Vurugu Zanzibar, makanisa yachomwa moto!

huo ndo unakuwa uhuni, watu wanadai nchi yao muwapelekee ffu? badala ya kupeleka ffu wapelekei karatasi, yani karatasi la maoni ili kupata kutanabaisha kwa haki na ukweli ya kwamba waliochoma kanisa ni whuni wachache ama ndo wananchi wengi, walikosa mahala pa kuelekezea hasira zao. Na badala yake wakazielekeza kwa kanisa.
hivi nakushuku wewe ni mmoja wa ilo kundi la uamsho kwa iyo uoni makosa kuchoma na kulipua mabomu kanisani? kwa iyo pia wakristo walipishe kisasi wachome na walipue miskiti?
 
Usiogope kuitwa Kafir! Anayekuita hivyo ni mwanadamu wala si Mungu! Mungu aliyekuumba anajua kuwa wewe si Kafir! Achana na wasiojua wanachokifanya, wanaficha udini mgongoni mwa Muungano! Sijasikia dini ikiunganisha Taifa! Kama ingekuwa hivyo Somalia na nchi nyingine za Kiarabu wasingeendelea kuchinjana!

ni PM mkuu nije nikupe Soda baaaridi
 
hivi nakushuku wewe ni mmoja wa ilo kundi la uamsho kwa iyo uoni makosa kuchoma na kulipua mabomu kanisani? kwa iyo pia wakristo walipishe kisasi wachome na walipue miskiti?

Kwanini wasisikilizwe wanachodai? matatizo yanaanza pale watu wanapohisi kutosikilizwa. Na ikifika hatua hiyo ujue watu wamekataa tamaa tayari kwahiyo lolote wanaweza fanya na dawa yake sio kuwalipua mabomu bali ni kujishusha kwa level ya wahusika na kuwasikiliza wanachokitaka ni nini.
 
Hii mechi bado wazi kati wamiliki wa kisiwa wawili, Nyerere na Tanzania vs Sultani na Magaidi
 
Wakristo kwa elimu yao ya Biblia inawataka kusamehe mafundisho yao yamejaa upendo hayafundishi chuki. Hakika kukosa elimu alafu ukafundishwa elimu ya dini na mtu ambae hana elimu ni taabu tupu.
Wewe ulifundishwa kisha ukaiona hiyo 'tabu tupu!'
 
Wakristo kwa elimu yao ya Biblia inawataka kusamehe mafundisho yao yamejaa upendo hayafundishi chuki. Hakika kukosa elimu alafu ukafundishwa elimu ya dini na mtu ambae hana elimu ni taabu tupu.
Wewe ulifundishwa kisha ukaiona hiyo 'taabu tupu ?!'
 
Kwa mara ya kwanza kabisa nimekubali kuamini kuwa, tatizo liliopo Zanzibar sio Muungano bali ni dini na wanatumia muungano kama kigezo. Mimi ni muislamu lakini nalipongeza Jeshi kwa kutoa kibano kwa wafanyaji fujo usiku huu huko mjini Zanzibar.

Jumuiya ya UAMSHO itabidi ipigwe marufuku kabisa kwanza inapotosha wananchi ili kufikia malengo yake.

Katika ripoti nilizozipata mpaka hivi sasa ni kuwa wazanzibari ambao obviously ni waislam wenzangu wameenda kuchima moto kanisa moja pale mjini. Kitendo hichi nimekichukia kwa sababu kinaudhalilisha uislam na kufanya uonekane ni dini yenye wafuasi wajinga kabisa.

Katika dini ya uislam tumefundishwa kuheshimu dini za wenzetu, lakini sasa wamevuka mipaka hata mungu wanampinga! Sio jambo la ustaarabu kabisa na kama wamo waislam humi watakaochangia, nawapa LIVE yoyote atakayesapoti kitendo hicho ni mjinga na haijui dini! Katika historia ya mtume saw sijawahi kuona sehemu ambayo mtume alivamia tu wakiristo au mayahudi na kuwachomea moto Nyumba zao za ibada!

MAKANISA YAHESHIMIWA KAMA VILE WEWE MUISLAM UNAVOTAKA MSIKITI UHESHIMIWE! Leo hii lau kama ungeskia msikiti umechomwa moto na wakiristo mungekuwa na hasira sana, basi na hai wakiristo na wao wana hasira ivo ivo! HESHIMA NI KITU CHA BURE!

TATIZO LA WAZANZIBARI NINELIGUNDUA SIO MUUNGANO BALI NI UDINI. Na watu wanaburuzwa tu na iyo UAMSHO, na ndio maana wanafunzi wa zenji wapiga drift ya 360 katika mitihani yao

547304_399447393432296_100001011158863_1105765_1604109665_n.jpg

Kanisa lililochomwa moto

577110_399446403432395_100001011158863_1105757_514010925_n.jpg

Gari la askofu lililochomwa moto
Kipindi hicho wazee wa uamsho ambao leo DPP amefuta kesi zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini wasisikilizwe wanachodai? matatizo yanaanza pale watu wanapohisi kutosikilizwa. Na ikifika hatua hiyo ujue watu wamekataa tamaa tayari kwahiyo lolote wanaweza fanya na dawa yake sio kuwalipua mabomu bali ni kujishusha kwa level ya wahusika na kuwasikiliza wanachokitaka ni nini.
Dawa yap imepatikana mzee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatimaye wapo huru hawana hatia yeyote,

Tuendelee kufurahishana

Ila yajayo yanafurahisha zaidi.
 
Hawarudii tena huu ujinga
Ujinga gani mbona hamkupeleka ushahid mahakamin WATANGANIKA Mmechanganyikowa roho mbaya ndio zinazowafanya muendelee kuwa maskini mbwa pamoja ya rasilimali zote mlonazo mnakimbia kwenu kuja kuuza DAWA ZA MBU ZANZIBAR
 
Hahahah naona umeibuka Tena.
 
ktk maandiko yametabiriwa haya, Wala msishangae shetani yu kazini. Dini yao inawatuma kutenda hayo ili waingie peponi! Kwa hiyo tusishangae haya! Yatakuja mengi sana maana yalitabiriwa ktk biblia. Yatupasa kumshukuru MUNGU kwa kila jambo.
Ndugu usitumie hasira kujibu, kwan kufanya hivo unazidi kuchochea nakuhamasisha chuki zaid nazaidi.
Yani kusema kwamba dini yao inawatuma kufanya hivo.. umethibitisha kua hata hii post hukuisoma kabisa..nakwahili nimekuona mjinga na mpumbavu.
 
Inasikitisha sana kuona waanzilishi wavita wamesha fikia final..nakila mmoja ameamua kuishi kwafuraha sana mahala paka.
Ila watumwa wasio kua naakiri bado wanaendeleza vita wao kwa kwao...
Mtumwa anamwaga damu yamtumwa mwenzake..
Badala yake wangejikomboa kutoka utumwani yote haya yasingali kuepo.
 
Back
Top Bottom