Wababe wameishia wapi? zamani kulikuwa na wababe kwelikweli mtaani kila mtu anamuogopa

Wanume wa mikoani wanapenda vitu vya kijinga. Sa ubabe wa nini akati umeambiwa hii dunia ni akili tuu. Sasa hivi pigana uone kama hujamalizia hela polisi na mahakamani.
Lkn mkuu Naona wababe wa Dar ndio wanaotajwa hapa
 
Ubabe siku hizi hauna maana watu wanatumia nguvu kwenye mambo ya msingi, ukimpiga mtu hana haja ya kupambana na wewe ila akienda kituo cha Polisi ujue utamlipa pesa ndefu.

Hali ya maisha ya sasa ni ubabe tosha, wacha tupambane.
 
ila movies za kibabe zilizokuwa zinaangaliwa miaka ya tisini kushuka chini zilichangia sana masuala ya ubabeubabe. siku hizi watu wanaangalia movies za kikorea na za kihindi zilizotafsiriwa ubabe watauanzia wapi. enzi hizo ni mambo ya you are next, lezi go, faki yuu eso nk.
 
Keko kulikuwa na Chela.
Mara ya mwisho kumuona anaweza kupigwa hata na Mtoto wa miaka mitano. Unga huo
 
Hivi selekumcha aliendaga wapi? Kulikuwa na jamaa anaitwa pawa mabula alikuwa anazuia landrova kwa meno.
 
Ila kuna jamaa anaitwa Makonda huyu anamkono noma anaweza zuia hata cruza kwa mkono, halafu dar wanamhara sana.
 
Miaka ya 2005 iv Mwanza kulikua na kundi moja wanajita MAPIMPILI hawa jamaa walikua hatari sana,wakiongozwa na kajamaa flaiv kadogo dogo kalikua kanajiita "JOKA MAN" mitaa yao ilikua Nyamanoro Pasiansi na kilimahewa.
 
Kinondoni ...kulikuwa na wababe Wakina bob chura(rip)po,Paul siza(tip),Juma ngedere
Ukienda migomigo utamkuta wakati Huo Jamaa alikuwa mbabe anaitwa stiba,
Ukienda manzese kuna mbabe alikuwa anaitwa santana......
Kulikuwa na mbabe mmoja nakumbuka anaitwa wandiba(rip)

Siku Hzi ubabe utamfanyia nani maana kila mtu Yuko resi na maisha

Ova
Paul Siza mbona alikuwa mtu poa sana hana shida,alikuwa bondia bonge la mwili lakini hakuwa anaonea watu kibabe nilimuona kama mtetezi wa wanyonge zaidi,mlinda amani zaidi kuliko mleta ubabe,hata timu ya kitaa Care Boys ilikuwa haichokozwi kizembe na wahuni pale Paul Siza anapokuwapo kasimama tu,wahuni wote walikuwa wanazima fegi
 
Alikuwa mbabe fulani,sema si unajua sababu ya kuuliwa kwake
Yule ukingia kwenye 18 zake anakukaba mkuu
Alipoingia kwenye robbery kuna Tukio lke la kwanza watu walimuua mkuu
Duh care boyz umenikumbusha mbali sana

Ova
 
Kama yule Ndovu wa pale Utemini Singida miaka ya themanini na tisini mwanzoni,jamaa alikuwa anaweza kumnyanyua mtu kama anyanyuavyo glasi ya maji
Ya walikuwa wawili watoto wa mtemi Senge mmoja alimchukua aunt yangu kinguvu akazaa naye babu yangu mkali Lakini alivyosikia ni wao akafyata
 
Kinondoni ...kulikuwa na wababe Wakina bob chura(rip)po,Paul siza(tip),Juma ngedere
Ukienda migomigo utamkuta wakati Huo Jamaa alikuwa mbabe anaitwa stiba,
Ukienda manzese kuna mbabe alikuwa anaitwa santana......
Kulikuwa na mbabe mmoja nakumbuka anaitwa wandiba(rip)

Siku Hzi ubabe utamfanyia nani maana kila mtu Yuko resi na maisha

Ova

Aisee umenikumbusha huyu mbabe Wandiba! Alimchukuliaga jamaa yangu demu wake halafu wakampiga Mande
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom