VUTA PUMZI: My Regrets....

Just Nana

JF-Expert Member
Jul 27, 2023
500
1,001
Hiki ni kisa kinamuhusu mmoja wetu humu Jf...alisoma story ya Bella akaomba anisimulie story yake nami niiandike muisome...anaomba radhi kwa atakaowakwaza , yalishatokea ,anapambana kujisamehe....twende kazi....

Naitwa Peter ( sio jina halisi)...hadi wakati huu namudu kusimulia kisa changu kupitia Nana ,niko na miaka 43, ni mkristo niliyekulia na kulelewa kwenye familia ya dini sana, naijua dini na kuiheshimu, nimesoma shule za seminary kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita, nikisema naijua dini naomba muelewe, ilifikia kipindi wazazi walihisi labda nitakua Padre kwa namna nilivyokua naenenda, nilikua na utii sana, kwa Mungu na wanadamu, nikiri tu nilikua mmoja wa wale waliobahatika kupata malezi bora, sina la kuwalaumu wazazi wala walimu kwa haya yaliyonisibu, nitakachoenda kusimulia hakitowafurahisha, ila hakuna namna ya kubadilisha njano kua buluu, 'that's me...'I made that mistake and I am paying for it '...

Kutokana na kuishi maisha ya dini na ile hofu ya kutenda dhambi ilisababisha kuchelewa sana kuyafahamu mapenzi, si kwamba sikua na hisia nayo hapana...kama mwanaume rijali nilikua napata matamanio lakini kuna hofu unaipata kila ukiwaza ngono, ilinisaidia kuchelewa kuanza sanaa nzima ya mahusiano, naiita sanaa maana kama huna ufundi thabiti lazma yakutoe kwenye mchezo.

Nakumbuka nilikua safarini kurudi nyumbani Mbeya baada ya kufunga shule nikiwa kidato cha tano , kwenye siti ya basi nililokua nimepanda alikaa binti mrembo sana, hadi wakati huo sikua na mahusiano kabisa, wapo mabinti waliokua wananitumia kadi na barua shuleni ambao tulibahatika kufahamiana kupitia matamasha ya kidini, na mialiko ya hapa na pale ya kishule, lakini sikua nimeamua rasmi kuingia mapenzini, nilikua napata faraja tu kupokea barua zao, nasoma, nafurahia ila sikuwahi kujibu, wanasema mwanaume hajisifii muonekano, ila nikiri kua nilikua na muonekano fulani ivi wa kumfanya kiumbe wa kike aniangalie mara mbili kila apatapo nafasi ya kupishana nami, najua kua niliwatesa sana dada zetu maana sio kwa zile barua na kadi za maua zenye jumbe za kuvutia.

Turudi kwenye basi, safari ilitaradadi, kuna mda yule dada alikua anasinzia, kwa bahati mbaya au niseme nzuri, alinogewa na usingizi akanilalia mabegani, mabasi ya kipindi kile hayakua ya kisasa saaana, katikati ya siti na siti hapakua na ule mkono wa kutenga siti, kwa hiyo mkikaa lazma mtagusana, na mtu akisinzia kama akizidiwa na usingizi lazma atakulalia, ndicho kilichotokea. Kuna namna fulani hivi ya kama umeme ulipita maungoni mwangu, nikiri tu kua sikuwahi kukaribiana na kiumbe wakike kwa ukaribu wa kupitiliza kama siku ile.

Nilitamani ile safari isiishe, kuna raha ya ajabu sana niliipata kutokana na mguso ule, gari ilipofika sehemu ya kupata chakula, baada ya matangazo na kuona binti hana dalili ya kuamka, ikabidi nimuamshe. Aliamka akaniangalia kwa aibu za kike, akaomba radhi kwa kunisumbua na kuniegemea, nikamwambia usijali, tukashuka kwa ajili ya kupata chakula na kujistiri , baada ya dakika kadhaa tukarejea safarini kuendelea na safari.

