Vurugu bungeni - Mh. Lema na Nape live DW

Kitendo cha kuridhia Lema awawakilishe kwenye media kubwa kama ya DW tayari ni tatizo. CHADEMA wangempeleka Lissu kwasababu angalau anaonekana kuwa na hoja ya kuweza kupambana na mtu makini kama Nape.

Lema kitakachokuwa kinaongea ni majani tu.

Umesikiliza lakini au unaongea ya kuambiwa kutoka Lumumba! Kwa taarifa yako Nape hawezi kupambana na Lema kwa hoja zinazowagusa watanzania! Nenda katafute clip usikilize kama hutaishia hukohuko usirudi tena hapa jamvini. Chadema ni makini kila mahali wanatuma mtu yeyote kujibishana na mtu yeyote wa magamba! Kwa taarifa yako usije ukalogwa kiongozi wa magamba yoyote akaomba mdaharo na Lema bora uombe mdaharo na Mbowe au Dr. Slaa kuliko Lema atakufuta kwenye ramani ya wanasiasa nchini! Kama hujui Lema ndiyo mwiba wa magamba kamuulize hata mwenyekiti wako. Lema hawezi kubadilishwa kwa pesa kwa kitisho cha kufungwa jera wala kuuawa! Chadema bila Lema siyo chadema ya kweli!
asate sana mkuu, huyo jamaa ajawai kumsikiliza Lema akiongelea mambo ya wananchi,sisi tuliokwenda kumtembelea alipokuwa rumande ndio tunamuelewa Lema ni nani,ukimpa nafasi ya kuongea na wanachi fahamu kwamba asilimia 90 atawachukua,kama anapinga aje Arusha hapa ni chadema tu,hakuna ccm na ni kwa ajili ya Lema
 
Kitendo cha kuridhia Lema awawakilishe kwenye media kubwa kama ya DW tayari ni tatizo. CHADEMA wangempeleka Lissu kwasababu angalau anaonekana kuwa na hoja ya kuweza kupambana na mtu makini kama Nape.

Lema kitakachokuwa kinaongea ni majani tu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Mbona wewe unakunya Gongo Na kubwia ugoro hatusemi,na bora G.lemma anayevuta bange na kutetea walio wengi kuliko wanywa juice wa ma ccm majambazi.
 
Nape hapa ni Ukrein ndani ya bunge! Wabunge wa upinzani wanayimwa haki zao za kutetea wananchi waliowachagua!

3parliament_fight_mexico.jpg

2043-733282.jpg

Kaka una akili sana!ila unaniudhi unawakumbusha sana magamba kwa hizi picha,waache wajisahau wachapike kuanzia Bungeni hadi kwenye kura 2015 au siyo mkuu,by the way thanx.
 
Kichwa kimoja cha chadema bungeni ni sawa na vichwa 220 vya chi chi emuuuuuuuuuuuuuu.
 
Kitendo cha kuridhia Lema awawakilishe kwenye media kubwa kama ya DW tayari ni tatizo. CHADEMA wangempeleka Lissu kwasababu angalau anaonekana kuwa na hoja ya kuweza kupambana na mtu makini kama Nape.

Lema kitakachokuwa kinaongea ni majani tu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Nafikiri umepata SUMU za kutosha kutoka kwa wana JF,mimi namalizia tu kwa kukwambia, usikurupuke kuandika, fikiria mara mbili mbili, kama umeenda shule basi ni ya Gumbalu! Kwa akili yako kweli Nape ni makini??!
 
Nilijua utakuwa mke (kimada) wake kutokana na reply yako. Mshauri mume/bwana wako apunguze kutumia "majani".

Mimi ninatarajia kuoa 17th August 2013. NitakuPM ili tuwasiliane nikutumie kadi ya mwaliko.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Duh! nani huyo kakubali kufunga pingu za maisha na kiumbe wa aina yako?
 
Sasa Nape amejua lini maana ya demokrasia na utawala bora? Yeye si alifundishwa aseme "CCM itaongoza milele"
Nape ana bahati mbaya maisha. Mtakumbuka kuwa baba yake halisi hajulikani. Pili kwenye UVCCM alifukuzwa. Tatu Lowasa alimshindwa kwenye MAGAMBA. Nne alishindwa kwenye ubunge wa Ubungo.Hivyo historia yake ni matatizo tu hivyo hata maeazo yake hayawezi kutulia. Pole zake na CCM yake.
 
nape hawezi kitu kwa Mh Lema nimeisikiliza Lema kaongea kidogo kuliko nape lkn Lema kaongea Point nape anapiga kelele hajui anachokiongea na hajui anatakiwa kuongea nini kwa tanzania ya sasa ambayo hata kama hujui kusoma picha inaweza ikakusaidia.
 
Wewe cjui sumu!Sumu ya panya au sumu ccm,wew ndo kimada wa nape kwa taarifa toka kwa rafiki yako wa karibu,yan wew unamfananisha mh.Lema na nape ambaye ktk historia ya maisha yake hajawahi kuchaguliwa na mpiga kura zaidi ya kuteuliwa na mabwana zake,afu umfananishe na lema kijana aliyeshnda kwa wingi wa wananchi,hivi kweli mapenzi ni matamu na umenogewa na nape! KWA TAARIFA KAMA HUJUI YA MUMEO NAPE HAJAWAHI KUWA HATA BALOZI WA KUCHAGULIWA!Sasa jiulize cku akifukuzwa ataenda kushita kwa nani?Cc watz hatujamchagua.
 
DW hawajamtendea haki Nepi Niue... Lema sio size yake. Ni kama jana Ndui-GAY na Lissu! Uuuwwwiiii

Teh teh teh teh!!! sasa jamani kila mtu sio saizi yao, so ni nani size yao hawa akina Nepi??
 
DW hawajamtendea haki Nepi Niue... Lema sio size yake. Ni kama jana Ndui-GAY na Lissu! Uuuwwwiiii
Achana na huyo mtu anayeitwa LEMA wewe! Yeyote yule atakayeingia kwenye mdahalo na Lema kwanza akubari kuaibika, Lema ni Kitu kingine kabisa, ogopa ogopa huyo mtu si size ya akina Nape tu na akina Ndugai au Nchemba! Sisi ndo tunamjuwa Lema kwa hoja zake, ukimpa dakika 3 tayari anabadirisha fikra za watu hata kama walikuwa chama kingine. Mwopeni dana huyo kuliko mwingine
 
Teh teh teh teh!!! sasa jamani kila mtu sio saizi yao, so ni nani size yao hawa akina Nepi??

...au ndo maana wako ki mbinu zaidi,, uchakachuzi n.k maana wooote sio saizi yao ! teh,teh !
 
Back
Top Bottom