Waarabu hawakuwa Wakoloni Afrika?

Nilimshangaa FaizaFoxy aliposema Zanj Empire ni Zanzibar ya leo nikabaki nimeduwaa. Tatizo lake FaizaFoxy ni "usomi' wa Historia "sahihi" inayotolewa kuonyesha kwamba duniani kuna mfumo maalum wa kuuangamiza Uislamu!!

Tatizo la kukopia Mkuu,
 
Unaona sasa hio dini ya kubambikiwa inavyokuabisha?!
Acheni kuiga na kuabudu vya vya watu! Wewe FF inawezekana wala hujui uislamu ulianzia wapi na ni nani kaanzisha na kwa mantiki gani, utaweza ku quote koran (ilioandikwa na waaarabu) tena kwa kiislamu bila kujua maana yake, na ndio maana wenzetu wanajilipua kwa kutumaini watapokelewa na bikira uko wanakodhaniwa! ulimbukeni wa hali ya hali ya juu! Na ndio maana maana walioanzisha wako Saudia na NY wakivinjari na kuwaangalia ngozi nyueusi mkiisupport "dini yao" bila ya nyinyi kujua?! Wajinga ndio waliwao!

Tatizo lako hujui hata maana ya Uislaam. Naona unabwabwaja bila mpango.
 
Frankly, one should immediately get a vision of the slave market when thinking of Islam. Few understand that Islam enslaves physically and psychologically all that come under the influence of this predatory ideology. Then there's the actual slave trade...

On the contrary.
 
Kwahiyo hapa unataka kukanusha kwamba waarabu hawakuwa wanafanya biashara ya kuuza waafrika ama unataka kusemaje?

Juzi juzi tumesikia jinsi wakenya (hasa wamnawake)wanavyouzwa huko saudi arabia na kuteswa, huo ni ushahidi mmojawapo wa biashara ya binadamu kuwepo.

Mkuu,

Waarabu hawakufanya biashara ya utumwa kilichotokea ni propaganda tuu. Nataka nikukumbushe kuwa miaka ya nyuma sikumbuki hasa ni mwaka gani mataifa ya Afrika yalidai kupewa fidia na nchi ambazo zilifanya biashara ya utumwa kwani walinufaika sana na biashara hiyo.

Cha kushangaza hakuna hata taifa moja la kiarabu lililotajwa katika kudai fidia hiyo hivyo ikimaanisha kuwa waarabu hawafanya biashara ya utumwa na haikunufaika na chochote kutokana na biashara hiyo.

Kuhusu hicho kisa ulichokizungumza cha Kenya hiyo sio biashara ni mfanyakazi alikubali kwenda kufanya kazi Saudi Arabia lakini aliambulia kuteswa na boss wake ambapo awali walikubaliana vizuri na hapo inamaanisha sio utumwa ni vitu vengine tofauti na havihusiani kabisa na utumwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom