Waalimu wahamia kuendesha bodaboda na kupiga picha mitaani

Mshahara wa nwalimu haulipwi kwa kutegemea idara unayofanyia kazi bali hutegemea cheti ulichoanzia kazi mfano mwl wa ngazi ya cheti huanzia kulipwa TGTS B2 na yule wa diploma huanzia kulipwavkwa TGTS C na yule wa degree huanzia kulipwavkwa TGTS D sasa hiyo mishahara haijalishi uko secondary au msingi,Sasa shida iko hivi mfano huyo mwl wa TGTS D degree holder analipwa 716000 kwa mwezi pamoja na makato yote yatoke kwenye huo mshahara kwann asiendeshe bodaboda kama inalipa.
Do!
Kwl walimu wanapaswa kuangaliwa
Kwa jicho la pili.
 
Sijaona kosa liko wapi mwalimu kuendesha boda boda au kufanya nini? Kama anahudhulia vipindi na baada ya majukumu yake anaendesha boda boda tatizo liko wapi?
 
Ni shida kweli halafu fikiria kila mwl akipata nafasi nzuri ambayo inaonyesha wazi atakuwa msaada kwa walimu wenzake ndo kwanza anaanza kuwa mwiba mchungu kwa wenzie mfano magreth sitta alikuwa rais wa cwt akawa analalamikia sana maslahi ya walimu serikali ilipoona anasumbua akapewa ubunge na uwaziri wa elimu hakuongelea tena masuala ya maslahi ya walimu sasa jifunze kitu kingine kwenye uongozi wa kitaifa hivi sasa asilimia kubwa ni walimu angalia jinsi wanavyowachukulia walimu wenzao uhakiki ni kwa walimu asilimia kubwa hapa kutakuwa na shida kimtazamo.
 
Mishahara serikalini haitofautiani sana ila gepu linatokea kwenye vidili dili na viposhoposho. Wakibana mambo ya posho na deals mbalimbali watumishi wote wa serikali watakuwa makapuku tu
Mishahara serikalini inatofautiana sana kutoka kada moja kwenda nyingine kwa mfano mwl mwenye degree moja mshahara wake ni 716000 ambapo afisa kilimo mwenye degree moja analipwa total salary 1350000 na ukifuatilia muda wa masomo chuoni wote hawa husoma miaka mitatu kupata degree tena mwl masharti yake ya kujiunga ni magumu kuliko wa kilimo na mifugo.
 
Hahahaha, dah pole yenu
Mkuu sasa Huyo mwalimu atapata wapi muda wa kuandaa somo ili madent wapate kilicho bora?ataishia tuu kuzuga class ,mind u kwamba mwalimu in MTU was kusoma muda wote
walimu.
 
Kwani walimu wanamishahara midogo kiasi cha kuonewa huruma kiasi hicho? Si mishahara ambayo hata sisi watumishi wengine wa umma tunapokea. Hilo la kwenda kufanya bodaboda ni maamuzi yao lakini sio kwamba wanashida sana au wanalipwa kiasi kidogo tofauti na sie wengine ambao sio walimu
 
Shule zimefungwa huyo mwandishi anazungumzia vipi vya madarasa yapi? Hii habari inalenga kuchonganisha walimu na serikali
Ni kweli mkuu, sio kwasababu shule zimefunga, tupo nao rod humu full time akiwa na vipindi ndio anamwachia deiwaka
 
lazima maana maisha yamekuwa magumu. salary haiongezeki imekuwa tasa. ni bora kufanya kazi ili kujiongezea kipato cha ziada
 
Teaching in Tanzania is a stupid professional.. Acha watu wakimbizane na mtaa..
Yaani kwel kabisa, mm nna ndugu yangu ni mwalimu wa Secondary Botswana analipwa vizuri sana, ana maisha mazur kama afisa wa TRA vile! Walimu sehem zingine wanaheshimiwa sana ila hapa kwetu balaa
 
Kama kapiga marufuku awape yeye hela ya kula. Hawa viongozi vipi mtu unamlipa laki 4 kwa mwezi bado anaanzisha ka mradi ka kujiongezea kipato tena unamkataza mnataka wafe?au kwa nyinyi mnalipwa milioni 4 basi mnaona ni sawa tu. Pumbavu sana hili linchi sijuwi tu yani.
 
Back
Top Bottom