Waandishi kuwa na vibali zanzibar !!!

Kwame Nkrumah

JF-Expert Member
Dec 2, 2008
886
376
Waandishi wa habari Zanzibar wanatakiwa kuwa na vibali vya serikali ili kufanya kazi. Hii ni kwa mujibu wa Suleiman Seif, mwenyekiti wa Baraza la Habari Zanzibar akihojiwa na Idhaa ya Kiswahili ya Ujerumani.
Tunaelekea wapi nchi hii? Lengo ni kuwabana waandishi kama vile madaktari wanavyonyang'anywa leseni wanapodai mazingira bora ya kazi.
Ni dhahiri hapa waandishi wanatakiwa wawe kasuku wa watawala vinginevyo utanyang'anywa leseni !!
 
Back
Top Bottom