turning 15 years old on november!
Ukitaka ugomvi na mwanamke wa kizungu muulize umri. Sanasana anayeonekana na miaka kuanzia 35 na kuendelea. They doesn't reveal their age never. Ila ukimuona mwenye kama 50 ukamwambia "you look 28 years old" unapata dola mia chapchap na hug na kises
na kale kajunior kako katakuwa na ngap?
Hivi umri wa mtu unakusaidia nini kama huyo mtu humuitaji kimapenzi au kikazi?
Utakuta WABONGO weng wanaficha umri wao,utakuta mtu ana Birthday lakin eti NATIMIZA MIAKA KADHAA,Mbona Majuu ukiangalia hata mtandaon watu kama Celin Dion,OBAMA,RIHANNA na wengineo kila k2 kinakuwa waz?JE NI UJINGA AU UJANJA?
nilipenda sana mchango wako mwanzoni...nilipokutana na "they doesn't" nikachoka!
kwani mapenzi yanahusiana nini na umri?we hujapenda wewe,ukipenda huangalii chochote