Alirudi na mazaga kibao ya kula, mfukoni sikua vizuri, tiketi yenyewe nilifanya kukatiwa na mwalimu wangu wa darasa baada ya kufanya mawasiliano na wazazi na kutopata mrejesho kwa wakati. Mawasiliano kipindi kile ilikua ni kwa njia ya barua , ilikua ukishaituma , usubiri hadi wiki tatu ndipo upate majibu. Kama wazazi walituma pesa ya nauli basi nilipishana nayo, kwa msaada wa mwalimu nikafanikiwa kusafiri.

Binti alinikaribisha kwa chakula, ule ustaarabu wa kitanzania kukataa mara ya kwanza unapokaribishwa mlo nami niliutumia, ila kiuhalisia nilikua na njaa isiyo kifani, mfukoni nilibakiwa na pesa kidogo ambayo nilifanya utaratibu nikanywa chai na maandazi mawili kisha nikarudi kwenye basi, kwahiyo nikisema kua nilikua sina njaa nitakua muongo, binti alikua katika msisitizo nikajikuta nimeopoa kipaja cha kuku, mara viazi vya kukaanga maarufu kama chipsi, mara kajuice, ghafla tukajikuta tunapiga story za hapa na pale huku tukishambulia chakula pamoja.

Tulifika Mbeya usiku wa saa nne, mimi nilikua nimefika lakini binti alitakiwa kulala ili kesho aelekee kwao Sumbawanga, kumbuka nyumbani hawana taarifa Kama nipo safarini, nikaona sio jambo la busara kumuacha mtoto mrembo kama yule alale peke yake nyumba ya kulala wageni. Binti aliomba kampani yangu , Mimi ni nani nikatae wapendwa, ukizingatia bado nilihitaji kujua kinachoendelea baada ya kusikia kale kamvutano ka umeme kalikotokea kwenye gari, nikasema leo ndio siku ya kufanya majaribio yangu.
 
Duh! Tuandae mafuta ya mgando...
 
NAMBA MBILI:

Niliona ni wakati muafaka kumwambia ukweli kuhusu hali yangu ya mfuko yule mrembo wakuitwa Bahati, ama nilibahatika kwani mrembo alinitoa hofu kua nisijali kuhusu gharama. Wazazi wake walimtumia pesa za kutosha kwa ajili ya safari kwahiyo nisihofu, tukiwa humo nyumba ya kulala wageni ndipo nilipata bahati ya kumuona vizuri yule binti, alikua pisi kwelikweli kama mnavyosema vijana wa sasa.

Tulioga kwa zamu kisha tukaenda kuzurura kulifahamu jiji la Mbeya, nikampeleka mtoto mzuri mitaa ya mama joni , kwa kipindi kile palikua na jamaa anatengeneza chipsi vuruga ya hatari, tukapata na juice fresh ya parachichi na embe, mrembo Bahati akaitisha tax tukarudi kupumzika. Tulipoingia ndani kuna namna nilipatwa na hofu, natamani kufanya lile tendo lakini nawaza naanzaje kumwambia Bahati, vipi akikataa,vipi nikifanya na kisha nikakosea, maana sikuwahi kufanya kabla, zaidi ya kusikia story kwa baadhi ya marafiki ambao wameshafanya hayo mambo sikua na ujuzi wowote, kwanza na ile hulka yangu ya kilokole naanzaje kuulizia kuhusu ngono,hofu ilinijaa.

Kuna namna nilikua nimeghafirika, nikajutia maamuzi ya kuingia mle gesti, ila ukiwa mwanaume kuna kujiamini kwa asili unakua nako, nikatoka bafuni nikamkuta Bahati anakunywa amarula, kwa muonekano tu wa maisha aliyonionesha Bahati kimatumizi kuanzia kwenye basi hadi mda huo nikajua huyu mtoto anatoka familia bora. Nikachukua glass nikajumuika nae, glass after glass, sikutaka Bahati ajue kua ilikua mara ya kwanza kunywa kilevi, nilipambana kiume kuwawakilisha, hadi mda huo nilijua tu Bahati naye kanielewa ila zile aibu za kike zimemvaa, maana sikua nimemtongoza lakini kwa kile kitaulo alichovaa kilichokua kinapambana kustiri mwili wake bila mafanikio, nikajua tu mtoto anataka kupelekewa moto, acha niongeze juhudi ya kupiga kinywaji niongeze kujiamini.

Nilimsogelea kwa ukaribu, nikatoa kataulo kake na kukaweka pembeni, hata kama sikuwahi shiriki tendo ila haikuhitaji kua na elimu ya Cuba kufahamu kua mapenzi yanafanyika watu wakiwa watupu. Tulikua tunaangalia na Bahati, nikamsogezea ulimi wangu ili tubadilishane mate, si nasikiaga story kwa washkaji wakisimuliana huku nikijifanyaga nimelala, kwa kiasi fulani elimu ya bweni inayotolewa kuanzia saa nne usiku taa zikiwa zimeshazimwa, kila mtu kitandani kwake, juhudi ni kutega tu sikio na kusikiliza wazoefu, ilinisaidia nisiiabike, pale nilikua kuyafanyia kazi maelekezo ya kaka mkuu, maana kwa story zake alikua anamiliki mademu watatu na wote anawapelekea moto.

Kwa utaratibu nikamlaza Bahati kitandani, alikua amefumba macho akisikilizia kile nachomfanyia, ilinipa moyo kua napatia maana alikua anajinyonganyonga kwa namna ya kuvutia pale kitandani. Yule binti alikua na chuchu za kuvutia sana, mnaita saa sita, ila bahati zilikua sita kasoro, vichuchu vya kutia hamu, alikua na kiuno kidogo kilichobeba vihipsi vya wastani, alikua na rangi ang'avu na kalio la wastani, alikua anabebeka . Niliendelea utalii wangu kwenye mwili wa yule binti mrembo, ulimi ulitembea kila sehemu, abarikiwe kaka mkuu kwa masomo yake yaliyotukuka.

Kwa utaratibu huku nikiendelea kufaidi ulimi wake, nilimshika vichuchu vyake vizuri, binti alikua anasisimka kwa namna ya kunihamasisha, hadi mda huo mnara wangu ilikua unasoma 4G, nilikua nimesimamisha kwa kiwango cha mwisho kabisa, kutokana na ugeni katika Yale mambo sikua na mambo mengi sana, niliyoyafahamu kupitia kaka mkuu hayakumudu kumaliza hata kurasa kuyaelezea, kwa elimu niliyonayo sasa kimapenzi nikikaa kuna mda nacheka tu jinsi tulikua tunampa vyeo kaka mkuu.

Binti alikua kalegea sana, nami nilikua nimesimamisha kwa kiwango cha mwisho, sikutaka kumkawiza, nikampanua miguu ,naye kwa aibu alikua anaibana, zoezi liliendelea kwa dakika kadhaa huku nikihamishia mdomo wangu kwenye maeneo mengine ya mwili wake kama chuchu, nadhani niligusa eneo muhimu maana nikaona ule ugumu wa kubana miguu unapungua, kwa kasi ya mshale nikapambana kuingiza eneo husika, katika hali ya mshangao sikufanikiwa na binti akabana miguu kwa nguvu na kutoa kilio cha maumivu....
 
NAMBA TATU:

Nilishawahi wasikia washkaji wakisimulia kua kumtoa msichana bikra inahitaji umahiri sana, tatzo msimuliaji wa siku ile hakua kaka mkuu, hakua anatoa maelezo kwa kirefu,naona wasikilizaji wengine walimuelewa ila mie na ukilaza wangu sikuambulia kitu na kwa sababu sikua na uhitaji kwa wakati huo sikuona haja ya kuuliza, leo metunukiwa kwa mara ya kwanza na binti ambaye ni bikra , kwa kasi maungo yangu muhimu yalisinyaa kutokana na kile kilio.

