Vyuo Vikuu vya Kilimo Afrika Mashariki ni wakati wa kutolala usingizi kwa kutupa tafiti za Mbegu za GMO

Carica_papaya

JF-Expert Member
Nov 22, 2018
758
1,232
Tanzania na Kenya zimefanikiwa kuwa na Vyuo vikuu bora katika maswala ya kilimo Afrika.

1. Kenya- Egerton University; Jomo Kenyata University of Agriculture & Technology

2. Tanzania- Sokoine University of Agriculture

Sasa baada ya Kenya kuruhusu matumizi ya mbegu za GMO, wasomi kutoka Vyuo vya kilimo kwa kuwa wengi wenu mmesomeshwa na pesa za walipa kodi ktk nchi za Afrika mashariki.

Ni wakati wenu kuja na majibu ya Aidha kukubali au kukataa matumizi ya GMO, kwa kuweka faida/ athari zake.
 
Wala hauhitaji maelezo ya kina kutoka kwa wataalamu wa hivyo vyuo kujua km GMO inamadhara au laa!
GMO kiujumla inamadhara yasio ya moja kwa moja na yale ya moja kwa moja.
Madhara yasio ya moja kwa moja ni yale ya mda mrefu na ni vigumu kuyagundua au kuya predict. Mfano kuathiri mfumo GENES ambayo inaweza kusababisha matatizo ya uzazi n.k

Madhara ya moja kwa moja ni kuathiri mbegu za asili na Biodiversity kwa ujumla. Mara nyingi GMO hu-supress au kudidimiza mimea mingine na hivyo kuhatarisha uwepo wake.

Vilevile kuna baadhi ya tafiti zinasema GMO ni hatari kwa afya ya binadamu na wanyama
 
Tanzania na Kenya zimefanikiwa kuwa na Vyuo vikuu bora katika maswala ya kilimo Afrika.

1. Kenya- Egerton University; Jomo Kenyata University of Agriculture & Technology

2. Tanzania- Sokoine University of Agriculture

Sasa baada ya Kenya kuruhusu matumizi ya mbegu za GMO, wasomi kutoka Vyuo vya kilimo kwa kuwa wengi wenu mmesomeshwa na pesa za walipa kodi ktk nchi za Afrika mashariki.

Ni wakati wenu kuja na majibu ya Aidha kukubali au kukataa matumizi ya GMO, kwa kuweka faida/ athari zake.
Nimeshangaa sana kwa nini Ruto ameruhusu mbegu za GMO, (Genetic Modified Organisms).

Hizi mbegu za Uhandisijeni, GMO, hazifai hata kidogo, zinatakiwa kupigwa marufuku Afrika nzima;

Hizi mbegu zinapandwa mara moja tu, huwezi kurudia kuzitumia kama mbegu ukishavuna, maana yake utakuwa mtumwa kwa wauzaji wa mbegu hii..

Hizi mbegu zinapolimwa haziruhusu tena mazao mengine kustawi kwenye ardhi hiyo, zinaharibu udongo...

Mbegu za GMO zinanyonya rutubaasili ya kwenye udongo na kwa hiyo ni lazima utumie mbolea nyingi, lengo ni kukufanya uwe mteja wa mbolea kwa haohao wauzaji wa hizo mbegu..

Pointi hizi mbili haziingiliani, ya kwanza nimesema haziruhusu mazao mengine kustawi, ya pili ni lazima utumie mbolea nyingi, maana yake ni kwamba hata ukitumia mbolea nyingi utastawisha GMO tu na mazao mengine au mbegu zingine hazistawi....

BE WARNED!
 
Back
Top Bottom