Waarabu hawakuwa Wakoloni Afrika?

"a European decision to make Africa end at the Red Sea has decisively de-Africanized the Arabian peninsula…the tyranny of the sea is in part a tyranny of European geographical prejudices. Just as European map-makers could decree that on the map Europe was above Africa instead of below (an arbitrary decision in relation to the cosmos) those map-makers could also dictate that Africa ended at the Red Sea instead of the Persian Gulf. Is it not time that this dual tyranny of the sea and Eurocentric geography was forced to sink to the bottom? (Ali A. Mazrui, Euro-Jews and Afro-Arabs: The Great Semitic Divergence in World History, 2008).
 
Tukitaka kujadili ni nini kiliwatokea watumwa waliopelekwa Uarabuni najua tutaachana njia. Wale waliopelekwa Uarabuni hawakuwa na bahati kama wenzao waliokwenda Ulaya na Amerika. Leo waliokwenda Amerika na ulaya masalia yao tunayaona lakini wale waliopelekwa Uarabuni imebaki hadithi!!

Mkuu Kigarama, wewe acha tu. Kuna uwezekano kuwa weusi waliopelekwa Uarabuni walikuwa wengi tu hata kuliko hao waliopelekwa Ulaya na Marekani. Tofauti ni yaliyowafika hao babu zetu huko walikopelekwa. Usishangae kuwakuta waarabu wesi kama sisi lakini huko Uarabuni hawaitwi Afro-Arabs kama huko Marekani wanakoitwa Afro-Americans.

Unajua ni sababu gani ? Uarabuni mtoto ni wa baba na mama hana haki yoyote kwa kiumbe alichokizaa, yeye ni chombo tu. Wanaume waliopelekwa Uarabuni kitu cha kwanza kilichofanyika ni kuwahasi. Wanawake on the other hand walifanywa "baby producers" na wale "waliowafuga" wakizalishwa watoto na hao watoto moja kwa moja wanakuwa wa mfugaji.

Utumwa Uarabuni haukuanza kwenye karne hiyo ya utumwa inayosimuliwa katika historia, hapana, utumwa ni "way of life" wa Mwarabu. Mwanamme anageuzwa "eunuch" (sijui kiwahili chake) na mwanamke anageuzwa "pleasure tool". Weusi waliopelekwa Marekani walitumikishwa na kupata mateso mengi sana lakini utu wao kama binadamu ulibaki "intact"

Sasa katika kujibu swali lako ni kuwa Waarabu hawakuwa wakoloni kwa maana ya kututawala, hapana Waarabu nia yao haikuwa hiyo. Waarabu walitumiliki kama unavyoweza kumiliki bidhaa yoyote ile. Utumwa nao waliuendesha katika misingi hiyo hiyo, tuliuzwa kwa Wazungu kama bidhaa yoyote ile mathalan wanunuzi wanapatikana - huyo ndiye Mwarabu.

Hivi hili la Waarabu kweli hatuwezi kulijadili bila kuingiza Udini ?
 
[FONT=Times,Times New Roman]At the very beginning of the first Century CE, Zanzibar was part of the Kingdom of Saba (115 BC-525 CE), also known as Sheba. The Sabeans were a maritime people, with a large kingdom in Yemen and used the seasonal monsoon winds to travel regularly to and from Zanzibar. Their sailed south between November to February, during the Northeast Monsoon, carrying beads, the Chinese porcelain and clothes. Between March and September, they returned to north on the Southwest Monsoon, carrying food grains, mangroves poles for timber, spices, gold (from Sofala), ivory and ebony. These Arabs knew the East African coast as "Zinjibar" and thence the romantic name Zanzibar is derived.
source: [/FONT]http://victorian.fortunecity.com/portfolio/543/crusades.html[FONT=Times,Times New Roman]
[/FONT]

mkuu tunaenda vizuri lakini hiyo source yako katika academic hua hatukubaliani nayo kwani kila mtu mwenye uwezo wakutumia vizuri TEHAMA anaweza kuweka au kuedit kazi.
 
