Vyuo vya Ufundi, Taarifa Muhimu kwa wanaopenda kujiunga

general labaratory na labaratory science zko tofaut au?
hamna tofauti niliandika general Ku itofautisha na zile zilizo base field moja tu mfano medical lab au water lab
Tofauti ni Lab science and technology na ile ya sua lab science ya SUA
 
Najaribu kuangalia wapi pana market zaidi na kuwa na sehemu ya kuwa na biashara yake kama kuwa na medical lab kama tunazoziona mitaani. Hasa nimelenga huko. Hawa wanahitajika sana. Nilikuwa NIMR wana nafasi nzuri zaidi compared to general ones. Unaonaje thinking yangu.
Kama ni hivyo sawa apige medical lab
 
general labaratory na labaratory science zko tofaut au?
Kokote zilipo maabara
Viwanda almost vyote vinahitaj watu wa lab tech,vyuoni,TBS,TFDA,kwa mkemia mkuu wa serekal sehem nying tu
Kuna wanaosoma lab tech pale dit walienda field mpk benk ya damu
So ina fit sehem nying
 
hamna tofauti niliandika general Ku itofautisha na zile zilizo base field moja tu mfano medical lab au water lab
Tofauti ni Lab science and technology na ile ya sua lab science ya SUA
mkuu kwaiyo labaratory science inauwanja mpana kuliko ile ya vyuo vya afya na n.k? it mean imebeba vitu ving?
 
Mkuu geometry salute kwa elimu tosha unaiyoitoa hapa
Binti yangu ana matokeo yafuatayo
Civ.C,Hist.D,Geo.C,Kis.C,Eng.C,Phy.D,Chem.D,Bio.C,Math.F
Je anaweza kusoma course gani hasa D.I.T?
 
nimesoma almost comment zote bt cjaona hata mmoja aliyeuliza swali nlilonalo kichwani, naomba kuuliza, katika course zote hizo hvi ni ipi au zipi ambazo zipo more marketable na hata payment ya salary iko vizur?? ninashida na majibu wakuu.
 
Hapo kweny mshahara siwez kujibu,inategemea mtu anafanya kaz wapi

Zilizo marketable zaid ni zile zinazoingia sehem nying
Civil
Mechanical na
Electrical

Pia kuna zenye upungufu wa watu kutokana na upya wake/ugumu/demand kubwa
Biomedical
Food technology
Mechatronics
Courses za water

Courses za IT kama telecom,computer engineering,Computer science,Multimedia
Hizi ni talent based,soma ikiwa inatoka moyoni/unajua kwa kwenda baada ya kumaliza chuo
 
mkuu na labaratory science iko kund lip apo
 
nimesoma almost comment zote bt cjaona hata mmoja aliyeuliza swali nlilonalo kichwani, naomba kuuliza, katika course zote hizo hvi ni ipi au zipi ambazo zipo more marketable na hata payment ya salary iko vizur?? ninashida na majibu wakuu.
Wew ni mmoja wa yale wanaosomea kitu kwa mkumbo??
 
Mkuu hii thread upo njema Sana Kuna bwana mdogo Wang kamaliza o'level 2009 akapga certificate ya nursing and midwife yupo ndani ya ajira anapenda kusoma Diploma ya Biomedical engineering ufaulu wake physics C chemistry D biology D mathematics D English D vp wanaweza kumchukua kupiga hiyo biomedical
 
Mkuu biomedical ni engineering,so haingiliani sana na nursing,hyo certificate haitomsadia kuwa admited
Lakin kwa matokeo yake ame qualify japo ataanzia pre entry
By the way atakuw competent sana kama aki mix experience yake ya nursing na new knowledge ya biomedical
 
Asante mkuu,by the way hii pre entry itamchukua muda gani? Na VP juu ya taaratibu za kuingia chuoni itabidi aaplay NACTE ama direct chuoni utaratibu ukoje maana system Kila kukicha mambo yanabadilika.
Pia ningependa kujua what's the different Kati ya Biomedical engineering itolewayo ATC na ile ya DIT coz ile ya DIT wanaiita Diploma in Biomedical equipment engineering na ya ATC ni Diploma in electrical and biomedical engineering.
Nimejaribu kuaangalia pia hapa kwetu hakuna chuo kinachotoa Batchelor ya Biomedical engineering,isipokuwa east Africa Kuna vyuo kama viwili nilivyoona mm kikiwepo chuo kikuu cha Kenya na Makerere na zinatoa bachelor in biomedical science
 
Back
Top Bottom