Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,290
- 10,705
Mishahara serikalini haitofautiani sana ila gepu linatokea kwenye vidili dili na viposhoposho. Wakibana mambo ya posho na deals mbalimbali watumishi wote wa serikali watakuwa makapuku tuKwani walimu wanalipwaje kwa mwezi!
-sekondari
-msingi.
Nipo na walimu wanajidai kwl
Kwamba oooh! Mishahara yao ni mizuri.