Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,002
- 112,628
ya kwanza siwezi sema sana, but ya pili pamoja na m=kwamba inawza kumpata mtu yoyote, lakini kuna risk factors zake!!! its always irrational use ya hayo mavyuma au imbalanced load kwa mwili
Of course sio vizuri ukinyanyua hivyo vyuma kwa "form" mbaya. Hilo wala sibishi kwa sababu ni kitu cha ukweli na unaweza ukapata madhara mbalimbali kama kuchana msuli (actually kuchana tendon inayounganisha msuli na mfupa), unaweza uka-strain ligaments na kujisababishia maumivu makali na pia bila "form" nzuri hutapata results unazozitaka.
Ninachokataa mimi ni uzushi wa mambo ambayo si ya kweli. Na pia ktk hii fani kuna mambo mengi tu ambayo ni zaidi na kunyanyua. Kuna mambo ya nutrition, genetics, lifestyle, na supplements atumiazo mtu. Haina maana kila atakayenyanyua basi mwili wake utabadilika. La hasha!