Wa tatu atasema nini?

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
12,321
11,315
☆☆ Wa kwanza alisema..."Nchi inaenda kama gari bovu".

☆☆Wa pili alisema ...."Ukiwa mpya lazima watu waone una mambo mapya, lakini mapya ya maendeleo, Sio mapya ya kubomoa ya kule tulikotoka".

Nasubiri wa tatu atasema nini!!
 
Back
Top Bottom