Vurugu bungeni - Mh. Lema na Nape live DW

Unazungumzia Majani yapi labda,! au Unazungumzia yale majani aliyoyafuga Mama yako chini ya Miguu!?
Leo unamsifia Lissu lakini ni wazi kwamba, umefanya hivi, ukidhani kuna Watu watasapoti huu ujinga,ulio post hapa, eti kwa vile tu unamkubali Lissu, lakini humkubali Lemma!

Ingekuwa ni Lissu aliekua anahojiwa, ungesema kwanini Chadema isingempeleka mtu kama MNYIKA!!

Wewe ya Chadema yanakuwashia nini? Hii ni sawa na Mama yako anakazwa kule wewe Unakatika huku!! Si usubiri zamu yako ikifika si Utakazwa tu,Haraka za nini!??

Katika siku ambazo Mh,Lemma ameongea Poits tupu, basi ni Leo, ila kwa Magamba Lema ni sawa na Paka na Mbwa!

HONGERA sana Kamanda Lema! Usiogope Mungu yu Pamoja nawe! Endelea kupigania haki na Usawa!
HERI VITA INAYO TAFUTA HAKI, KULIKO AMANI INAYO PUMBAZA NA KUUDHALILISHA UTU NA HAKI YA MWANADAMU!

MUNGU IBARIKI TANZANIA!!!!
MUMGU IBARIKI CHADEMA!!!!

Haahaahaaahaaaa! Mbona umetokwa na povu namna hii mkuu?

Wewe ni mke wa Mh. Lema?

LOL!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kitendo cha kuridhia Lema awawakilishe kwenye media kubwa kama ya DW tayari ni tatizo. CHADEMA wangempeleka Lissu kwasababu angalau anaonekana kuwa na hoja ya kuweza kupambana na mtu makini kama Nape.

Lema kitakachokuwa kinaongea ni majani tu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Hapa ni pumba tu!.. unatumia masaburi kufikiri!... Kwa hili unanitafutia ban!..... Wengi wanasotea BAN!... Songoro, JOE 5, T2015 ccm, Masanilo na hivi juzi Mtz one katoka kutumikia adhabu!.. MODS wakali mno!...
 
Nape anapewa nafasi ya kufafanua jambo kwenye media za kimataifa na adhihirisha umbumbumbu wa viongozi wa CCM.
 
Haahaahaaahaaaa! Mbona umetokwa na povu namna hii mkuu?

Wewe ni mke wa Mh. Lema?

LOL!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Ndio mimi ni Mke wa Mh,Lemma! Je wewe ni Mke wa nani! MWIGULU MZINZI, ZINJATHROPA WASSIRA, au NAPE NAUYE!???

Unawashwa nini kwa mambo ya Chadema?? Ya Ngoso mwachie Ngoso!

Ungekuwa wa kike ungezalishwa kila mwaka kwa Kiherehere ulichonacho!
Koma kufuatilia mambo yasiyokuhusu!

MUNGU IBARIKI TANZANIA!!!!
MUNGU IBARIKI CHADEMA!!!!
 
Nilijua utakuwa mke (kimada) wake kutokana na reply yako. Mshauri mume/bwana wako apunguze kutumia "majani".

Mimi ninatarajia kuoa 17th August 2013. NitakuPM ili tuwasiliane nikutumie kadi ya mwaliko.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Nilijua utakuwa mke (kimada) wake kutokana na reply yako. Mshauri mume/bwana wako apunguze kutumia "majani".

Mimi ninatarajia kuoa 17th August 2013. NitakuPM ili tuwasiliane nikutumie kadi ya mwaliko.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Kumbe bado hujaolewa?? Basi ndio maana una KISHARWALA cha "MNDUKU"
Siku zote mwanamke [Malaya] anaetafuta Mwanaume, hujitongozesha!! Huna tofauti na Mbwa jike anaegawa kwa Kila mbwa Dume!!

Lemma hakutaki, lakini unajipendekeza kwake! Si utafute Bwana huko CCM? Au ukiona huna Soko huko si Uende zako MOMBASA!!

Harusi yenyewe Unayodai unafunga mbona hujafafanua kuwa unafunga na Gamba lipi? Ni NAPE, WASSIRA au MWIGULU!??? Embu tafadhali Fafanuwa ili tukuelewe.

MUNGU IBARIKI TANZANIA!!!!
MUNGU IBARIKI CHADEMA!!!!
 
