Wa-Tanzania Tujifunze Kubadilika Tabia: Mengine ni Matatizo Yetu Wenyewe!

Hii nayo ni topic mwaka.....!!

Jirani yangu kikongwe anayepata chini ya UDS 1 priority yake ya kwanza ni kupata chakula cha kujaza tumbo (si mlo kamili kwani hawezi kuelewa maana yake na hata hawezi kuupata ikiwa ataelewa) ili asife njaa leo leo.. Kama atakufa kwa uchafu kesho hilo ni jambo jingine!

Ila angaweza kujipatia hana 10% ya kipato cha hao masikini wa Boston basi angekuwa na list ndefu tu ya priorities na naamini kwamba usafi ungekuwa kwenye tano bora!!
 
lakini tuseme ukweli uchafu wa mji kama dar unachangiwa sana na wakazi. ukiangalia kwenye mitaa uchafu unazunguka nyumba na pia watu wanatupa takataka ovyo. na tumefika mahali hatuoni kama kuishi na uchafu ni tatizo.
Serikali ina udhaifu lakini kwenye uchafu tumezidi. mtu anatupa uchafu au anakojoa utaona watu wanasema aaah hivi serikali haipo? ni wakati sasa tujenge tabia ya kukemeana
 
Hivi Mkuu, unajibu baada ya kusoma au una automatic response kwa kila post inayo wekwa? Maana nimesema hivi: TUNAPENDA USAFI ILA SASA JE, TUSHUGHULIKE NA USAFI TUSIENDE MAKAZINI TULALE NJAA? HAKUNA SUBSIDES, NYAMA HUKU BEI KALI, TUACHE KUFUGA KUKU NA MBUZI KWELI? EMBU FIKIRIA SERIKALI LA US LINAWASAIDIAJE HAO WAKAAJI. SI WANAPATA ANGALO KAPOSHO HATA KAMA HAWANA KAZI?
TUKIPATA WAKATI TUNAFANYA USAFI ILA KUNA PRIORITIES ZINGINE KWA SASA NA HUWEZI SEMA SERIKALI HAINA LA KUSEMA HAPA.

- Unasema usafi wa binafsi mpaka uende makazini kwanza?

Willie @ NYC, USA.
 
- Suala la usafi wa binafsi na mazingara yetu Serikali hahihusu, tufanye usafi wa mazingara yetu, tusafishe nyumba zetu, nimesema huku nimeona nyumba zimezungushiwa uzio wa miti, kuna nyumba zimezungushiwa uzio wa majani na michongoma, hii hahitaji hela ni ubunifu tu na kujituma, TUBADILIKE!

Willie @ NYC, USA.
Usafi ni tabia inayojengwa toka utotoni, ndio maana tunawafundisha watoto wetu kupiga mswaki pindi tu wanapoota meno. Tanzania imebadilika sana sasa hivi. Ukienda shule zetu sisi akina yahe (shule za Kata) hata vyoo vya shimo ni tatizo kubwa. Maji kwao ni msamiati. Kwa hiyo kujisaidia ni mwendo wa machakani wakirudi hakuna kunawa mikono kwani maji hakuna. Katika mazingira kama hayo utamaduni wa usafi utajengekaje? When i first joined secondary school i was taught how to observe table manners, but i was so much troubled by the fact that i came from the society where there were no tables, thus the manners i was trainned were only useful at school and not at home. Similary, we talk much on sanitation and how to keep clean our surroundings, but have we cultivated the culture? Since the "Education for Self Reliance" was abandoned, it will be difficult to address cleanness as always we keep on waiting for government or donars to work for us.
 
Mkuu vipi ulitembelea na sehemu kama Harlem au Ghetto cities kwenye umasikini wa kumwaga na ukaona usafi wao? Nashangaa unaongelea vitu kama post box nje ya nyumba na fence, hivi mambo ya box box na mpangilio wa mji sio kazi serikali kuweka planning ya city?

Mkuu nadhani hauangalii reality, huku watu wanaishi kwenye nyumba za kupanga familia nyingi kwenye nyumba ndogo, watu hawana hata vyoo wanangonjea mvua zinyeshe ili watapishe vyoo, hata kama wangetaka kuweka vyoo, ujenzi wa septic ni expensive na sewage system is non existance.. So ni kweli wananchi wenyewe tuna hulka ya uchafu lakini serikali is not helping
 
Mkuu umenikumbusha mbali...Niliwahi kuishi Kurasini shimo la Udongo...na pia kule mwananyamala kisiwani..Watu wanachimba vyoo vya shimo kilimani na visima vya maji kwenye bonde....Maji yanayopatikana humo hutumiwa kuoshea vyombo, kuoga n.k!!

Kama kweli serikali haina jukumu lolote katika usafi wa mitaa na especially mijini basi hakuna mwenye lawama (ngoma droo). Tuwaache watu wakahangaike na njaa zao badala ya kuwasimanga na kuwalinganisha na Wamarekani, Waingereza au Wajapani!!
 
Yaani hatuwezi kuongelea hili bila ya serikali kubeba lawama zake,Kwanza watanzania wengi wa kawaida wameshindwa kusoma ujumbe wako huu wa usafi na asilimia kubwa waliosoma wanaishi sehemu safi.
Tafakari....................

Bro nashindwa kukupata vizuri, nimeishi Dom hoping ndo asili yako, je masikini wa dom anayeishi kwa kuombaomba unatumia kigezo gani kumlinganisha na wa huko? Hivi unafikiri atapata wapi muda na pesa za kuboresha hayo mazingira achilia mbali kujenga kabisa? Unadhani mazingira ya lpagala (dom) yanaweza kusafishwa na kuwa sawa na hayo? Ukijibu hayo yote nifafanulie ni kwa vipi serikali ya ccm isihusishwe na ufukara huu?
 
Mkuu vipi ulitembelea na sehemu kama Harlem au Ghetto cities kwenye umasikini wa kumwaga na ukaona usafi wao? Nashangaa unaongelea vitu kama post box nje ya nyumba na fence, hivi mambo ya box box na mpangilio wa mji sio kazi serikali kuweka planning ya city?

Mkuu nadhani hauangalii reality, huku watu wanaishi kwenye nyumba za kupanga familia nyingi kwenye nyumba ndogo, watu hawana hata vyoo wanangonjea mvua zinyeshe ili watapishe vyoo, hata kama wangetaka kuweka vyoo, ujenzi wa septic ni expensive na sewage system is non existance.. So ni kweli wananchi wenyewe tuna hulka ya uchafu lakini serikali is not helping

- Ninahisi uliiona Harlem ya zamani ya kabla Clinton hajahamishia offisi zake hapo nenda sasa mkuu uone, halafu vipi kwa vile Harlem ni kuchafu unasema ni sawa na sisi kua wachafu?

Willie @ NYC, USA.
 
Bro nashindwa kukupata vizuri, nimeishi Dom hoping ndo asili yako, je masikini wa dom anayeishi kwa kuombaomba unatumia kigezo gani kumlinganisha na wa huko? Hivi unafikiri atapata wapi muda na pesa za kuboresha hayo mazingira achilia mbali kujenga kabisa? Unadhani mazingira ya lpagala (dom) yanaweza kusafishwa na kuwa sawa na hayo? Ukijibu hayo yote nifafanulie ni kwa vipi serikali ya ccm isihusishwe na ufukara huu?

- Sio wagogo wote ni wachafu, wengi ni wasafi sana na hao wachache wachafu ndio ninawakumbusha hapa kwamba wajitahidi kwua wasafi, unajua JF sometimes inashangaza sana hivi kweli humu ndani tuna members wanaotetea uchafu tena wka nguvu nyingi hivi, I am reading right or what?

- I mean tuna watu humu wanaotetea wananchi kuwa wachafu? People ishus zingine siasa inafika to the dead end!

Willie @ NYC, USA.
 
Usafi ni tabia inayojengwa toka utotoni, ndio maana tunawafundisha watoto wetu kupiga mswaki pindi tu wanapoota meno. Tanzania imebadilika sana sasa hivi. Ukienda shule zetu sisi akina yahe (shule za Kata) hata vyoo vya shimo ni tatizo kubwa. Maji kwao ni msamiati. Kwa hiyo kujisaidia ni mwendo wa machakani wakirudi hakuna kunawa mikono kwani maji hakuna. Katika mazingira kama hayo utamaduni wa usafi utajengekaje? When i first joined secondary school i was taught how to observe table manners, but i was so much troubled by the fact that i came from the society where there were no tables, thus the manners i was trainned were only useful at school and not at home. Similary, we talk much on sanitation and how to keep clean our surroundings, but have we cultivated the culture? Since the "Education for Self Reliance" was abandoned, it will be difficult to address cleanness as always we keep on waiting for government or donars to work for us.

- It makes a lot of sense!

Willie @ NYc, USA.
 
- Suala la usafi wa binafsi na mazingara yetu Serikali hahihusu, tufanye usafi wa mazingara yetu, tusafishe nyumba zetu, nimesema huku nimeona nyumba zimezungushiwa uzio wa miti, kuna nyumba zimezungushiwa uzio wa majani na michongoma, hii hahitaji hela ni ubunifu tu na kujituma, TUBADILIKE!

Willie @ NYC, USA.

Nafikiri hapa unazungumzika sehemu ndogo sana ya wakazi wa mijini, kwa maana sehemu ambayo iko surveyed na ina miundo mbinu, hapo nakubaliana na wewe kuwa hao wanaweza kuamua kufanya mazingira yao safi, na hii ni sehemu ndogo sana ya wakazi na nakuhakikishia wana kiwango fulani cha usafi tofauti na miaka kumi nyuma. Ukienda sehemu zenye makazi mapya, na wakazi wenye kipato cha kati/juu (mf. Tegeta, Bunju) unaweza kupita mtaa mzima usione takataka. Mimi naamini serikali ina sehemu kwenye kubeba lawama juu ya miji yetu. Kama mfano jiji la Dar lingekuwa na makazi kwenye viwanja vilivyopimwa na serikali, miundo mbinu (serikali???) na sheria ndogondogo za kudhibiti usambaji wa taka, leo tusingeona uchafu hivi. Sijui umetembea kiasi gani Dsm, lakini unajua kuna nyumba imejengwa haina hata nafasi ya kuchimba choo, hakuna barabara, imezungukwa na nyumba nyingine? Matokeo yake uchafu umekuwa sehemu ya utamaduni wetu.
 
- Usafi hauna kipato jamani, please mbona excuses nyingi sana!

Willie @ NYC, USA.
Inategemea usafi kwa maana ipi, kama unazungumzia kutokuwa na karatasi/takataka kuzunguka compound zetu inaweza kuwa na kweli gharama yake ni ndogo, lakini kwa maana kuweka mazingira safi ( kuotesha maua, majani, pavement, landscaping kwa ujumla wake) si watz wote wataweza.
 
- Sawa sawa!

- Compound zetu ni chafu sana na it has nothing to do na Serikali!

Willie @ NYC, USA.
 
- Sio wagogo wote ni wachafu, wengi ni wasafi sana na hao wachache wachafu ndio ninawakumbusha hapa kwamba wajitahidi kwua wasafi, unajua JF sometimes inashangaza sana hivi kweli humu ndani tuna members wanaotetea uchafu tena wka nguvu nyingi hivi, I am reading right or what?

Willie @ NYC, USA.

Members hawatetei uchafu, wanaonyesha uhusiano wa uchafu na mfumo mbovu wa utawala.
 
- Mkuu wa JF Topic yangu inahusu usafi wa binafsi ambao hauna anything to do na Serikali, jaribu kusaidia jamii yako mkuu usafi!

Willie @ NYC, USA.

Sehemu ninayokaa ni viwanja vilivyopimwa, kuna barabara inayopitika kwa kila nyumba na zaidi serikali ya mtaa imefanya mipango ya mkandarasi kukusanya taka na mwingine wa kupiga dawa kila baada ya miezi mitatu kwa gharama kidogo. Matokeo yake, mtaani hukuti uchafu siyo kwenye compound za watu bali hata barabarani. Sisi tumeweza kwa sababu serikali imetengeneza mazingira rahisi kwetu.
 
Back
Top Bottom