allpurpose2010
Member
- Sep 13, 2010
- 8
- 0
Hii ni mara yangu ya kwanza kuwepo tanzania wakati wa uchaguzi mkuu. Sina hakika lakini nadhani mwaka huu vyama vingi vimejitokeza kutaka kupata michango kwa njia mbalimbali ikiwemo new technology ya mobile phones - yaani SMS. lakini nashindwa kuelewa, hivi vyama hivi vinajua hasa jinsi ya kuitumia technologia hii ya SMS? maana vinajitangaza lakini huduma hazifanyi kazi au mpango mzima wa kuchangia haueleweki. CHADEMA walijitangaza - kumbe huduma yenyewe haikua infanyakazi, CCM walizindua - kweli yao inafanyakazi lakini taarifa za mapato ku update jamii hakuna. CUF wamezindua lakini hakieleweki. hivi nyie wenye vyama mnajua kweli jinsi ya ku capitalise kwenye huduma hii mpya?
Michango kwa SMS haitapatikana mingi kwa kuvuna tuuuuuuuuuuuu kutoka kwa wananchi bila kuwapatia wananchi ingalau ruzuku kidogo kwa kuwachangia. hata kwenye harusi unachanga, halafu unaenda kula mchango wako.
VYAMA VYA SIASA AMKENI MSIKOMBE TUUUUUUUUUUUU KWA WANANCHI - GIVE THEM THE REASON TO CONTRIBUTE. HUU NI USHAURI WA BURE.
AU MNASEMAJE WENZANGU