vyeti vya zamani

mpungara

Member
Nov 16, 2011
75
17
ubishi katika elimu, hivi ni nani anastahili kupewa cheti cha form four?(sio leaving) na je mtu kama alimaliza shule miaka ya 90 kurudi nyuma imean 90,89,88,........ anawezaje kujuwa matokeo yake bila kwenda baraza la elimu au wizarani? i mean anawezaje kuona matokeo yake au ya rafikiyake waliyesoma nae miaka hiyo kupitia mitandao?
 
Back
Top Bottom