WAAFRIKA hupenda Kuficha UMRI,JE ni UJANJA au UJINGA?

mkayala

JF-Expert Member
Feb 25, 2009
555
72
Utakuta WABONGO weng wanaficha umri wao,utakuta mtu ana Birthday lakin eti NATIMIZA MIAKA KADHAA,Mbona Majuu ukiangalia hata mtandaon watu kama Celin Dion,OBAMA,RIHANNA na wengineo kila k2 kinakuwa waz?JE NI UJINGA AU UJANJA?
 
Tabia haina dawa! Ukiona mtu ana kudanganya kwenye madogo hata kwenye makubwa ata kudanganya!

Na hili salichukulii kama tatizo la waafrica na chukulia kama tatizo la mtu binafsi maana sijafanya reseach kugundua ili ni tatizo la waafrica pekee au lah!

Na kwa uliyo wataja hapo ni watu maarufu kwa hiyo inaweza ikawa sababu tosha yakutoficha umri wao. Alaf kwenye swala la kujua kama mtu ana kudanganya umri au lah ni vigumu labda kama ulimzaa, huwa tuna aminiana tu!

Kuna mtu wangu wa karibu alidanganywa umri na mwanamke na akamuoa lakini alikuja kujua kwenye ndoa baada ya mwanamke kuhamua kumwambia ukweli.
 
bonge la unjanja kazi yako ni kuapa leo 20 kesho 18 mtondogoo 17 siku zinapita, tunaipandisha na kuishusha kutokana na mahitaji.refer lulu
 
Hivi umri wa mtu unakusaidia nini kama huyo mtu humuitaji kimapenzi au kikazi?
 
Ukitaka ugomvi na mwanamke wa kizungu muulize umri. Sanasana anayeonekana na miaka kuanzia 35 na kuendelea. They doesn't reveal their age never. Ila ukimuona mwenye kama 50 ukamwambia "you look 28 years old" unapata dola mia chapchap na hug na kises
 
nilipenda sana mchango wako mwanzoni...nilipokutana na "they doesn't" nikachoka!
 
Utakuta WABONGO weng wanaficha umri wao,utakuta mtu ana Birthday lakin eti NATIMIZA MIAKA KADHAA,Mbona Majuu ukiangalia hata mtandaon watu kama Celin Dion,OBAMA,RIHANNA na wengineo kila k2 kinakuwa waz?JE NI UJINGA AU UJANJA?

Mi nadhani yote yanaweza kuwa majibu, itategemeana na muhusika ameficha details zake mahali gani.
 
umri hauna mantiki yeyote.
uwe umri mkubwa au mdogo,,,,tunachoangalia ni tija ulonayo katika umri ulionao.
ndo mana YESU alipokuwa na miaka 12 alikuwa akiwahubiria mafarisayo kwa hekima.
hekima zilizidi umri wake
 
kwani mapenzi yanahusiana nini na umri?we hujapenda wewe,ukipenda huangalii chochote

yanahusiana sana, acha tuendelee kujipa moyo kwamba age is just a number na tunaweza date waliotuzidi sana umri au tuliowazidi ila kiukweli umri unahusu sana
 
Utakuta WABONGO weng wanaficha umri wao,utakuta mtu ana Birthday lakin eti NATIMIZA MIAKA KADHAA,Mbona Majuu ukiangalia hata mtandaon watu kama Celin Dion,OBAMA,RIHANNA na wengineo kila k2 kinakuwa waz?JE NI UJINGA AU UJANJA?

Mara waafrika, mara wabongo? Mbona husomeki, halafu hao uliowataja ndio wanawakilisha chenji ya dunia nzima?
 
Back
Top Bottom