Vuguvugu la UDINI: Biblia takatifu yakojolewa huko Tanga

Status
Not open for further replies.
Ukiwa unaoga then akaja kichaa akachukua nguo zako akakimbia nazo wewe mzima ukimkimbiza ndio utaonekana taahira...........mbwa ukishamjua jina hakusumbui. Ee bwana usikie kuomba kwetu.
 
wataona kama wakristo hawachukui hatua kwa sababu hawaoni sababu ya kumpigania Mungu!!!!!!!!!!!Mungu hapiganiwi!1
 
Tumemsamehe buree... na kama anataka mie nitamnunulilia biblia kumi ili azikojoleee na ikiwezekana akachambie halafu tutaona kama atakuwa amerudisha nyuma moto wa INJILI
Source gazeti la Majira

Katika kile kinachoonekana ni vuguvugu la udini na ulipizaji kisasi katika mkoa wa Tanga imeripotiwa kuwa kitabu kitakatifu kwa Waumini wa dini ya KIkristo kimekojokewa na mtu anayeaminika kuwa ni mwislam na ikitafsiliwa ni ulipizaji kisasi kwa kilichotokea Mbagala.

No comment on that
 
Hapo sasa ndio tuamini kuwa ukubwa sio uwezo wa kufikiri. Inawezekanaje mtu akashndwa kukaa na kutatua jambo kama la kukojolea Quran ilihali walijua kuwa aliyefanya kile kitendo alikuwa mtoto mdogo ambaye kwa namna moja au nyingine tunaweza sema hakujua alichokuwa anakifanya...??! Kwa hiki kitendo walichofanya sasa ambacho ni kama kisasi iwe aibu kwao tu, nina imani kubwa kuwa kwa sisi wakristo hatuwezi acha kufanya shughuli za maana na kuanza kufanya ujinga kama waliofanya wao. MUNGU AWASAMEHE KWA HILO WALILOFANYA...........!
 
Usihukumiwe uislamu kwasababu ya tendo la mtu mmoja mwenye mtazamo wake tofauti,tena mtu tu asiye na madaraka yeyote ndani ya umma wa waislamu! Hakuna sehemu hata moja uislamu ulipohimiza chuki na vitendo vya kichokozi bali watu kama watu wanafanya watakavyo kwa visingizio vya uislamu kutokana na maono yao hafifu.

Mimi ni muislam lakini binafsi siuchukii ukristo simply kutokana na baadhi ya wapuuzi wachache wanaojiita wakristo jinsi wanavyoitukana imani yangu na kejeli za kuchukiza (Ikiwemo ndani ya JF) maana najua hayo ni maono yao na wala si ukristo,hakuna sehemu kwenye bible inayowataka wafanye hivyo . Contrary na mtazamo wao uraiani 90% ya marafiki zangu ni wa kristo na tunaishi kwa raha kupita kiasi na tunashirikiana katika kila jambo.

Huyo mtu aliyefanya huo upuuzi ahukumiwe yeye kama yeye jambo kuwa anajiita muislam lakini uislamu ni zaidi ya jina la mtu tu, huyo mtu wala asipewe publicity yeyote adharauriwe tu ana stress zake za maisha.
 
Source gazeti la Majira

Katika kile kinachoonekana ni vuguvugu la udini na ulipizaji kisasi katika mkoa wa Tanga imeripotiwa kuwa kitabu kitakatifu kwa Waumini wa dini ya KIkristo kimekojokewa na mtu anayeaminika kuwa ni mwislam na ikitafsiliwa ni ulipizaji kisasi kwa kilichotokea Mbagala.

No comment on that

1. Biblia zimejaa sana kwenye maduka ni suala tu la kununua nyingine na pia Mashine za kuchapisha vitabu zimejaa sana hata kama kwenye maduka biblia zitaisha. Wakristo hawaabudu vitabu wanaabudu katika roho. Mungu si kitabu, kitabu ni muongozo tu.

2. Ulipizaji kisasi wa namna hiyi ndo mzuri na ndo uislamu unavyotaka kwani kilichokojolewa si msikiti bali ni kitabu. Na hata kama ingekuwa ni msikiti umekojolea, basi kisasi chake ilikuwa ni kukojolea kanisa na si kuchoma.
 
Tofauti ya uislam na ukristo ni kwamba uislam ni dini ya mungu ukristo ni dini ya kutengenezwa kitabu chao hakina tofauti na kile cha abunuasi ndio maana hata ukinyea hawajali
Umekaribia ili hujafika. Ukweli upo hivi "Tofauti kati ya uislam na ukristo ni kwamba uislamu ni dini ya mungu na ukristo ni dini ya Mungu" ndiyo maana Mungu(wa wakristo) haitaji kupiganiwa bali anajipigania mwenyewe na kama huyo mtu amefanya kweli hicho kitendo, utaipata tu taarifa yake ya kuwa ni nini kimempata kama asipotubu. It is the difference between the dependent god and Independent(Sovereign) God.
 
kikwete toa speech na kukemea btw, hawa ndugu zetu waislam hawajui kuwa siku hizi tunazo biblia kwenya tablets aka i pad, ipad+3G, ipad 2, ipad2+3G , i pad 3,simu kibao i phone generations , i phone 3, i phone 4, iphone 5, ma samsung Galax daaaaaaaah natamani nitaje vyote hapa na niwape hawa waislam na link za app za bible .
So wakojolee tu hata wazinyee. Sisi tuna touch tu kitu bible kinatokea .. Kama yeye kidume aje akojolee i pad 3 yangu nimtoe koromea.

Teknolojia cyo yako peke yako nani kakuambia quran haipatikani humo?
 
Biblia Takatifi ipo moyoni, katika hali ya kawaida limbukeni huyo amekojolea kitabu tu cha kawaida, wakristo hatuendeshwi na mapokeo!..
 
Kila goti litapigwa. Mungu aliye hai amsamehe mjinga huyo. Wakristu tumchangie pesa ili aweze kujenga nyumba na aishi maisha marefu na aweze kujua ukweli.
 
wataona kama wakristo hawachukui hatua kwa sababu hawaoni sababu ya kumpigania Mungu!!!!!!!!!!!Mungu hapiganiwi!1

Vita vyetu si vya damu na nyama; ni vita vya kiroho.
Maombi yetu yataendelea kuleta matokeo kwao. Yaani kunyolewa madevu bila kupenda, kukaa sero na kutwangwa mabomu ya machozi. Hii ni hatua ya awali. Hatua ijayo ni ya wao wenyewe kusigana, kupinduana na hata kuuana. Wajapofanya hivyo, cc tukaze mioyo kumtukuza Mungu na kumshika sana elimu. Maana watajiadhibu kwanza kwa ujinga wao kabla hata kope za macho yetu hazijainuka kutizama walipo.
 
Teknolojia cyo yako peke yako nani kakuambia quran haipatikani humo?

Kaka,
kama inapatikana humo, nawewe jieleze kivyako usianze kuhoji na kukimbia bla majawabu. Wewe mwenye kuitumia hiyo qoran na ipad jieleze kama mwenziyo alivyofanya. Hapo umetuacha hatujui kama nayo inapatikana humo.
 
Unalaani wewe kama nani wakati sisi wenye bible tumemsamehe?
Naomba useme kuwa umemsa,ehe na Mungu ampe hekina na uwezo wa kuelewa kosa lake ili asirudie tena...
Unasemaje hapo ndugu yangu?

Tofauti yako na yangu ni matumizi ya lugha kwenye kulikemea hili! Mimi nimesema "nalaani" unauliza nalaani kama nani? Nalaani kama muislamu niliyechukizwa na kitendo alichofanya muislamu mwenzangu ambaye ametenda kinyume na mafundisho ya Mtume wetu, na nina haki ya kulaani kama tukio hilo lingetokea popote bila kujalisha mahali nilipo, huyu namlaani kakojolea Biblia hapa Tanga na mimi niko hapahapa, nimechukizwa na nalilaani.

Umesema "sisi wenye dini yetu tumesha msamehe" hapa umejipachika usemaji wa wakristo wote kwenye hili, sema wewe umemsamehe na mwingine naye aseme kila anachoona kinafaa kuhusiana na sakata hilo, huwezi jua mwingine hata sema "Tumsamehe" bali atasema "Ana mlaani" aliyetenda hilo.

Yote kwa yote, tumuombe Mungu atupe uvumilivu wa ki-imani na hekima za kutenda tukiongozwa na busara za kufikiria.
 
1. Biblia zimejaa sana kwenye maduka ni suala tu la kununua nyingine na pia Mashine za kuchapisha vitabu zimejaa sana hata kama kwenye maduka biblia zitaisha. Wakristo hawaabudu vitabu wanaabudu katika roho. Mungu si kitabu, kitabu ni muongozo tu.

2. Ulipizaji kisasi wa namna hiyi ndo mzuri na ndo uislamu unavyotaka kwani kilichokojolewa si msikiti bali ni kitabu. Na hata kama ingekuwa ni msikiti umekojolea, basi kisasi chake ilikuwa ni kukojolea kanisa na si kuchoma.
hata mashine za kuchapisha zikiisha tutaazimana tutoe photocopy
 
Bwana Yesu, naomba umsamehe Kwa Kuwa hakujua alitendalo, Mpe neema ya WOKOVU ili akujue wewe Mungu uliyemtuma hai.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom