Fugwe
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 1,676
- 656
Poleni,
kule kwetu ukiolewa ukakutwa bikra unarudishwa kwenu, tena unapandishwa Punda kila mtu anajua yalokusibu!
Coz huna experience ya kutoa huduma
Mwongo, hakuna mila za kiafrika za namna hiyo labda wewe mzungu vinginevyo unahalalisha umalaya uliofanya