AiseeeWengi wamezeeka, na hawakutaka kuwarithisha watoto wao ubabe
watu wanaangalia ubungo kidsila movies za kibabe zilizokuwa zinaangaliwa miaka ya tisini kushuka chini zilichangia sana masuala ya ubabeubabe. siku hizi watu wanaangalia movies za kikorea na za kihindi zilizotafsiriwa ubabe watauanzia wapi. enzi hizo ni mambo ya you are next, lezi go, faki yuu eso nk.
No,umemchanganya na Komando Sele aliyewahi kufanya kazi Barick Buli,Komando Sele ndiye aliuliwa pale GGM,nilikuwepo karibu na alipopigwa risasi pale Airport siku ile.Semani Kumcha yeye alikuwa pale Kakola kama refa wa mapambano ya kareti pamoja na akina Master Fuvu (R.I.P)Tusha msahau huyo jamaa alipigwa lisasi nyingi sana mgodi wa geita akitaka kuchukua zahabu iliyo zaniwa kuwa nauzito wa tani moja.aliuwawa na komandoo wa kikaburu airport geita mgodini.