Vyuo Vikuu sita vyazuiwa kudahili wanafunzi kwa mwaka 2016/2017

HPLC

Senior Member
Jul 29, 2015
186
133
Tume ya Vyuo Vikuu nchini (TCU) imetoa orodha ya vyuo ambavyo havitaruhusiwa kudahili wanafunzi kwa mwaka wa masomo 2016/17.

Vyuo vilivyozuiwa kudahili ni pamoja na

1. International Medical and Technological University (IMTU) – all programmes.
2. St. Francis University College of Health and Allied Sciences (SFUCHAS) – all programmes.
3. University of Bagamoyo (UoB) – all programmes.
4. St. Joseph University College of Engineering (SJUCET) – all programmes.
5. University of Dodoma (UDOM) – Doctor of Medicine Programme
6. State University of Zanzibar (SUZA). – Doctor of Medicine Programme.

Lazima heshima ye elimu irudi .
 
Kwan wanaodaili ni SUZA au ni TCU kwa niaba ya chuo
Nafkiri sabasaba hamuendi banda la TCU na kujifunza mengi, siwezi kukulaumu kwa kutokujua.
Suza ipo kabla ya TCU, na TCU inasaidia na kufanya urahisi wa udahili ili vyuo vyengne vipate watu.
SUZA hawafati mfumo wa TCU wanadahili wao online au kwa fomu, then wanachukua majina wanapeleka TCU na TCU wanawapitisha na Bodi inawapa mkopo na kesi imeisha.
 
Back
Top Bottom