Vyuo vikuu vya serikali na changamoto zake.

Kateka Sanza

Member
Jun 8, 2013
44
8
Wadau namshukuru Mungu Kuwa ni wazima. Kuna jambo moja ambalo ni changamoto kwa vyuo vikuu vya serikali.Hivi ni kwa nini huwa wanachelewa kutoa vyeti? Mfano Chuo cha Theofilo Kisanji (TEKU) wameshatoa tayari vyeti na Eckenford Tanga na sehemu nyingine but government institution bado tatizo ni nn? Kimsingi mtu anapokwenda graduation anatakiwa kuchukua na cheti lakini ni kwa nn iko kinyume?
 
Huko TEKU wahitim ni wangapi?
Na UDSM wangap, Udom je?
Anzia hapo kwanza
 
Wadau namshukuru Mungu Kuwa ni wazima. Kuna jambo moja ambalo ni changamoto kwa vyuo vikuu vya serikali.Hivi ni kwa nini huwa wanachelewa kutoa vyeti? Mfano Chuo cha Theofilo Kisanji (TEKU) wameshatoa tayari vyeti na Eckenford Tanga na sehemu nyingine but government institution bado tatizo ni nn? Kimsingi mtu anapokwenda graduation anatakiwa kuchukua na cheti lakini ni kwa nn iko kinyume?

Ni wanafunzi wangapi wanagraduate Theofilo Kisanji na Eckenford?VP WINGI WA SHUGHULI VYUONI HAPO NA MTAWANYIKO WA KOZI NA IDARA?
 
Nafikiri ni utaratibu wao tu kila mwaka, sio pesa za uchaguzi wala wingi wa wanafunzi, kwan mpaka wanatoa statements of results n transcript kila kitu kipo wazi, km ni ubora ata hizo transcript zina ubora ndomana wengine hujipatia ajira hata kwa statements of results n transcript even in gvt.
 
Kaka vyuo vya serikali vyingi vina idadi kubwa ya wanafunz na hata hvyo nadhan unajua huwa kuna matatza madogomadogo mengi yanayowahusu wahitmu kama incomplete, supl. Aris kupoteza matokeo, migomo na rufaa. Hvyo vyote hutegemeana na idadi ya wanachuo, kwa kadri wanavyokuwa wengi ndvyo uwezekano wa kuwepo kwa matatz mengi kunakuwa kukubwa na kushughulikiwa ndvyo kunavyochelewesha kupewa vyeti. Jambo lingne ni urasimu kuwa mkubwa ktk vyuo vya serikali kwa sababu ya kukosekana usimamz mzur(surpervizn) aka. There is alot of politics in most of Government Universities. Those ar the reasons behind your doubt.
 
Mi nadhani tatizo ni mtindo wetu wa shule. Kuna maswala ya kurudia madarasa, kurudia mitihani, uoga wa kugushi nk. Vyeti mfano vya UDSM vinatumia mtindo wa UK ambapo vyeti vinatengenezwa kwa umakini na ufundi wa hali ya juu kuhakikisha kwamba ni ngumu kugushi. Hiyo kazi siyo ya siku moja. Vipo vyuo vinavyotoa vyeti siku ya graduation sawa lakini tujiulize vyeti vinatengenezwa wapi kwa ufanisi upi na kwa mud a gain? UDSM na Ekenford ni vyuo tofauti kwa kila idara lakini kubwa ni umiliki.

Kuna mtu amesema wanatafuta hela za uchaguzi. Hahahaaa siwezi kumsaidia aende hosipitali.

Vyuo vingi vya umma vinajitahidi kurahisisha teknolojia kama Aris ili matokeo na taarifa nyingine za mwanafunzi ziwe uodated kila wakati na kwa ufanisi. Tumeona waliomaliza mwaka 2013 vyeti vyao vilitoka mapema sana tofauti na miaka mingine. Mwezi wa tatu vyeti vilikua tayari.

Transcript siyo cheti bali ni mtirirko wa masomo utiyosoma na ulichovuna. Kutumia kuajiriwa ni uamuzi wa muajiri. Wapo waajiri wanachukua wanafunzi kabla hata hajamaliza chuo.
 
Mkuu ahsante sana nimekusoma vizuri zaid ya sana na nimekuelewa. Ahsante.
 
Back
Top Bottom