VP MAGAZEI RFA KILA SIKU? Ndugu wadau tuwachambue wasomaji wetu mnawaonaje?

Gubuntu

Member
Jan 23, 2012
19
2
Jmani Tuwachambue wasomaji magazeti wa RFA JAMANI Mnawaonaje? kwakuwa kipindi supa cha MAGAZETI NI RFA
 
mtoa mada hata anagalau ungeanza na some clues ila hivyo tu jinsi ulivyoacha topic inaning'inia so ngumu kuchangia au simply hoja yako haina msingi.
 
Jmani Tuwachambue wasomaji magazeti wa RFA JAMANI Mnawaonaje? kwakuwa kipindi supa cha MAGAZETI NI RFA

Mh, ndugu yangu!
Wakati watu wanaumwa vichwa na mambo kama sheria mpya mifuko ya hifadhi ya jamaii, ufisadi TANESCO, mfumuko wa bei na kupanda kwa gharama ya maisha, maafa ya ajali ya meli Z'bar, upuzi unaofanywa pale bungeni na hoja nyingine nyingi zinazohitaji Great Thinking, wewe unatuletea topic kama hii. Sasa unataka tuchangie nini ndugu yangu?!

Kwani kama wanakukera, si kuna radio stations kibao zinazochambua magazeti kila siku, kwa nini usisikilize kwingine? Au kama vipi si upite tu kwenye vibanda vya magazeti vipo vingi tu mtaani utajichagulia mwenyewe.

Inasikitisha sana. Post no.1 kitu cha maana zaidi ulichoona ni kujadili issue hii. Aisee, kazi ipo kwa kweli.
 
Back
Top Bottom