uliongea nini?hoja yako uliitetea vipi kwa kutumia wikipedia sasa hivi ,.unabishia kwenye nini.,maybe ma mind playing tricks on me or?>..mh anyway thats not funny
 
HTML:
hapo ni vipi kwako? na umejiweka kundi gani, dunia ya sasa huwezi kumpata mtu atakaye kuitikia abee kwa kila jambo ni lazima utoe vielelezo vya kutosha

Tunavisubiri vielelezo kutoka kwa N.N ana ubishi wa asili

Originally Posted by Bawa mwamba
usinganganie ya zamani au uzoefu.,

kama alifundishwa zamani au ana ujuzi wa uzoefu wa nondo ,.kuna haja ya kuuboresha kwa kuufanyia update ya mara kwa mara.Asiwe mbishi kama Mwakyembe BWANA.
 
NYANI ACHA KUTETEA MLO WAKO.... WEWE SIO DAKTARI..... ubebaji vitu vizito unproportionally una madhara kiafya...ikiwemo iliyosemwa na ndege
 
Back
Top Bottom