Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,084
- 6,568
Pamoja na machinga kusema kuwa hayati JPM alikuwa mkombozi wao maana hakupenda waonewe. Lakini ukweli ni kuwa wana hali mbaya sana kibiashara.
Mama lishe nao wapo hoi bin taabani, wanauza kwa kwa kuchechemea maana pasi ndefu ndio mtindo uliopo sasa. Biashara nyingi zimefungwa hasa masupamarket. Na biashara za nguo nyingi zipo hoi.
Sasa kama vyuma vilikuwa vimekaza mitano iliyopita Mama Samia anaweza kulegeza? Maana zipo njia za kitalaamu kuwaonea huruma wananchi angalau nao hii mitano wasilalamike sana. Moja ya njia za kitalaamu ni kupunguza kodi na misamaha ya kodi huku akiangalia mapato mengine mbadala kuliko kuwaumiza mama lishe na wamachinga.