Nilimkumbatia kwa huruma nikamuomba radhi, akanambia nimsamehe hakunambia kama yeye ni bikra, amenipenda na yupo tayari kunipa hiyo zawadi. Tuliendelea kukumbatiana na kuendelea kuchezeana taratibu akarudi katika hali ya kawaida nami nikarudi katika uhalisia wangu. Ujana ulinisaidia mzee baba akawa anamudu kujirudi mapema na ndani ya muda mfupi maana Bahati hakua na ufundi wowote. Alichojua binti wa watu ni kulala na kufumba macho, ilihitajika juhudi kuamsha hisia zake.

Kwa utaratibu na kwa kubembelezana nilifanikiwa kumuingilia yule binti, ile feeling siwezi kuwaelezea ndugu zangu, ilikua ni mara ya kwanza nafanya mapenzi, mara ya kwanza napiga bao, sio kitu cha masikhara aiseee. Binti alikua amejikunyata kwa maumivu na aibu wakati nilikua nimejilaza pembeni yake nikisikilizia ile raha ya ajabu. Kwa mbali nikaanza kusikia kilio, akili ikarudi ,nikamkumbatia bahati wangu aliyekua analia kwa uchungu akidai nimemuumiza. Akawa ananiomba nisimuache na nisije kumfanya akasikia maumivu tena kama yale, sikua na hakika kama nilijibu kutoka moyoni au nilihitaji tu anyamaze, ila nachokumbuka nilimwambia kua sitokuacha na ahadi ya ndoa ilitoka ile siku.

Kutokana na hali aliyokua nayo Bahati hatukuweza kurudia tena, tulilala tukiwa tumekumbatiana hadi asubuhi. Nilimsindikiza hadi kituoni akapanda basi, kwakua sikua nimewaambia nyumbani kua nimerudi ikanibidi nizurure kwenye mageto ya washkaji hadi ilipofika usiku ndipo nikarudi nyumbani .

Bahati alinipa namba ya simu ya nyumbani kwao, mtoto wa kishua kwao walimiliki simu ya mezani, ilinilazimu kwenda kwa mshikaji wangu mmoja alikua anaishi maeneo ya Ilomba ambaye kwao pana simu ya mezani ili niweze kuongea na Bahati. Baada ya wiki ile hali ya kutamani ngono ikanirudia, Bahati hakuwepo, Sumbawanga - Mbeya kipande kiasi, sikumudu, kuna kademu kalikua kanaleta shobo, nilihitaji kujaribu tena kale kamchezo.

Kale kabinti kalikua ka beki tatu nyumba ya jirani, hakakua karembo sana ila kalijaliwa maeneo muhimu. Kalileta shobo nikapita nako, kakaja kabinti kengine katoto ka mwalimu wa primary, kakaleta ujuaji nikakasuuza, kwa kifupi ndani ya likizo ya mwezi mmoja niliwasuuza mabinti kama nane hivi, ila katika hao wote hakuna aliyekua bikra. Kupitia hao nikaona utofauti wa Bahati na hao mabinti wengine, hiyo ikanifanya nihitaji kuonana tena na Bahati, kuna namna alikua na utofauti wake, ule utulivu wake, upole, kuongea kwa stara, kujitunza, usafi kila mahala kulifanya nimkumbuke sana.

Likizo iliisha, nilikua nimesoma vijarida vya kutosha kuhusu ngono nikawa ninaelimu ya kutosheleza sana, nilihitaji kuja kumfanyia ujuzi Bahati wangu. Kuna namna nilikua nammiss Bahati. Nilipambana kumuonesha uanaume wangu, nilikua nimejikusanya vizuri kiuchumi, niliwahi ile gesti yetu ya makutano ya kwanza na kubahatika kapata chumba kilekile. Bahati aliingia kama saa nane mchana, ukitokea Sumbawanga kuja Mbeya ni mwendo wa masaa saba hadi nane kwa ubovu wa barabara kwa kipindi kile.

