W J Malecela kwa hili la wizi na kutokuwajibika kwa mawaziri ungekuwa upande gani?

Uliiona na hii?
Nilikuwa nakufuatilia tuu nione watu watasema nini na response yako, kwahiyo ungukuwa MB wa mtera usingesaini au ungesaini, au ndio ungesubiri legal proof, i mean usubiri mtu ashitakiwe ashinde ndio u vote?

Miaka mingapi hiyo kwa huku kwetu TZ, nadhani itakuwa kama miaka mitatu hivi mmmmh!
 
Mkuu William, kwani we ripoti ya CAG hauiamini au?unaanza kunitia shaka na utetezi wako mkuu wangu facts zipi unazitaka tena inamana wale wote waliosaini hawajui kama kuna kurudi kwa wanachi kwanza?ule mda ulikuwa ni mdogo sana kurudi kwa wananchi hata kama ungemtuma msaidizi wako!
 
- Point yangu ni kwamba ninasikitishwa sana kuona wananchi wanakuwa very emotional na kujiuzulu tu badala ya kulilia Sheria kwanza, nili linanisumbua sana maana 90% ya Dunia niliyotembelea wananchi wangedai Sheria kwanza ni sisi tu Tanzania leo mwaka 2012 bado tunalilia mawaziri kujiuzulu tu, that is very disturbing!

William.

bado sielewi ni nchi zipi hizo ulizotembelea. Tazama hapa chini.
Jeremy Hunt to make statement to Parliament as aide resigns over BSkyB row
Aide to Culture Secretary Jeremy Hunt resigns over 'absolutely illegal' advice emails to News Corporation executives, as cabinet minister prepares to make statement to Parliament.
***********************************************************************
Resignation of Gay Minister Jolts New British Government
By JOHN F. BURNS
Published: May 30, 2010
LONDON - In a political upheaval that shook Britain's new coalition government and prompted fresh debate about the acceptance gays find in the country's public life, a widely admired cabinet minister resigned on Saturday after newspaper disclosures about his taxpayer-refunded rental payments to a long-term gay partner.

British Minister Resigns Over Personal Expenses
By JOHN F. BURNS
David Laws left his post as chief secretary to the treasury after newspaper reports accused him of claiming nearly $60,000 in rent as an official expense.
 
Willy anapikwa kuja kuliibia Taifa, Wizi na Ujambazi uliojaa kwenye Serikali dhaifu hauoni. Hufai hata kuwa mjumbe wa nyumba 10 10. Hujachaguliwa kuwa mbunge kwa sasa tayari tumeshakuona upo kimaslai zaidi kuliko kupigania na kuzilinda rasilimali zetu. Ni bora urudi huko melini @ New York, tutakuwa tumepunguza mzigo wa kuibiwa, kuliko kukaa hapa Tanganyika utakuja kutuibia Rasilimali zetu.

- HA! ha! ha! hii inaitwa over reaching, na uncalled for kama ni wizi ni lazima niwe na hiyo tabia toka nilipokuwa mtoto, wizi sio tabia yangu ninafanya kazi kule US nilikuwa ninafanya kazi masaa 18 kwa siku kwa miaka mingi sana, na pia nilikuwa ninajisomesha at the same time, so uwe na amani kabisa kwamba wizi sio tabia yangu hata siku moja!

William.
 
Mkuu William, kwani we ripoti ya CAG hauiamini au?unaanza kunitia shaka na utetezi wako mkuu wangu facts zipi unazitaka tena inamana wale wote waliosaini hawajui kama kuna kurudi kwa wanachi kwanza?ule mda ulikuwa ni mdogo sana kurudi kwa wananchi hata kama ungemtuma msaidizi wako!

- Mkuu wangu ndivyo siasa za Dunia zinavyofanyika siku hizi, wakati mbunge yupo bungeni masaidizi wake anakimbia jimboni na kutafuta maoni ya wananchi wake na kurudi haraka bungeni kumfahamisha mbunge wake!

- HOWEVER; siwezi kutetea viongozi wezi, hapana! ninasema kujiuzulu peke yake haitoshi, Sheria kwanza!

William.
 
bado sielewi ni nchi zipi hizo ulizotembelea. Tazama hapa chini.
Jeremy Hunt to make statement to Parliament as aide resigns over BSkyB row
Aide to Culture Secretary Jeremy Hunt resigns over 'absolutely illegal' advice emails to News Corporation executives, as cabinet minister prepares to make statement to Parliament.
***********************************************************************
Resignation of Gay Minister Jolts New British Government
By JOHN F. BURNS
Published: May 30, 2010
LONDON - In a political upheaval that shook Britain's new coalition government and prompted fresh debate about the acceptance gays find in the country's public life, a widely admired cabinet minister resigned on Saturday after newspaper disclosures about his taxpayer-refunded rental payments to a long-term gay partner.

British Minister Resigns Over Personal Expenses
By JOHN F. BURNS
David Laws left his post as chief secretary to the treasury after newspaper reports accused him of claiming nearly $60,000 in rent as an official expense.

- I mean for sure this was not the end, unless mawakili wake wali-negotiate na Sheria kujiuzulu kwake, lakini ni lazima alizilipa hizo hela, kumbuka kule kisheria prosecutor ana power ya Discretion, I mean kuna FACTS nyingi zina-miss hapo kwenye hii info!

- SAIMINI KWAMBA HAPO ULIPOISHIA NDIPO ILIPOKUWA THE CONCLUSION!

William.
 
- Point yangu ni kwamba ninasikitishwa sana kuona wananchi wanakuwa very emotional na kujiuzulu tu badala ya kulilia Sheria kwanza, nili linanisumbua sana maana 90% ya Dunia niliyotembelea wananchi wangedai Sheria kwanza ni sisi tu Tanzania leo mwaka 2012 bado tunalilia mawaziri kujiuzulu tu, that is very disturbing!

William.

Hapa ndipo unaponivunja mbavu William J. Malecela. Wakati upo safarini umekuta ajali ya gari na kuna majeruni ndani ya gari inabidi waokolewe, we upo unahangaika na sheria kuangalia nani amefanya kosa la kusababisha ajali badala ya kutumia common sense ya kupima lipi kwa sasa linahitajika kwanza? Hiyo sheria itakuja lini wakati kila kukicha wizi wanazidi kupakua chakula ndani ya chungu, na wachochea chungu wanazidi kulalamika kwamba wanachochea chungu kilichobaki kimejaa maji tu kwani chakula karibu kinakwisha.

Katiba tumeambiwa inatazamiwa kuwa tayari 2014, hivyo tusubiri hadi mwaka huo ndipo tuwashike wizi? Malecela, you are wrong. When you seeing everything going normally it means you overlooked over something, vinginevyo ujue kuna kitu hakiko sawa, lazima uchunguze tatizo lilipo, na ukiligunuda hakikisha unasahihisha mara, maana ngoja ngoja huumiza matumbo.
 
- Again read my lips, hata siku moja siwezi kusaini karatasi ya kumpa Waziri anayetuhumiwa wizi nafasi ya kujiuzulu, ningeshauriana na Mh. Zitto, kwenda ambele zaidi kwa kudai wafikishwe kwenye Sheria,

- Nisingeweza kusaini karatasi ya kuwapa mwanya wa kujiuzulu tu! ni utamaduni mbovu sana kwa the future ya taifa letu!

William.

Nimesoma page zote nne nikitafuta jibu la swali husika na ndo hili nimelipata kutoka kwako.
Mkuu umekosa sifa kubwa ya uongozi kwa kukosa uzalendo wa ku-face uhalisia.
Sasa ungerudi jimboni kushauriana na wapiga kura kama ulivyosema na wangekuambia uweke saini ungekaidi???
Otherwise mkuu unajibu hoja nzito kitoto alafu unasahau unayokua unayasema awali.
Ukiwa muongo jitahidi uwe na kumbukumbu nzuri le mutuz.
 
- I mean for sure this was not the end, unless mawakili wake wali-negotiate na Sheria kujiuzulu kwake, lakini ni lazima alizilipa hizo hela, kumbuka kule kisheria prosecutor ana power ya Discretion, I mean kuna FACTS nyingi zina-miss hapo kwenye hii info!

- SAIMINI KWAMBA HAPO ULIPOISHIA NDIPO ILIPOKUWA THE CONCLUSION!

William.

Nilikuliza pale mwanzo kama wewe ni mwanasheria au la. Kwa sababu wewe unaona kuwa kila kitu lazima kiegemee sheria. siyo kila kitu katika maisha ni swala la sheria. Siasa ni kama profession. Na kila profession ina miiko yake ambayo ukiivunja siyo lazima ufikishwe mahakamani.

Being a Politician is more of a gentleman's agreement with those who are being ruled. It is not a legal contract. You are supposed to live a life which is worth of being imitated by the rest of the population. Any failure to do so means that you are unfit to be a politician. They do not need to take you to court although you can be sued as well.

As they say in auditing, it is essential that the auditor not only acts independently, but appears independent too.

Na hii nyingine hapa hapa chini.

Kashmir's Education Minister resigns over allegations of helping his son cheat in exam

New Delhi/ Srinagar: Jammu and Kashmir Education Minister Peerzada Mohmmad Sayeed resigned from the Omar Abdullah-led government today. This comes after the controversy over his alleged use of office to ensure his foster son was allowed to cheat in his Class 10 exams. Mr Sayeed, who is from the Congress, forwarded his resignation to Party Chief Sonia Gandhi. The Congress High Command is likely to inform Chief Minister Omar Abdullah of the action soon.
 
Nimesoma page zote nne nikitafuta jibu la swali husika na ndo hili nimelipata kutoka kwako.
Mkuu umekosa sifa kubwa ya uongozi kwa kukosa uzalendo wa ku-face uhalisia.
Sasa ungerudi jimboni kushauriana na wapiga kura kama ulivyosema na wangekuambia uweke saini ungekaidi???
Otherwise mkuu unajibu hoja nzito kitoto alafu unasahau unayokua unayasema awali.
Ukiwa muongo jitahidi uwe na kumbukumbu nzuri le mutuz.

Asante kwa kuona hilo maana ni almost page tano sasa!
 
Hapa ndipo unaponivunja mbavu William J. Malecela. Wakati upo safarini umekuta ajali ya gari na kuna majeruni ndani ya gari inabidi waokolewe, we upo unahangaika na sheria kuangalia nani amefanya kosa la kusababisha ajali badala ya kutumia common sense ya kupima lipi kwa sasa linahitajika kwanza? Hiyo sheria itakuja lini wakati kila kukicha wizi wanazidi kupakua chakula ndani ya chungu, na wachochea chungu wanazidi kulalamika kwamba wanachochea chungu kilichobaki kimejaa maji tu kwani chakula karibu kinakwisha.

Katiba tumeambiwa inatazamiwa kuwa tayari 2014, hivyo tusubiri hadi mwaka huo ndipo tuwashike wizi? Malecela, you are wrong. When you seeing everything going normally it means you overlooked over something, vinginevyo ujue kuna kitu hakiko sawa, lazima uchunguze tatizo lilipo, na ukiligunuda hakikisha unasahihisha mara, maana ngoja ngoja huumiza matumbo.

- Ninakusikia sana kweli unayo logic hapo, lakini tu ni kwamba tuna-deal na ishu ya Sheria na historia yake kwa taifa in the future, kama kweli tunalitakia mema hili taifa ni kuweka sheria za kuwabana mawaziri wezi kutuepusha na hii confusion, siamini kwamba kumeharibika kitu kule US nimeona mtu unawekwa rumande halafui ukiwa rumande Sheria inatengenezwa simply kwa ajili yako tu inaitwa jina lako kwa ajili ya kumbu kumbu!