Kama unamwona Nape ni mtu makini wa kiwango cha juu hivyo, basi hapana shaka wewe mwenyewe ni .....
Kitendo cha kuridhia Lema awawakilishe kwenye media kubwa kama ya DW tayari ni tatizo. CHADEMA wangempeleka Lissu kwasababu angalau anaonekana kuwa na hoja ya kuweza kupambana na mtu makini kama Nape.

Lema kitakachokuwa kinaongea ni majani tu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kwa nini wasimuite Ndugai, kwani Nape ni mbunge wa wapi? CCM nayo inatia huruma, kuwakilishwa na Nape ni sawa CDM iwakilishwe na She-Budha

Kwani wanapoulizwa wanvyuoni yanayotokea Bungeni, wao ni wabunge, na tunafurahia maoni yao yakiwa agains ccm. Mtanzania yoyote anaweza kujibu au kutoa maoni yake kuhusu tokeo lolote bungeni. FREE COUNTRY, FREEDOM OF SPEECH.
 
Nilijua utakuwa mke (kimada) wake kutokana na reply yako. Mshauri mume/bwana wako apunguze kutumia "majani".

Mimi ninatarajia kuoa 17th August 2013. NitakuPM ili tuwasiliane nikutumie kadi ya mwaliko.
Dada saumu nyosha maelezo unatafuta mme...njoo nikuoe uwe mke wangu wa pili...
 
Kumbe bado hujaolewa?? Basi ndio maana una KISHARWALA cha "MNDUKU"
Siku zote mwanamke [Malaya] anaetafuta Mwanaume, hujitongozesha!! Huna tofauti na Mbwa jike anaegawa kwa Kila mbwa Dume!!

Lemma hakutaki, lakini unajipendekeza kwake! Si utafute Bwana huko CCM? Au ukiona huna Soko huko si Uende zako MOMBASA!!

Harusi yenyewe Unayodai unafunga mbona hujafafanua kuwa unafunga na Gamba lipi? Ni NAPE, WASSIRA au MWIGULU!??? Embu tafadhali Fafanuwa ili tukuelewe.

MUNGU IBARIKI TANZANIA!!!!
MUNGU IBARIKI CHADEMA!!!!

Haahaahaaaaaa!

NitakuPM mkuu nikupe card ya mwaliko. Punguza hasira.

Wakati baba yangu anasoma enzi hizo baba yako alikuwa busy na "majani" na maHouse girl. Mlaumu baba yako, CCM siyo chanzo cha matatizo yako.

Nitakupa card ya watu wawili (wewe na shemeji Lema).

LOL!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Dada saumu nyosha maelezo unatafuta mme...njoo nikuoe uwe mke wangu wa pili...

Sidhani kama huyo dada Saumu atakukubali.

Mtoto wa kiume muda wote upo online, unafanya kazi muda gani? Unaishi vipi mjini?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hata huyo mwandishi wa habari wa DW ana matatizo sana katika kutafuta na kuandaa kipindi cha mahojiano.

Mambo ya uendeshaji wa bunge na yanayojiri huko alitakiwa kuwahoji/kuwakutanisha wabunge wenyewe ama wabunge na viongozi wa bunge.

Kumhoji nape ambaye si mbunge na hajawahi kuwa mbunge. Nape hajawahi kuwa kiongozi katika nafasi yoyote ya kuchaguliwa kupigiwa kura si ndani ya ccm ama katika taasisi ya umma au binafsi. Hata uenyekiti wa mtaa hajawahi kuushika na kwahiyo hajui joto la ushindani wa hoja na itikadi. Mara zote tumemsikia na kumuona akipanda majukwaani kutukana wapinzani tu kwakuwa hana hoja wala uwezo wa kujenga hoja.

Kimsingi hana uwezo ama uzoefu wa kuongoza watu katika muktadha wa ushindani wa hoja hasa za watu wenye itikadi tofauti. Hapo alitakiwa awepo mbunge wa ccm kujibishana na Lema ama spika au naibu wake. Nape ataishia kuongea utumbo tu kwakuwa hata kanuni za bunge hazijui kama alivyodhihirisha jana kwa mara nyingine naibu spika ******.

Hapa umenena Comrade
 
Nape kuulizwa maswala yanayohusu bunge siyo haki, kwakuwa yeye hana jimbo analoliwakilisha.
 
Back
Top Bottom