Nilikuwepo stendi kumpokea yule mrembo, nilikua nimemmiss sana Bahati wangu, tulichukuana hadi gesti, tulipoingia nilimbananisha kwenye kona , huku nikiwa namtomasa maeneo mbalimbali nilimuuliza kama hajanisaliti, maana nilikua natafakari niliyoyafanya nawaza kama mimi nilishindwa kuvumilia, vipi mwenzangu aliweza kweli. Bahati alinikumbatia kwa upendo akaniambia kua Peter hakuna mwanaume ataugusa huu mwili baba, mwili wangu ni mali yako. nilikua naichukulia hiyo kauli kimasikhara sana, ila nilikuja kuelewa baadae kua yule binti alikua anamaanisha na alinipenda toka moyoni.

Mda wa gwaride ulifika, nilihakikisha nampa binti gwaride la maana akasimulie mashoga zake shuleni. Ile siku Bahati alilia sana, haikua kama kilio cha siku ya kwanza cha maumivu ya kutolewa usichana, ila kilio cha raha, nilijiona kidume cha mbegu kumfanya yule binti atoe machozi...Tulikaa pale Gest kwa siku mbili mfululizo na kisha kuanza safari ya kuelekea shuleni, wote tulikua tunaelekea mkoani Ruvuma .

Maisha ya shule yalisonga huku tukizidi kukumbukana kwa barua . Tulimaliza shule na Mungu alitusaidia wote tulifanikiwa kujiunga na elimu ya juu. Tulikubaliana kujaza vyuo vya kufanana ili tuwe karibu, ikawa kama bahati wote tukachaguliwa kwenda chuo kikuu cha dar es saalaam.

Mabinti wengi chuo walikua wanazuzuka ila Bahati alikua tofauti sana, alijiheshimu na aliniheshimu mnoo, mahusiano yetu yalizidi kusonga, polepole nikaanza kumpa darasa la mapenzi na jinsi natamani anifanyie tukiwa pamoja, kuna namna nilianza kama kumchoka hivi kitandani, hakua na maajabu sana, wakati mimi nilikua na uhitaji mkubwa wa kufanya lile tendo tena katika namna tofauti. Umiliki wa vifaa vya kidigitali kama simu za kisasa na computer ulinifanya niwe na material nyingi za ngono.

Ni kama nilipata kichaa cha ngono, nilikua na yale matamanio extremme ya ngono. Bahati alikua anajaribu kunitimizia haja zangu lakini kuna namna alikua hafiki pale mi nataka. Nilianza kama masikhara, lakini siku zilivyokua zinazidi kusonga ndivyo ambavyo Bahati alikua anapoteza umaarufu kwangu, kitu pekee ambacho Bahati alikua anafit ni kwenye kuniwezesha kiuchumi. Yule binti alikua ananipenda katika maana halisi ya kunipenda, alikua anasimamia mahitaji yangu karibia yote maana kiuchumi sikua njema, mzee alikua anasomesha madogo na hali ya uchumi nyumbani kuna namna iliyumba.

Nilikua namcheat kisirisiri na baadhi ya wasichana wengine pale chuo, addiction ilizidi nikaanza kununua malaya ili kutimiza fantasy zangu. Bahati alikua hanifikishi kabisa, binti wa watu alikua anapambana kwa hali na mali lakini wapi, alikua anafanya juhudi ya kujiunga magroup ya makungwi ili aniridhishe maana nilikua namlalamikia sana kua amekua mzembe kitandani.

Tulimaliza chuo ila mahusiano yetu yalikua yamefika pabaya sana. Ni wazi kua sikua namuhitaji yule binti, katika hali ya kutomuhitaji Bahati akanijia na taarifa mbaya sana, yule binti alinasa ujauzito. Nilighafirika si kitoto, nilikua makini kutumia kinga siku za hatari na pia kuzingatia kalenda, nilimtolea macho kua amenisaliti huo ujauzito sio wangu. Bahati alilia ile siku hakulala, kwa mara ya kwanza nilimpiga yule binti. Yaani sijui nilikua nawaza nini lakini lilimtandika mateke ya kutosha ya tumbo lengo mimba itoke. Nakiri kua sikua namuhitaji, na nilikua na uhakika kua amefanya makusudi kujipea mimba.
 
Back
Top Bottom