kwamwitongo
Member
- Mar 23, 2022
- 8
- 19
Kipindi cha nyuma au zama zile utapenda jamani. Kwa upande wa redio utapenda sana utasikia habari RTD,utafungulia RFA na hapo utasubiri BBC au sauti ya amerika na mchana redio ujeruman habari zilizopo ni habari na siasa uchambuzi.
Wanaochambua siasa ahhh acha utawapenda walikuwa hawafungamani na chama chochote.yaani raha. Siku hizi redio ni michezo mwanzo mwisho sijui kama mmelingundua. Siku hizi redio ni habari za mapenzi na mahusiano.hakuna elimu ya kwende shambani,au vipindi vya vyakula bora.
Magazeti huko wala sisemi shida tupu.jamani zmani ahhhh acha bwana utapenda .Kipindi hicho kuabudu sio sio utani utani.sijui miujiza ahhh ulikuwa unaleta habari zingine.watu walikua wanakaa kwenye neno.njoo kwenye muda wa chakula ahhh sio sio mchezo mchezo.maombi yanafanyika hapo utafikiri ibada.siku hizi mmmm Mungu atusamehe.ibadani unaenda kwa heshima mavazi marefu kila mtu ana biblia siku hizi watu biblia ziko kwenye simu.zamani raha jamani mbolea tulikuwa hatuijui mahindi ukilima palilia subiri kuvuna.SIJUI hata ardhi imetusambu mi mwenzenu nashindwa kuelewa tatizo ni nini.kweli mbolea ikawa laki, jamani mbona ni hatari.ohhh jaman zamani raha.ni kama miaka therathin ndipo mambo yamebadilika ardhi imetusambu,maji nayo taratibu yanapotea.MWISHO nasema unajua tatizo nini usikose toleo lijalo