- Umeshawahi kusikia Sheria ya US inaitwa "MIRANDA WARNING" ilikuwa ni kwa ajili ya bwana Miranda, alikamatwa na polisi na kuhojiwa bila ya kusoema rights zake za uamuzi wa kutojibu maswali ya polisi mpaka awe na mwanasheria, siku ya hukumu yake ikaundwa rasmi hii sheria mpya yenye jina lake,

- Hiii ndio inaitwa checks and balance katika Three Branches of Government, tungekuwa nayo hapa bongo ingewapa mwanya wabunge au wananchi kwenda kwenye Judicial Branch, na kama author wake Mzee Madison alivyotamka wakati wa kuanzishwa kwa US Federation:-

"NI RAHISI SANA KWA EXECUTIVE BRANCH NA CONGRESS KUSHIRIKIANA KUWAUMIZA MINORITY, DAWA NI KUWA NA A POWERFULL JUDICIAL BRANCH AMBAYO ITAKUWA INDEPENDENT OF THE OTHER TWO BRANCHES, NA HIVYO KUSIMAMIA MASILAHI YA WANANCHI HASA WALIO MINORITY"

- Sasa ukiangalia kwa makini ishu iliyo mbele yetu sasa hivi na hawa mawaziri, unaiona hoja ya Madison kwa mbali sana kwamba it is almost there!

William.
 
- Mkuu wangu ndivyo siasa za Dunia zinavyofanyika siku hizi, wakati mbunge yupo bungeni masaidizi wake anakimbia jimboni na kutafuta maoni ya wananchi wake na kurudi haraka bungeni kumfahamisha mbunge wake!

- HOWEVER; siwezi kutetea viongozi wezi, hapana! ninasema kujiuzulu peke yake haitoshi, Sheria kwanza!

William.

  1. Malecela, unaelewa kwa nini kipindi cha kampeni za uchaguzi licha ya wagombea kujieleza, wapiga kura hupata nafasi ya kuwauliza maswali?
  2. Utaratibu wa debate ya wagombea kwa pamoja una maana gani ya kumwandaa mgombea katika nafasi anayotaka ridhaa kwa wananchi?
  3. Waziri Mkuu anapoulizwa maswali ya papo kwa papo bungeni hupata wapi nafasi ya kwenda kuwauliza waofisa wa serikalini au wananchi ili kupata majibu ya kuwajibu wabunge?
 
Hivi kwanini mnampaisha sana huyu w.j malecela. Hamna lolote hapo watoto wa viongozi wengi ni janga la kitaifa na kwa kifupi asijaribu kabsa kulifikiria jimbo la mtera, hapa udsm tunaumoja wetu wanafunzi wa dodoma na kati ya vitu vinavyotukela ni jinsi jimbo la mtera liliendeshwa na mzee malecela na huyu lusinde anavyoliongoza sasa hivyo basi miongoni mwetu kuna jembe moja kwa jina la dismas ndiye tunategemea atasimama kwa CDM 2015 na kuna kila dalili ya ushindi. Kwakuwa anzia tutaenda kufanya operesheni zinduka mtera mnamo mwezi wa 7.
 
Nimesoma page zote nne nikitafuta jibu la swali husika na ndo hili nimelipata kutoka kwako.
Mkuu umekosa sifa kubwa ya uongozi kwa kukosa uzalendo wa ku-face uhalisia.
Sasa ungerudi jimboni kushauriana na wapiga kura kama ulivyosema na wangekuambia uweke saini ungekaidi???
Otherwise mkuu unajibu hoja nzito kitoto alafu unasahau unayokua unayasema awali.
Ukiwa muongo jitahidi uwe na kumbukumbu nzuri le mutuz.

