asate sana mkuu, huyo jamaa ajawai kumsikiliza Lema akiongelea mambo ya wananchi,sisi tuliokwenda kumtembelea alipokuwa rumande ndio tunamuelewa Lema ni nani,ukimpa nafasi ya kuongea na wanachi fahamu kwamba asilimia 90 atawachukua,kama anapinga aje Arusha hapa ni chadema tu,hakuna ccm na ni kwa ajili ya LemaKitendo cha kuridhia Lema awawakilishe kwenye media kubwa kama ya DW tayari ni tatizo. CHADEMA wangempeleka Lissu kwasababu angalau anaonekana kuwa na hoja ya kuweza kupambana na mtu makini kama Nape.
Lema kitakachokuwa kinaongea ni majani tu.
Umesikiliza lakini au unaongea ya kuambiwa kutoka Lumumba! Kwa taarifa yako Nape hawezi kupambana na Lema kwa hoja zinazowagusa watanzania! Nenda katafute clip usikilize kama hutaishia hukohuko usirudi tena hapa jamvini. Chadema ni makini kila mahali wanatuma mtu yeyote kujibishana na mtu yeyote wa magamba! Kwa taarifa yako usije ukalogwa kiongozi wa magamba yoyote akaomba mdaharo na Lema bora uombe mdaharo na Mbowe au Dr. Slaa kuliko Lema atakufuta kwenye ramani ya wanasiasa nchini! Kama hujui Lema ndiyo mwiba wa magamba kamuulize hata mwenyekiti wako. Lema hawezi kubadilishwa kwa pesa kwa kitisho cha kufungwa jera wala kuuawa! Chadema bila Lema siyo chadema ya kweli!