NICK2275
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 3,931
- 918
Simple question: Muungano ulianzia kanisani?
nazan wengine wanafikiria na masaburi ndo maana wamechoma
Simple question: Muungano ulianzia kanisani?
hivi nakushuku wewe ni mmoja wa ilo kundi la uamsho kwa iyo uoni makosa kuchoma na kulipua mabomu kanisani? kwa iyo pia wakristo walipishe kisasi wachome na walipue miskiti?huo ndo unakuwa uhuni, watu wanadai nchi yao muwapelekee ffu? badala ya kupeleka ffu wapelekei karatasi, yani karatasi la maoni ili kupata kutanabaisha kwa haki na ukweli ya kwamba waliochoma kanisa ni whuni wachache ama ndo wananchi wengi, walikosa mahala pa kuelekezea hasira zao. Na badala yake wakazielekeza kwa kanisa.
Usiogope kuitwa Kafir! Anayekuita hivyo ni mwanadamu wala si Mungu! Mungu aliyekuumba anajua kuwa wewe si Kafir! Achana na wasiojua wanachokifanya, wanaficha udini mgongoni mwa Muungano! Sijasikia dini ikiunganisha Taifa! Kama ingekuwa hivyo Somalia na nchi nyingine za Kiarabu wasingeendelea kuchinjana!
hivi nakushuku wewe ni mmoja wa ilo kundi la uamsho kwa iyo uoni makosa kuchoma na kulipua mabomu kanisani? kwa iyo pia wakristo walipishe kisasi wachome na walipue miskiti?
Wewe ulifundishwa kisha ukaiona hiyo 'tabu tupu!'Wakristo kwa elimu yao ya Biblia inawataka kusamehe mafundisho yao yamejaa upendo hayafundishi chuki. Hakika kukosa elimu alafu ukafundishwa elimu ya dini na mtu ambae hana elimu ni taabu tupu.
Wewe ulifundishwa kisha ukaiona hiyo 'taabu tupu ?!'Wakristo kwa elimu yao ya Biblia inawataka kusamehe mafundisho yao yamejaa upendo hayafundishi chuki. Hakika kukosa elimu alafu ukafundishwa elimu ya dini na mtu ambae hana elimu ni taabu tupu.
Kipindi hicho wazee wa uamsho ambao leo DPP amefuta kesi zao.Kwa mara ya kwanza kabisa nimekubali kuamini kuwa, tatizo liliopo Zanzibar sio Muungano bali ni dini na wanatumia muungano kama kigezo. Mimi ni muislamu lakini nalipongeza Jeshi kwa kutoa kibano kwa wafanyaji fujo usiku huu huko mjini Zanzibar.
Jumuiya ya UAMSHO itabidi ipigwe marufuku kabisa kwanza inapotosha wananchi ili kufikia malengo yake.
Katika ripoti nilizozipata mpaka hivi sasa ni kuwa wazanzibari ambao obviously ni waislam wenzangu wameenda kuchima moto kanisa moja pale mjini. Kitendo hichi nimekichukia kwa sababu kinaudhalilisha uislam na kufanya uonekane ni dini yenye wafuasi wajinga kabisa.
Katika dini ya uislam tumefundishwa kuheshimu dini za wenzetu, lakini sasa wamevuka mipaka hata mungu wanampinga! Sio jambo la ustaarabu kabisa na kama wamo waislam humi watakaochangia, nawapa LIVE yoyote atakayesapoti kitendo hicho ni mjinga na haijui dini! Katika historia ya mtume saw sijawahi kuona sehemu ambayo mtume alivamia tu wakiristo au mayahudi na kuwachomea moto Nyumba zao za ibada!
MAKANISA YAHESHIMIWA KAMA VILE WEWE MUISLAM UNAVOTAKA MSIKITI UHESHIMIWE! Leo hii lau kama ungeskia msikiti umechomwa moto na wakiristo mungekuwa na hasira sana, basi na hai wakiristo na wao wana hasira ivo ivo! HESHIMA NI KITU CHA BURE!
TATIZO LA WAZANZIBARI NINELIGUNDUA SIO MUUNGANO BALI NI UDINI. Na watu wanaburuzwa tu na iyo UAMSHO, na ndio maana wanafunzi wa zenji wapiga drift ya 360 katika mitihani yao
Kanisa lililochomwa moto
Gari la askofu lililochomwa moto
Dawa yap imepatikana mzeeKwanini wasisikilizwe wanachodai? matatizo yanaanza pale watu wanapohisi kutosikilizwa. Na ikifika hatua hiyo ujue watu wamekataa tamaa tayari kwahiyo lolote wanaweza fanya na dawa yake sio kuwalipua mabomu bali ni kujishusha kwa level ya wahusika na kuwasikiliza wanachokitaka ni nini.
... washenzi sana wale wapuuzi! Baada ya kuwa fixed Zanzibar imekuwa na amani. Hawa ni wa kuendelea kuwa monitored 24/7 nyendo zao zote zifuatiliwe na vyombo husika.Hawarudii tena huu ujinga
Aiseee... washenzi sana wale wapuuzi! Baada ya kuwa fixed Zanzibar imekuwa na amani. Hawa ni wa kuendelea kuwa monitored 24/7 nyendo zao zote zifuatiliwe na vyombo husika.
Kawakamate uwashtaki ww
Ujinga gani mbona hamkupeleka ushahid mahakamin WATANGANIKA Mmechanganyikowa roho mbaya ndio zinazowafanya muendelee kuwa maskini mbwa pamoja ya rasilimali zote mlonazo mnakimbia kwenu kuja kuuza DAWA ZA MBU ZANZIBARHawarudii tena huu ujinga
Hahahah naona umeibuka Tena.Ujinga gani mbona hamkupeleka ushahid mahakamin WATANGANIKA Mmechanganyikowa roho mbaya ndio zinazowafanya muendelee kuwa maskini mbwa pamoja ya rasilimali zote mlonazo mnakimbia kwenu kuja kuuza DAWA ZA MBU ZANZIBAR
Ndugu usitumie hasira kujibu, kwan kufanya hivo unazidi kuchochea nakuhamasisha chuki zaid nazaidi.ktk maandiko yametabiriwa haya, Wala msishangae shetani yu kazini. Dini yao inawatuma kutenda hayo ili waingie peponi! Kwa hiyo tusishangae haya! Yatakuja mengi sana maana yalitabiriwa ktk biblia. Yatupasa kumshukuru MUNGU kwa kila jambo.