- Commons sense kidogo tu, siwezi kupoteza muda wangu na member anayejibu hoja kitoto huku nikijua kwamba nina uwezo wa kutoa hoja kikubwa! ha! ha! ha! ha!

- Uongo sio tabia yangu, msimamo wangu ni kwamba ishus nzito kama hii unahitaji input ya wananchi wa jimbo lako, na pia ni lazima kusimamia Sheria kwanza sio kujiuzulu, kama haya mawazo ni ya kitoto, basi ninasubiri kusikia hoja zako za kikubwa! ha! ha! ha1 ha!

William.
 
  1. Malecela, unaelewa kwa nini kipindi cha kampeni za uchaguzi licha ya wagombea kujieleza, wapiga kura hupata nafasi ya kuwauliza maswali?
  2. Utaratibu wa debate ya wagombea kwa pamoja una maana gani ya kumwandaa mgombea katika nafasi anayotaka ridhaa kwa wananchi?
  3. Waziri Mkuu anapoulizwa maswali ya papo kwa papo bungeni hupata wapi nafasi ya kwenda kuwauliza waofisa wa serikalini au wananchi ili kupata majibu ya kuwajibu wabunge?

- Hoja yangu ni kwamba huo ni utamaduni unaotumika Dunia nzima na walioendelea, huwa wabunge wao wanakuwa na wasaidizi ambao kunapokuwa na ishu nzito kama hii, wanakimbia jimboni na kurudi haraka sana inawezkeana sana na inampa mbunge nguvu za ajabu sana anapowakilisha hoja, najua huitaki hapa maana sijui hata kama wananchi wetu wanaweza kuijadili hiyo hoja!

- Otherwise, yote unayoyasema ni sawa ila bado ni muhimu sana kuhusisha wanachi kwenye maamuzi mazito sana kama haya, kuliko mbunge kuamini kwamba tayari unayo ridhaa ya wananchi automatically kwa sababu kulikuwa na debate kwenye kampeni za uchaguzi, please mkuu!

William.
 
Nakubaliana na wewe sana kuhusu utawala wa sheria. Lakini katika hili sikubaliani na wewe kabisa. Wanasiasa hawatakiwi wawe wasafi kuliko sheria inavyotaka.

Nina mifano mingi sana hata huko USA amabyo inaonyesha jinsi wanasiasa walilazimishwa kujiuzuru na hawakushitakiwa. Mfano mmojawapo ni huu hapa chini. Nina mifano mingi sana kutoka dunia nzima. Mifano mingine tembelea website ifuatayo:

List of resignations from government - Wikipedia, the free encyclopedia

James Edward "Jim" McGreevey
James Edward "Jim" McGreevey (born August 6, 1957) is an American Democratic politician. He served as the 52nd Governor of New Jersey from January 15, 2002, until he resigned from office at 11:59 pm on November 15, 2004. His term was set to expire on January 17, 2006. On the afternoon of August 12, 2004, McGreevey coupled the announcement of his decision to resign with a public declaration of his homosexuality and an admission to having had an extramarital affair with a man, Golan Cipel, an Israeli citizen and veteran of the Israeli Defense Forces, whom McGreevey appointed New Jersey homeland security adviser. Cipel, who had joined the Israeli Ministry of Foreign Affairs in 1994 as Chief Information Officer at the Consulate General of Israel in New York, subsequently left the United States and returned to Israel after their alleged affair was revealed. McGreevey was the first and, to date, the only openly gay state governor in United States history.[1]
 
- Mkuu wangu ndivyo siasa za Dunia zinavyofanyika siku hizi, wakati mbunge yupo bungeni masaidizi wake anakimbia jimboni na kutafuta maoni ya wananchi wake na kurudi haraka bungeni kumfahamisha mbunge wake!

- HOWEVER; siwezi kutetea viongozi wezi, hapana! ninasema kujiuzulu peke yake haitoshi, Sheria kwanza!

William.

mkuu wananchi wamekuamini wamekutuma uwawakilishe bungeni wewe unarudi tena kuwauliza maamuzi ya kuchukua inaonyesha jinsi gani ulivyomwoga kuchukua uamuzi mgumu....kama kiongozi jasiri chukua uamuzi kisha rudi kwa wananchi ukajenge hoja kwa nini umeamua vile..inamaana unataka kusema wabunge waliosaini bila kwenda majimboni hawajawatendea haki wapiga kura wao.???
 
- Ninakusikia sana kweli unayo logic hapo, lakini tu ni kwamba tuna-deal na ishu ya Sheria na historia yake kwa taifa in the future, kama kweli tunalitakia mema hili taifa ni kuweka sheria za kuwabana mawaziri wezi kutuepusha na hii confusion, siamini kwamba kumeharibika kitu kule US nimeona mtu unawekwa rumande halafui ukiwa rumande Sheria inatengenezwa simply kwa ajili yako tu inaitwa jina lako kwa ajili ya kumbu kumbu!

- Umeshawahi kusikia Sheria ya US inaitwa "MIRANDA WARNING" ilikuwa ni kwa ajili ya bwana Miranda, alikamatwa na polisi na kuhojiwa bila ya kusoema rights zake za uamuzi wa kutojibu maswali ya polisi mpaka awe na mwanasheria, siku ya hukumu yake ikaundwa rasmi hii sheria mpya yenye jina lake,

- Hiii ndio inaitwa checks and balance katika Three Branches of Government, tungekuwa nayo hapa bongo ingewapa mwanya wabunge au wananchi kwenda kwenye Judicial Branch, na kama author wake Mzee Madison alivyotamka wakati wa kuanzishwa kwa US Federation:-

"NI RAHISI SANA KWA EXECUTIVE BRANCH NA CONGRESS KUSHIRIKIANA KUWAUMIZA MINORITY, DAWA NI KUWA NA A POWERFULL JUDICIAL BRANCH AMBAYO ITAKUWA INDEPENDENT OF THE OTHER TWO BRANCHES, NA HIVYO KUSIMAMIA MASILAHI YA WANANCHI HASA WALIO MINORITY"

- Sasa ukiangalia kwa makini ishu iliyo mbele yetu sasa hivi na hawa mawaziri, unaiona hoja ya Madison kwa mbali sana kwamba it is almost there!

William.

Copy and paste ya US si sawa kwa vile kila nchi ina taratibu na sheria zake ingawa mara nyingi tunachukua reference ya sheria za nchi fulani kwa ajili ya kujenga misingi ya sheria zetu.
Wakati wa uchaguzi Marekani mhimili wa mahakama huenda sambamba na tume ya uchaguzi. Kwa utaratibu huu kila kinachoendelea katika shughuli za uchaguzi chombo kinachotoa tafsiri na uamuzi wa sheria husaidia kuweka mambo sawa katika chaguzi zao. Ndio maana vigumu na mara chache kulalamikiwa ukiukwaji wa kanuni na taratibu za kampeni na uchaguzi kwa vile vyombo hivyo hufanya kazi kwa uwazi na kusimamiwa na mhimili wa mahakama hadi shughuli inakamilika.

Utaratibu huo Ndugu Malecela kwetu bado, kwani wako jambo hilo lipo kikatiba pamoja na amendments za katiba yao. Hao wamefikia hapa baada ya karne tatu na sasa wanaingia karne ya nne tangu wapate uhuru kutoka kwa Mwingereza. Si jambo la kipa umbele kuchukulia mifano ya mataifa yaliyoendelea kidemokrasia kulinganisha na mataifa machanga ambayo ndio yanaiga na kujifunza mfumo huo kutoka mfumo uliozoeleka wa kichifu wa kurithishana viti vya utawala kama ufalme vile kama Bingu Mutalika wa Malawi alivyomwandaa ndugu yake Mutalika kurithi kiti chake ambaye Juzi au jana alimetimuliwa na yule Presida mpya wa kike.
 
Back
Top Bottom