mbona hakukuwa na movement za blacks arabuni?? Islam ilikomesha biashara ya utumwa karne ya 7, baada ya hapo hakukuwa na biashara ya utumwa arabuni

alikua ni mwingereza na vibaraka wake wa kiarabu wa oman walofanya biashara ya utumwa so mwarabu hakutawala ila alikua just ni kibaraka

Tatizo lenu mna edit historia ili kulinda uislam.ACHA KUPOTOSHA JAMII
 
mkuu tunaenda vizuri lakini hiyo source yako katika academic hua hatukubaliani nayo kwani kila mtu mwenye uwezo wakutumia vizuri TEHAMA anaweza kuweka au kuedit kazi.

Si lazima hata kuweka source ni ujumbe uliopo, unaweza ama kuukubali ama kuukataa kwa kuleta hoja mbadala.
 
Mkuu Kigarama, wewe acha tu. Kuna uwezekano kuwa weusi waliopelekwa Uarabuni walikuwa wengi tu hata kuliko hao waliopelekwa Ulaya na Marekani. Tofauti ni yaliyowafika hao babu zetu huko walikopelekwa. Usishangae kuwakuta waarabu wesi kama sisi lakini huko Uarabuni hawaitwi Afro-Arabs kama huko Marekani wanakoitwa Afro-Americans.

Unajua ni sababu gani ? Uarabuni mtoto ni wa baba na mama hana haki yoyote kwa kiumbe alichokizaa, yeye ni chombo tu. Wanaume waliopelekwa Uarabuni kitu cha kwanza kilichofanyika ni kuwahasi. Wanawake on the other hand walifanywa "baby producers" na wale "waliowafuga" wakizalishwa watoto na hao watoto moja kwa moja wanakuwa wa mfugaji.

Utumwa Uarabuni haukuanza kwenye karne hiyo ya utumwa inayosimuliwa katika historia, hapana, utumwa ni "way of life" wa Mwarabu. Mwanamme anageuzwa "eunuch" (sijui kiwahili chake) na mwanamke anageuzwa "pleasure tool". Weusi waliopelekwa Marekani walitumikishwa na kupata mateso mengi sana lakini utu wao kama binadamu ulibaki "intact"

Sasa katika kujibu swali lako ni kuwa Waarabu hawakuwa wakoloni kwa maana ya kututawala, hapana Waarabu nia yao haikuwa hiyo. Waarabu walitumiliki kama unavyoweza kumiliki bidhaa yoyote ile. Utumwa nao waliuendesha katika misingi hiyo hiyo, tuliuzwa kwa Wazungu kama bidhaa yoyote ile mathalan wanunuzi wanapatikana - huyo ndiye Mwarabu.

Hivi hili la Waarabu kweli hatuwezi kulijadili bila kuingiza Udini ?

Huko kwingine wacha mtoto kuwa wa baba hata mke anakuwa wa mume na anabadilishwa mpaka anapoolewa tuu. Anakosa mwanamke utambulisho wake anapoolewa tu huwa mali ya mume. Hilo huko Uarabuni hakuna, mtoto ni wa wote Hufata ubini tu wa baba na nasaba ya mama inabaki kama ilivyo haibadilishwi, kuweni wa kweli japo kidogo.
 
Tatizo lenu mna edit historia ili kulinda uislam.ACHA KUPOTOSHA JAMII

Uislaam haulindwi na mtu, ni mfumo wa maisha ya kila aliyejisalimisha kwa Mwenyeezi mungu. hauna haja ya kulindwa, unajilinda wenyewe, leo tunaona makundi kwa makundi ya watu wa mataifa mbali mbali wanarudi kwenye Uislaam, ni nani anaewalazimisha? hata wewe ulizaliwa Muislaam lakini unajidanganya tu, mpaka ulivyobatizwa. Kabla ya kubatizwa ulikuwa nani kama si Muislaam?
 
