Stanley Mitchell
JF-Expert Member
- Jan 2, 2014
- 4,576
- 4,061
wamepesti kwa smart (bol) ila bol ni full speed mwanzo mwisho
Bol unajiunga vipi na 3g yake ipo mikoa gan na gani?
wamepesti kwa smart (bol) ila bol ni full speed mwanzo mwisho
Iyo 1 Terabyte na Speed ya ku download inakuaje mkuu?
- Hakuna restriction yeyote upande wa speed.
- Ni wewe na matumizi yako mpaka utakapomaliza hiyo bandwidth ya 1 tera ndipo utalipia tena
- Karibu
hawa dawa yao moja kama Book ni 1GB afu speed inashuka watalijua jiji tutabamiza firewalls zao lazima zitoboke tu shauri lao...
ASANTE SANA VODACOM
check PM
- Hakuna restriction yeyote upande wa speed.
- Ni wewe na matumizi yako mpaka utakapomaliza hiyo bandwidth ya 1 tera ndipo utalipia tena
- Karibu
Kwahiyo bwana Mwl.RCT hiyo 1TETRA haina kikomo cha Mda mfano Mwezi n.k. Au mpaka nitakapo maliza Bundle yangu??
vifurushi vya kuunga unga kama hivi ni chenga kwa heavy downloaders kama sisi...
Mfano hapa natafuta driver pack solution kutoka torrent ina 7gb na nataka latest windows 8.1 update 1 inazo 4gb jumla kumi na moja sasa kwa net kama hizi unaweza kuta unafirisika ghafla
TTCL ndio baba lao...Speed inategemeana na mahala ulipo.
Mwingine voda ndio mtandao wenye kasi, na mwingine ni airtel na mwingine atakuambia ni tigo wakati kwa mimi nitakuambia hakuna mtandao wenye kasi kama zantel.
Hivyo mahala na idadi ya watumiaji ndio determinant ya speed utakayopata. Najua kuwa unajua kuhusiana na hili.
Unabamiza vipi?
Kuna INJECTION TOOL imebobea kutoboa FIREWALs za ISP wote wanao connect na sh sufuri
Mfano hawa Airtel nao inawapitia angalia Connection pale kwenye sytem tray kuna Alama ya WARNING lakini bado nashusha mpaka 300KB/sec sijui eneo langu Airtel iko slow hata sielewi
Vipi kwenye kuangalia Video Online? Speed yake ipoje?
nimekitumia hiki kifurushi, kiko very fast katika kubrowse, ila very slow katika kudownloadHabari, Nimeingia muda huu kununua Wajanja Night nikakuta kuna kifurushi kimeongezeka. Unalipia Tsh 1000 na unajipatia unlimited internet access. Sijapata kufahamu hiki kifurushi ni exclusive kwa muda gani.
wamepesti kwa smart (bol) ila bol ni full speed mwanzo mwisho
Voda wezi wa kutupa.Net yao ndio ya mwisho kwa speed hata uweke gb ngapi. Airtel wanafanya vizuri so far.
Habari, Nimeingia muda huu kununua Wajanja Night nikakuta kuna kifurushi kimeongezeka. Unalipia Tsh 1000 na unajipatia unlimited internet access. Sijapata kufahamu hiki kifurushi ni exclusive kwa muda gani.