Kateka Sanza
Member
- Jun 8, 2013
- 44
- 8
Wadau namshukuru Mungu Kuwa ni wazima. Kuna jambo moja ambalo ni changamoto kwa vyuo vikuu vya serikali.Hivi ni kwa nini huwa wanachelewa kutoa vyeti? Mfano Chuo cha Theofilo Kisanji (TEKU) wameshatoa tayari vyeti na Eckenford Tanga na sehemu nyingine but government institution bado tatizo ni nn? Kimsingi mtu anapokwenda graduation anatakiwa kuchukua na cheti lakini ni kwa nn iko kinyume?