Si lazima hata kuweka source ni ujumbe uliopo, unaweza ama kuukubali ama kuukataa kwa kuleta hoja mbadala.
source ni muhimu sana dada kitaaluma sio suala la ujumbe tu, hivi kwani ww umeishia darasa la ngapi, samahani inawezekana jambo hili likawa juu sn kwako
 
source ni muhimu sana dada kitaaluma sio suala la ujumbe tu, hivi kwani ww umeishia darasa la ngapi, samahani inawezekana jambo hili likawa juu sn kwako

Darasa ndio nini?

Source ni muhimu pale unapom"quote" mtu "academically" hapa ni nani anaeandika "academic papers"? Na kuna wengine sisi wenyewe ni source za kutosha kabisa. Nikikuambia; wewe ni mjinga unataka nikupe source ya ujinga wako?

Juu wapi? Mbinguni? Unanchekesha.
 
MIMI SIO MJINGA kama UNAVYODHANI SI AJABU MIE MWL.WAKO DADA kama ni DADA KWELI. hakuna cha academic papers, hata assignments tu, ni lazima utoe source za kueleweka, ukileta website za ajabu ajabu lazima sisi tunaojua maana ya source tutakuuliza tu. Umeishia darasa la ngapi?
 
Nimekuuliza darasa ni nini?

Nimekuuliza nikikuambia mjinga utaniuliza "source" ya ujinga wako?

Jee, unajuwa jinsi "websites" zinavyokuwa "certified"? kama unajuwa tafadhali nioneshe hizo website za ajabu ajabu zina vigezo vipi?

Ukipewa "source" haina maana hiyo "website" ndio "source" au huelewi maana ya source? Maana yake ni "chanzo".

Sijawa na Mwalim asiyeelewa maana ya "source" na wapi hutumika.

"assignment" hapa kuna mtu kapewa "assignment"? Unanchekesha!
 
Waarabu walikuwa wafanya biashara. Ila wao shule iliwapiga chenga kwahiyo walileta balaa kubwa la kukamata watumwa,kuwafunga cheni, kuwahasi halafu kuwapeleka walikowapeleka. Walichotuachia ni kuamka asubuhi na mapema, kunywa kahawa na kucheza bao halafu kulalamika hawatendewi haki. What a world if a big shots\leaders were arabs?
 
What is Taught: The first mention of man in flight was by Roger Bacon, who drew a flying apparatus. Leonardo da Vinci also conceived of airborne transport and drew several prototypes.
What Should be Taught: Ibn Firnas of Islamic Spain invented, constructed and tested a flying machine in the 800's A.D. Roger Bacon learned of flying machines from Arabic references to Ibn Firnas' machine. The latter's invention antedates Bacon by 500 years and Da Vinci by some 700 years.
 
arab_slaverholdingafricans.jpg
 
Mecca had a huge slave market in former times.The rebellion of the Zanj in what is now Iraq was because of the brutality with which the Africans were treated by Arabs. Thousands of Africans were cruelly butchered in a ruthless massacre.Somehow the "Black Muslims" and the "Nation of Islam" swallowed this camel, that Islam was so "good" to Africans.
 
Hapa ndipo kwenye raha. Hivi hao babu zako hawakuuzana wenyewe kwa wenyewe?
Frankly, one should immediately get a vision of the slave market when thinking of Islam. Few understand that Islam enslaves physically and psychologically all that come under the influence of this predatory ideology. Then there's the actual slave trade...
 
Arabs hunted, enslaved, tortured and killed ethnic Africans for a millennium. Middle Eastern Muslim Arabs have a history of over 1400 years of human slavery, which even continues today in the Middle East. Arab Muslims controlled, maintained, initiated slavery of ethnic Africans. Islams Arab prophet Muhammad himself brought, kept and sold African slaves.

[url]http://www.youtube.com/watch?v=8zM_MzkLKPY

[/URL]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom