Vuguvugu la UDINI: Biblia takatifu yakojolewa huko Tanga

Status
Not open for further replies.

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Source gazeti la Majira

Katika kile kinachoonekana ni vuguvugu la udini na ulipizaji kisasi katika mkoa wa Tanga imeripotiwa kuwa kitabu kitakatifu kwa Waumini wa dini ya KIkristo kimekojokewa na mtu anayeaminika kuwa ni mwislam na ikitafsiliwa ni ulipizaji kisasi kwa kilichotokea Mbagala.

No comment on that
 
kikwete toa speech na kukemea btw, hawa ndugu zetu waislam hawajui kuwa siku hizi tunazo biblia kwenya tablets aka i pad, ipad+3G, ipad 2, ipad2+3G , i pad 3,simu kibao i phone generations , i phone 3, i phone 4, iphone 5, ma samsung Galax daaaaaaaah natamani nitaje vyote hapa na niwape hawa waislam na link za app za bible .
So wakojolee tu hata wazinyee. Sisi tuna touch tu kitu bible kinatokea .. Kama yeye kidume aje akojolee i pad 3 yangu nimtoe koromea.
 
Katika kile kinachoonekana Tanzania kugubikwa na hali ya kutovumiliana kidini KITABU KITAKATIFU KIMEKOJOLEWA HUKO TANGA ili kulipiza kisasi cha kukojolewa quran.
Huu ni wakati wa wakristo kuonyesha tofauti kwa kutulia na kumuomba Mungu zaidi.
Source:RFA uchambuzi wa magazeti asubuhi.
 
upunguani wa aina ya kipekee sasa Allah ndio kamuagiza hayo katika Quran aibu
 
Wakristo hawaabudu vitabu bali Mungu katika roho na kweli kama hakinuki kitaendelea kutumika tu tena vizuriiiiiiiii.......kazi kwao wanaoabudu vitabu. Chokochoko kamchokoe pwezaa (waislam) binadamu (wakristo) hutamweza
 
Muslim hapi ndipo tunapoingia chaka. Tukio la bahati mbaya unaweza kulipiza kisasi??? Naamini tukio la Mbagala it was accidently, sasa iweje mtu tena akojolee Bible???

Ni ujinga ulikithiri na kumuomba Mungu upumbavu huu ukome akilini mwa watu.

Tena unaweza kukuta jitu lililokojolea nilitenda dhambi kubwa kabisa.
 
Thats where people have to clearly see a wide line that differentiate these two groups, Christians and Muslims.
Kama ni maisha tuna`share mitaa kama kawaida. ,mwenye akili zake anaona kuwa shida ya wenzetu iko kwenye Kinachofundishwa Kwenye dini yao huko msikitini na almadrasa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom