mkuu nanyie wazee wa kuuza mechi.....mbaya city shahidi
Kabisaaa.Huoni vicheko vimetawala hapa sasa?Nimeona mamito huo ubani ni shigida kabisa. Aisee bora now tunapumua na 3 points zetu.
Simba wametoa tamko eti " Kama Mbeya City wanaamua kukaza basi wakaze kwa wote sio Simba tu" Msemaji wa SIMBA
Wazee wa kununua mechi
Nyie mnauza mechi sio?
Simba wametoa tamko eti " Kama Mbeya City wanaamua kukaza basi wakaze kwa wote sio Simba tu" Msemaji wa SIMBA
hahahaah,,,,,sisikii na wala sioni kitu
Mkombe bana...
Ina maana nyie mnauza mechi?...
Ukute hata ile ya Mbeya City mliuza..