Wa Marangu!

Ernie

JF-Expert Member
Aug 3, 2010
217
23
Kwanini wachaga wa Marangu ni Bab kubwa/wajanja/waelewa kwa ufupi wako juu sana?
 
hayo ndo mambo ambayo hayatakiwi humu jamvini. haiingii akilini kuona mtu awabagua na hata kutofautisha watu wa kabila moja kwa hali zao either kimapato,kielimu,ujanja au usmart. kama ni hivyo jiulize mbona wewe ni zuzu kuliko wenzio mliozaliwa nao kwa baba na mmoja. maana ndipo utakapoelekea baada ya kutoka hapo. mods piga ban mtu kama hizi. zinaker kiukweli.
 
sio kweli weweee...mbona mie wa huko lakini siko kama ulivyosema....tena mie wa pale mtoni kabisaa city center yenu ila fara tuu na najijua kuwa mie ni fara....sasa wewe sijui nani kakudanganya eti sie wajanja etc.... Dogo kuwa kiakili na ufikirie mambo mengi makubwa na sio utoto kama huo...futa kauli hiyo laa sivyo tukuhesabu kuwa ni mkabila na mbaguzi mkubwa usiyestahili jukwaa hili....nakupa siku saba
 
Ndio maana watu wanapata sababu ya kuikashifu JF yetu.. sasa thread kama hii inaonyesha nini?
 
dah....unge-Generalize tuu mkuu...in short ungesema wachaga wote wako juu ingeleta tija zaidi
 
Sasa mbona mnakuwa na jazba wakati ni ukweli! Ona mtu kama panga la shaba mbona imekukuna sana au kabila lako halina maendeleo? Kama mnataka kuandika vitu serious kuliko maelezo si mtengeneze site yenu kisha tuchangie, acheni ulimbukeni hao watu mi nikaa nao karibu ndio maana nimewakubali
 
sio kweli weweee...mbona mie wa huko lakini siko kama ulivyosema....tena mie wa pale mtoni kabisaa city center yenu ila fara tuu na najijua kuwa mie ni fara....sasa wewe sijui nani kakudanganya eti sie wajanja etc.... Dogo kuwa kiakili na ufikirie mambo mengi makubwa na sio utoto kama huo...futa kauli hiyo laa sivyo tukuhesabu kuwa ni mkabila na mbaguzi mkubwa usiyestahili jukwaa hili....nakupa siku saba

Suala la ubaguzi huwezi kunizuia kwani nimezaliwa mbaguzi kama imekuboa usisome wala usiandike kitu kwenye posts zangu, mi mbaguzi tena mbaguzi ile mbaya, kama wewe ni MMarangu alafu ni fara huo utakuwa ni ubwege wako, ila washkaji zangu woooooote wa Marangu wajanja ile kichizi, wewe utakuwa MMarangu chotara (Fake) acha kuwaharibia washkaji CV
 
Kwanini wachaga wa Marangu ni Bab kubwa/wajanja/waelewa kwa ufupi wako juu sana?

kweli wamejanjaruka mpaka wanabanduliwa now dayz. i wish ningeweza toa mifano ya wamarangu wachache niwajuao. Labda ndo ujanja na ubab kubwa mtoa mada anao uongelea.
 
Ernie umexema kweli, achana na pangalashaba. yule member anawivu niaje. kama m2 yuko juu ni kumkubali, huyo jamaa ulimbukeni unamxumbua. In general wachaga wote wapo juu.
 
Suala la ubaguzi huwezi kunizuia kwani nimezaliwa mbaguzi kama imekuboa usisome wala usiandike kitu kwenye posts zangu, mi mbaguzi tena mbaguzi ile mbaya, kama wewe ni MMarangu alafu ni fara huo utakuwa ni ubwege wako, ila washkaji zangu woooooote wa Marangu wajanja ile kichizi, wewe utakuwa MMarangu chotara (Fake) acha kuwaharibia washkaji CV
<br />
<br />
Mdogo mdogo boss right?
 
sio kweli weweee...mbona mie wa huko lakini siko kama ulivyosema....tena mie wa pale mtoni kabisaa city center yenu ila fara tuu na najijua kuwa mie ni fara....sasa wewe sijui nani kakudanganya eti sie wajanja etc.... Dogo kuwa kiakili na ufikirie mambo mengi makubwa na sio utoto kama huo...futa kauli hiyo laa sivyo tukuhesabu kuwa ni mkabila na mbaguzi mkubwa usiyestahili jukwaa hili....nakupa siku saba
Hahaha! kamanda umenichekesha sana na kunikumbusha profesa 1 alioniambia ukishajua hujui tayari ushajua.
 
kweli wamejanjaruka mpaka wanabanduliwa now dayz. i wish ningeweza toa mifano ya wamarangu wachache niwajuao. Labda ndo ujanja na ubab kubwa mtoa mada anao uongelea.
hili halina kabila ndugu yangu, inaelekea kwenye ugonjwa wa taifa sasa!!
 
Huyu Emma Chriss inaelekea yeye anatolewa maganda ndio maana kalitilia mkazo hilo suala, vitu vingine inabidi watu wakubali na asiyekubali kushindwa sio mshindani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom