Vuguvugu la UDINI: Biblia takatifu yakojolewa huko Tanga

Status
Not open for further replies.
kikwete toa speech na kukemea btw, hawa ndugu zetu waislam hawajui kuwa siku hizi tunazo biblia kwenya tablets aka i pad, ipad+3G, ipad 2, ipad2+3G , i pad 3,simu kibao i phone generations , i phone 3, i phone 4, iphone 5, ma samsung Galax daaaaaaaah natamani nitaje vyote hapa na niwape hawa waislam na link za app za bible .
So wakojolee tu hata wazinyee. Sisi tuna touch tu kitu bible kinatokea .. Kama yeye kidume aje akojolee i pad 3 yangu nimtoe koromea.
Hata TECNO T1 yangu ina bible fresh!
 
  • Waefeso 6:10-18 ‘Hatimaye mzidi kuwa hodari katika Bwana na katika uwezo wa nguvu zake, vaeni silaha zote za Mungu mpate kuweza kuzipinga hila za shetani 12 kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama ; bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwngu wa roho’.
 
Wakikojolea wakristo wana fungua vyuo vikuu. Wao watakalia kupigana na miili wanasahau roho. Kutawaza mwili na roho chafu ni sawa?
 
Wakikojolea wakristo wana fungua vyuo vikuu. Wao watakalia kupigana na miili wanasahau roho. Kutawaza mwili na roho chafu ni sawa?
 
Kwa walio karibu naye naombeni mumtizame sana kwa mda wa wiki mbili tu. Mungu atakuwa tayari amejitetea na kudhihirisha kuwa ni Mungu aliye hai. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Neno lako.
 
"katika mazingira ya vurugu, neno kubwa ni moja: kwamba huwezi ukatumia upanga, kutupa jiwe na kutukana kwa kisingizio cha utetezi wa Ukristo. Heri afe mtu mmoja, kuliko kuangamiza taifa. Huu ndiyo msimamo wetu Wakristu... Usijibu tusi kwa tusi, wala tusitumie upanga kwa wanaotutukana: tusichome misikiti eti kwa sababu wao wamechoma makanisa yetu wala tusimpige mtu yeyote eti kwa sababu wao wametupiga." Kardinali Pengo.
 
Filipo Mkuu! Hawana aibu hata kidogo ila Mi kwangu binafsi naona hata wangechoma moto kwani hakuna kulipiza hata punje kwani tuna IMANI ya kwamba MUNGU ambaye si
mwanadamu atajidhihirisha kwa uwepo wake mwenye! Hawa ndugu zetu Waislamu baadhi yao wengi wamekosa elimu ya darasani na ndiyo inawagharimu sana,ila nawapa pole zao!


Pole yako pia, Elimu yako haijakusaidia kutofautisha Waislam na Wapuuzi kama huyo mnaemjadili hapa.
 
Clear cut... sasa mambulula wameonekana.... biblia imekataza kulipiza kisasi, Mungu atawaadabisha Lakini nitawaombea mubadilike na kuiona nuru ya kweli
 
acha wakojolee maana wakristo tuna abudu katika roho na kweli sio kwenye vitabu maana vitabu vinatupa elimu ya kujua mambo

Labda wakojolee imani ya kikristo kama wanaweza... Lakini hapa wamethibitisha ujinga wao
 
Status
Not open for further replies.
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom