Vurugu za mbeya zime athili Dare es salaam

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,895
Hapa dar es salaam hali imekuwa tofauti kutokana na vurugu za mbeya.
Kwa sasa hivi viazi mviringo vya chips vimeadimika na bidhaa nyingine za mbeya.sababu kubwa ni kwamba hamna magari yanayotoka mbeya.gunia la viazi ilikuwa tsh58000-61000/- lakini leo gunia ni tsh 78000-80000/-.iwapo hali itaendelea kuwa tete bei inaweza kuongezeka.
chanzo.masoko ya dar es salaam.mia
 
Wanambeya wacha waendelee kudai haki yao!! Ilitakiwa tuungane nao lakini kwa vile bado wengi wetu tunaona ni mipango ya mungu.
 
Dar haiwezi kuwa salama kama baadhi ya maeneo ya nchi hayako salama. Sehemu mbalimbali za nchi hii zinategemeana kiuchumi, kisiasa na kiutamaduni.
 
bei ya viazi napenda ifike 450,000/ ili uwezo wa kuhonga chips upungue na wanawake wa town wafeel, ili isiwe ngumu kuwaambia ccm haifai, POLENI MBEYA NA HONGERENI PIA!!!
 
na waonea huruma tu watoto wa hosteli IFM ndio wanaopenda chips sana hasa nyakati za usiku..
 
Hatutatulia mpaka kitakapoeleweka!Mikoa mingine ituunge mkono,haya magamba yanaharibu ngozi ya nchi yetu!
 
wananchi wa Dar ni waoga sana wangetumia na wao hiyo njia kuandamana
 
Hata kama mnalipwa na Nape mtajipunguzia heshima, humu ndani watu hawana shida na kiswahili chenu, hiyo kitu inaitwa Faizafoxy kafundishe chekechea huko, issue hapa ni matatizo yaliyoko Mbeya watu wanaelekea kujinjana nyie mnaleta mizaha humu. Bora kama wangekomaa halafu chipsi zikakosekana hapa ndiyo mngejua na viswahili vyenu kama vina maana.
 
Hapa dar es salaam hali imekuwa tofauti kutokana na vurugu za mbeya.
Kwa sasa hivi viazi mviringo vya chips vimeadimika na bidhaa nyingine za mbeya.sababu kubwa ni kwamba hamna magari yanayotoka mbeya.gunia la viazi ilikuwa tsh58000-61000/- lakini leo gunia ni tsh 78000-80000/-.iwapo hali itaendelea kuwa tete bei inaweza kuongezeka.
chanzo.masoko ya dar es salaam.mia

Viazi adimu hata kabla ya vurugu, sio msimu wa viazi huu labda kama ndio umekwenda leo sokoni
 
Back
Top Bottom