Nina uhakika na points 9 hapo.
Siyo 9 , sisi tunahitaji pointi 6 tu zkatika hao wanne. Hakuna shaka tutazipata hizo pointi 6.
Hongereni yanga kwa ushindi wa taaaabu..
Mkuu ni kawaida yetu kushinda na ni kawaida yenu kufungwa na kutoa sare,.....,
Sio vibaya mkiifunga yanga kwa sababu msimu mzima wa ligi mnaiandaa timu yenu kwa ajili ya game mbili tu za kukutana na yanga, na ndio maana msimu wa tatu sasa mnagombania kuepuka kushuka daraja.......Mkuu, ... bila kusahau kwamba ni kawaida yenu kufungwa na Simba (.. hata tusipofanya mazoezi au hata tukiwa kwenye mgogoro)
Vipi mkuu ulikula ban ndo umeachiwa nini sijakuona humu ndani toka game inaanza mpaka inaishaa.
Hahahaaa,naona umeweka avatar ya muAfrica mzalendo hapo.
#teamccm wamebebwa..
Wazee wa kuishia raundi ya kwanza michuano ya CAF.
Wazee wa kupenda mechi za ligi ya Bara kasoro ile dhidi ya Simba
Wazee wa kuzimia
Hahahahaha...alitoa kauli ambao niliipenda sana kwenye hili sakata la xenophobia